Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukweli ni aibu kwa Nchi eti huo ndio second City ,,hii inakupa picha kwamba Dar ndio kila kitu kwa Tzn.

Labda Dom baada ya 15 years inaweza kuwa na taswira na infrastructure zenye hadhi ya Jiji la pili ,but else where ni disorganized poor village towns
Choice variable katika ubora wako, yaani kama pembe la ng'ombe vile halifichiki hata afuge panki
 
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1708480

hapa serikali ndo ione umuhimu wa kuwa na viwanja vya kisasa kama huo vitatu hiv au zaid hiv[emoji36]☹️... Tanzania tuna kila sababu ya kuwa ‘mkubwa’ kwenye mpira wa miguu EA na central africa yote kwenye michezo na miundombinu ya viwanja bora
 
Kuna video niliona mahali uhuru anazomewa na Nairobi slums dwellers kama clown, yaani kama ingekua ndio Magufuli kazomewa vile media zote za Kenya zingetangaza mwezi mzima breaking news [emoji28][emoji28][emoji28]

Ila tanzania sasa, hata thread humu sijaiona

afu media zetu hata hazina habari nazo[emoji23]
 
afu media zetu hata hazina habari nazo[emoji23]

Media zetu zipo busy na vitu vya maana, na upeo wa media personalities wetu upo way higher above others

Content kama hii huwezi ipata kwenye media yoyote Kenya, yaani unaangalia program 1 ndani zipo programs buku 10, wa tanzania tuna akili kubwa sometimes mpaka naogopa 😅😅🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Back
Top Bottom