komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Interchange fence ya kazi gani[emoji1787][emoji1787]Watoe wapi? Wiki hii ntakuwa Nairobi we subiri uone maajabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaona mlivyokua mamburula
Interchange fence ya kazi gani[emoji1787][emoji1787]Watoe wapi? Wiki hii ntakuwa Nairobi we subiri uone maajabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We plan ahead kuzuia watu kama nyie hawkers [emoji846][emoji116][emoji116][emoji116]Interchange fence ya kazi gani[emoji1787][emoji1787]
Unaona mlivyokua mamburula
Poor girl maria [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1708676
Hawana kitu kinawasumbua kichwa kama tanzania 😄😄😄
Yes, ipo chini kabisa karibu na relegation kama sio relegation kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]was about to post the same thing [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1493][emoji3603]View attachment 1708678
hio timu sasa (NAPSA) ya wap sijui ipo nafas ya 16.. someone (hope it’s you) posted its standing few days ago
Endelea kumuonaHao ni wazee?
Mbona namuona akothee hapo? [emoji102]
Doctorate kasomea wapi huyi, uko na ushahidi gani km kasomea doctorate..Tukiwaambia Kenya ni utumbo hamuamini.
Imagine mwanafunzi wa Doctrate badala ya kufanya Scientific Research anaenda kutengeneza Chat bot ambayo Tanzania ni project ya mwanafunzi wa Diploma... Hili Jambo limeniuma sana.
Daah how is it possible guys... Doctrate na chat bots?. You guys mnacover nini darasani kwenuView attachment 1708642
Sent using Jamii Forums mobile app
Sonko's era[emoji1787][emoji1787]We plan ahead kuzuia watu kama nyie hawkers [emoji846][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1708672View attachment 1708671
Huwa tuna uhusiano mzuri sana na Algeria, hata kwenye vita vya Uganda walitusapoti, dhidi ya majirani zao Libya.Wameona waje sehemu salama, naona Visit Tanzania imeanza kufanya kazi [emoji3][emoji3][emoji3]
Ana vituko sn uyo jamaa, wkt anaingia akajifanya kusifia kdg af mbele akajisahau akaanza kuandika hisia badala ya uhalisia, siku nikamstukia nikajisemea ngj nimchokoze nione km co choice variable, hahahahaaa ndo yeye bhn [emoji3][emoji3][emoji3]Choice variable katika ubora wako, yaani kama pembe la ng'ombe vile halifichiki hata afuge panki
hatariCheki showroom yao Rocky City Mall Mwanza dah hatari [emoji16][emoji16]
sioni cha ajabu hapo nairobi ambacho dar nitakosa ,,,,,,zaidi kilichopo dar nikija nairobi nitakosa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tunaijua vizuri Sana. Tunajua humo uswahilini ukitoka main road, Hamna barabara ya kami. I was shocked even in your high end neighborhoods kuna barabara za tope. Agree with the truth - Dar si ligi ya Nairobi.
hizo siyo estate mzee kila mtu kajenga nyumba kwa time yake siyo mifanano house hizoYaani posh areas zao zina barabara za matope? Dah!
Aloo simchezo mzee [emoji3][emoji3]
naona umekutana nazo wanyamwezi wakizichezea.......wakulungwa..... hii gari inaitwaje? View attachment 1708377View attachment 1708378View attachment 1708379View attachment 1708380
tumewanyoosha 7-2 moja la ugenini[emoji1][emoji1]Huenda wasingefanya zile figisu haya yote yasinge wakuta [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1708411
Nigerians washafanya ujambazi wao hapo sababu inajulikana Africa nzima, tanzania ndio inaongoza kwa views za ngoma kali
View attachment 1708637
Halafu wengeni hasa huko west hawaujui moto wa tanzania kwenye entertainment industry
old stone age life,,[emoji1787][emoji1787] wenyewe wanakuambia culture swaggLicha ya kelele zote humu Nairobi kuna watu wanatumia punda mjini, Daah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app