Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hatuna wote tunaishi uswahilini,,karibu sana chief....

vile vile tunaweza kushirikiana tukapost sehemu mbovu mbivu mimi nikapost sehemu mbovu za dar uswahilini na wewe ukapost sehemu mbovu za nairobi...

unaonaje hili swala...?...maswala ya lunda estate,oysterbay sijui tuachane nayo
they all live in slums..look at dar from a bird's eye view
 
Naomba utuwekee picha za
Glu colar
Kariadudu
Ngomongongo
Kisumu ndogo
Kiamaiko
Kabiriam
Kibagare
Kariadudu
Kasabuni

Alafu tuelewane au huna hata habari kuna slums kama hizo?🙄
Hakuna nchi haina slums..cha muhimu ni nchi gani tajiri Africa mashariki..nchi gani inaogopewa Kwa masomo, spoti, uchumi,. demokrasia, GDP, Best university, Best and busy airports, Tallest buildings, many hotels, best runners, beautiful roads, etc....Kwa haya yote nime taja na mengine zaidi..kenya inaongoza Africa mashariki na ya kati Kwa haya mambo yote..NAJIVUNIA KUWA MKENYA
 
IMG_1613891119.247405.jpg
 
Mnaogopewa na nan?Nani ataacha kujivunia utaifa wake sasa Uyu dogo mbona mchelemchele sana
 
Eh Bana eh...WATANZANIA mmejaa Kenya sana na tunawapenda na kuwakaribisha zaidi....Tafuteni riziki....kuna sababu hamwendi Rwanda na ug ...au kubaki home...ni kwa sababu kenya is a land of opportunities.... Karibuni Kenya ndungu zetu tunawapenda
 
Hakuna nchi haina slums..cha muhimu ni nchi gani tajiri Africa mashariki..nchi gani inaogopewa Kwa masomo, spoti, uchumi,. demokrasia, GDP, Best university, Best and busy airports, Tallest buildings, many hotels, best runners, beautiful roads, etc....Kwa haya yote nime taja na mengine zaidi..kenya inaongoza Africa mashariki na ya kati Kwa haya mambo yote..NAJIVUNIA KUWA MKENYA
Tatizo nyie mnapenda sifa na kujipiga kifua Sana🙂Ila mkumbuke kibri,jeuri na dharau ni swala la mda🙂 kutangulia sio kufika🙂na kila safari ni hatua🙂mkumbuke tumeweza ku achieve mambo mengi within short period of time 🙂kwetu maendeleo sio DSM pekee yake nazungumzia from mkoa to mkoa🙂
Tayari tumewapiga chini kwenye mambo mengi🙂sema mlizaliwa na ubishi na mnachukia Sana kuiona Tanzania inasonga mbele🙂 mwisho wa siku Tanzania sio level yenu 🙂pambaneni, na ufisadi,ukabila,chuki na wivu Kati yenu,uchafu,uongozi mbaya,ubinafsi etc etc
Nahisi utakua umenielewa🙂
 
Most of houses, towers and so forth are being built by private sector and are rented at a very high prices that most Chokoraaz on here don't have what it takes to rent or buy. Unlike Tanzania, most residential and commercial buildings are built by the state owned NHC (National Housing Corporation).

Apart ya kutupia picha humu, wengi wenu mmezaliwa na mtafia kwenye nyumba za madebe kama Njiwa.
Kizungu mingi na bado unaishi ocha, kwn huku ndio hakuna shirika la nyumba..
Hyo sababu yako peleka chato kwa sababu nchi inayoendelea vizuri lazima mchango wa private investors
Umeumiza wengi ona [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tatizo nyie mnapenda sifa na kujipiga kifua Sana🙂Ila mkumbuke kibri,jeuri na dharau ni swala la mda🙂 kutangulia sio kufika🙂na kila safari ni hatua🙂mkumbuke tumeweza ku achieve mambo mengi within short period of time 🙂kwetu maendeleo sio DSM pekee yake nazungumzia from mkoa to mkoa🙂
Tayari tumewapiga chini kwenye mambo mengi🙂sema mlizaliwa na ubishi na mnachukia Sana kuiona Tanzania inasonga mbele🙂 mwisho wa siku Tanzania sio level yenu 🙂pambaneni, na ufisadi,ukabila,chuki na wivu Kati yenu,uchafu,uongozi mbaya,ubinafsi etc etc
Nahisi utakua umenielewa🙂
Eti uongozi mbaya???Yangu lini ukaskia viongozi wa upinzani kenya wakatorokea Tanzania KUTAFUTA hifadhi Kwa kuhofia maisha yao..haya tunayaona tz tu.. sisi huku tuna kisomo na akili sana..demokrasia pia iko juu ..yaani tumekomaa kiuchumi, kisoshologia etc
 
Hujanielewa bado🙂 tunapishana bado,uongozi mbaya kama utumiaji mbaya wa ofisi za umah na kupiga hela kwenye miradi ya umah kutumia hela za umah vibaya in simple words 🙂
 
HABARI ZA WEEKEND NDUGU ZANGU WAKENYA..?...

Leo tufanye kitu kimoja tu,,,mjitokeze kwa upsnde wa kenya muwe mnapost sehemu mbaya za dar na kwa upande wa tanzania tuwe tunapost sehemu mbaya za kenya yaani sehemu chafu...
pia nitawasaidia kupost picha sehemu mbaya za dar...au kwa upande wa kenya mpost sehemu mbaya ,chafu za kenya na sisi tupost sehemu mbaya za dar.....

ajitokeze mkenya mmoja tuanze hii battle[emoji19][emoji19]
Kwani unadhani hawaoni hili bandiko?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
aswaa....nimepanic mpaka corona inaniogopa[emoji485][emoji1][emoji1][emoji1]

Leo tufanye kitu kimoja tu,,,mjitokeze kwa upsnde wa kenya muwe mnapost sehemu mbaya za dar na kwa upande wa tanzania tuwe tunapost sehemu mbaya za kenya yaani sehemu chafu...
pia nitawasaidia kupost picha sehemu mbaya za dar...au kwa upande wa kenya mpost sehemu mbaya ,chafu za kenya na sisi tupost sehemu mbaya za dar.....

ajitokeze mkenya mmoja tuanze hii battle[emoji19][emoji19]
Wewe hawawezi kukuelewa mkuu.
 
Hawa ni bora wabaki nyumbani tu kuliko kwenda kutia aibu.
You know when TZ visit Kenya...they are so poor in their country that even when they come to Kenya they only visit slums so that they can Relate to what they have back at home... You will never hear of a Tanzanian who visited kenya talking of areas of like lavington,kileleshwa,runda, south c, langata muthaiga etc...kipato chao kama nchi kiko chini kweli...wananchi wao pia shida..so most of them you'll only find them in kibera, kayole and other slums... because this kind of life is what they can afford home and abroad....
 
Back
Top Bottom