tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Iyo ni parking au njia ya watembea kwa miguu?Ngong' Road.View attachment 1708508
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Iyo ni parking au njia ya watembea kwa miguu?Ngong' Road.View attachment 1708508
Jiulize mbona yuko pekeake wengine wameegesha kando
Punda na uchafu unafata nini NairobiSiku nchi maskini kama Tanzania itakuwa na kitu kama hii mtu anitag.View attachment 1708519View attachment 1708521






Ukisema masikini Kwani nyie lini mmekua matajiri?Siku nchi maskini kama Tanzania itakuwa na kitu kama hii mtu anitag.View attachment 1708519View attachment 1708521
Kwani kariobangi ipo Madagascar? Acha upimbiSi ni dar tu
Duuuh 🙄🙄🙄🙄
km unataka kizee kimoja sema upewe connections
😅😅😅😅😅Duuuh 🙄🙄🙄🙄
Hao ni wazee?km unataka kizee kimoja sema upewe connections
Ndio maana majengo yao kila leo yanaporomoka, elimu ndogoTukiwaambia Kenya ni utumbo hamuamini.
Imagine mwanafunzi wa Doctrate badala ya kufanya Scientific Research anaenda kutengeneza Chat bot ambayo Tanzania ni project ya mwanafunzi wa Diploma... Hili Jambo limeniuma sana.
Daah how is it possible guys... Doctrate na chat bots?. You guys mnacover nini darasani kwenuView attachment 1708642
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabidi warudishe mfumo wa 7-4-2-3/4/5 au wahakikishe wana Senior Secondary School/High School.Ndio maana majengo yao kila leo yanaporomoka, elimu ndogo
Mbona imekuumiza sana hyo picha
Hii barabara huaga inawatia kiweweSiku nchi maskini kama Tanzania itakuwa na kitu kama hii mtu anitag.View attachment 1708519View attachment 1708521
Hapa km ni tz pangeliitwa city na wakati kenya ni mtaa wa watu wa kawaidaDaah aisee mpk inasikitisha kwa kweli, yn hz picha zinazunguka hz hz daily, hv Wakenya Nairobi ni hapa tu na vi estate baasiii.
Sema ughaibuniWatoe wapi? Wiki hii ntakuwa Nairobi we subiri uone maajabu🤣🤣🤣