Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi wabongo huwa hampendi watu kutoa opposing views. Either mnawaita Wakenya au Wapuuzi. Mnawadharau Wabongo wasiokubaliana na nyimbo za CCM.
Wewe huyo humjui kwasabu wewe upo forum ya Kenya only, huijui jamii forum wewe kaa kmy.
 
[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata wa kawaida mwenyewe kwa kwenu huko hawezi kuefford hapo usijitekenye,kwa kenya sehemu hizo anakaa anayejiweza ,,,,raia wa kawaida na raia maskini kabisa wote wanakaa sehemu mbovu....
japokuwa seeikali yenu inajenga hizi nyumba kwa kuzipa majina kuwa ni nyumba za watu wa kawaida ila in reality hao watu wakawaida huwa hawaambuliii kitu sababu hawawezi kuefford wanaopata ni wanaojiweza tu,

wakawaida wenu wanaishi mazingira haya
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1707525View attachment 1707526View attachment 1707527View attachment 1707528View attachment 1707529View attachment 1707530View attachment 1707531View attachment 1707532View attachment 1707533View attachment 1707534View attachment 1707535
Watueee!!kuna jamaa kakasirika huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haamini km hzo zinajengewa watu wa chini..pole sana kijana wa lumumba
 
mkuu huo msemo wa kuwa hayo ni majengo ya watu wa kawaida ni watu wa kawaida jina tu,,,
hayo yamejengwa na kuitwa ya watu wa kawaida lakini in reality wanaokuja kuyavamia na kuishi ni zaidi ya watu wa kawaida yaani kwa huko kenya wanaokaa humo ni watu ambao wako njema...

mtu wa kawaida hubaki kuyatazama tu kwakuwa hawezi kuefford rent ya hayo majengo japokuwa hayana kiwango bora[emoji1][emoji1787][emoji1787]
Umepanic[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Affordable housing project inaenda kwa kasi, watu naona mumeshaanza kusaga meno tayari[emoji1787][emoji1787]
 
Nyinyi wabongo huwa hampendi watu kutoa opposing views. Either mnawaita Wakenya au Wapuuzi. Mnawadharau Wabongo wasiokubaliana na nyimbo za CCM.
Nikuulize swali, wewe ushawahi kuona mkenya humu jamii forums anaiponda nchi yake? Ushajiuliza kwnn? Nchi yenu ina shida ngp lkn mbn huoni Wakenya wa humu wakiponda licha ya uozo uliokithiri Kenya, unakuta mkenya mpk kibera na Mathare anapiga picha upande upande anapost humu huku akisifia [emoji3][emoji3][emoji3], ila hawa wabongo wa humu ni kwasababu hii ni platform yao so humu kuna siasa nyingi kwahiyo ukiona mbongo nampa sindano humu kaa kmy cz tunajuana humu na kuna sehemu tunakutana.
 
Ona vile jiwe kajisweka kando[emoji1787][emoji1787]
Corona haina mbabe, Mungu tu ndio ywatambua nani yuko vizuri kupambana nayo ikimkuta na pia akitaka hta km upo vibaya kiafya haitokuchukua
EulKLhHWgAEcIif.jpeg.jpg
 
[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata wa kawaida mwenyewe kwa kwenu huko hawezi kuefford hapo usijitekenye,kwa kenya sehemu hizo anakaa anayejiweza ,,,,raia wa kawaida na raia maskini kabisa wote wanakaa sehemu mbovu....
japokuwa seeikali yenu inajenga hizi nyumba kwa kuzipa majina kuwa ni nyumba za watu wa kawaida ila in reality hao watu wakawaida huwa hawaambuliii kitu sababu hawawezi kuefford wanaopata ni wanaojiweza tu,

wakawaida wenu wanaishi mazingira haya
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1707525View attachment 1707526View attachment 1707527View attachment 1707528View attachment 1707529View attachment 1707530View attachment 1707531View attachment 1707532View attachment 1707533View attachment 1707534View attachment 1707535
Iyo picha ya mwisho inatisha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aibu napata Mimi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Nikuulize swali, wewe ushawahi kuona mkenya humu jamii forums anaiponda nchi yake? Ushajiuliza kwnn? Nchi yenu ina shida ngp lkn mbn huoni Wakenya wa humu wakiponda licha ya uozo uliokithiri Kenya, unakuta mkenya mpk kibera na Mathare anapiga picha upande upande anapost humu huku akisifia [emoji3][emoji3][emoji3], ila hawa wabongo wa humu ni kwasababu hii ni platform yao so humu kuna siasa nyingi kwahiyo ukiona mbongo nampa sindano humu kaa kmy cz tunajuana humu na kuna sehemu tunakutana.
Huyo jamaa kakuumiza sana yaonyesha, mpka kohozi limepanda..literemshe na kw maji please utakua sawa
 
Watueee!!kuna jamaa kakasirika huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haamini km hzo zinajengewa watu wa chini..pole sana kijana wa lumumba
Umepanic[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Affordable housing project inaenda kwa kasi, watu naona mumeshaanza kusaga meno tayari[emoji1787][emoji1787]
Hata mwenyewe hujisikii kwa huu upuuzi unaoongea, tangu lini watu wa hali ya chini wakathaminiwa ndani ya Kenya?
 
Ona vile jiwe kajisweka kando[emoji1787][emoji1787]
Corona haina mbabe, Mungu tu ndio ywatambua nani yuko vizuri kupambana nayo ikimkuta na pia akitaka hta km upo vibaya kiafya haitokuchukuaView attachment 1707633
Huu ugonjwa unaharibu sn timing za jiwe, alikuwa anamaliza game asubuhi kweupee, ila ndiyo safi wkt yeye anazd kupambana wengine huko waendelee kuufunga uchumi ili by 2022 kimeeleweka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Most of houses, towers and so forth are being built by private sector and are rented at a very high prices that most Chokoraaz on here don't have what it takes to rent or buy. Unlike Tanzania, most residential and commercial buildings are built by the state owned NHC (National Housing Corporation).

Apart ya kutupia picha humu, wengi wenu mmezaliwa na mtafia kwenye nyumba za madebe kama Njiwa.
 
Kizungu mingi na bado unaishi ocha, kwn huku ndio hakuna shirika la nyumba..
Hyo sababu yako peleka chato kwa sababu nchi inayoendelea vizuri lazima mchango wa private investors
 
Huu ugonjwa unaharibu sn timing za jiwe, alikuwa anamaliza game asubuhi kweupee, ila ndiyo safi wkt yeye anazd kupambana wengine huko waendelee kuufunga uchumi ili by 2022 kimeeleweka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Khaa!!2020 ilimshinda pia licha ya kujitia ukadi..
Kw sasa sahauni jamaa manake 2020 mliachiea uwanja ukawashinda
 
komora096 tangu nijiunge huku sijawai ona estates za watu wa kawaida wa dar hata siku moja, ajitolee mmoja atuwekee picha na jina la sehemu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata wa kawaida mwenyewe kwa kwenu huko hawezi kuefford hapo usijitekenye,kwa kenya sehemu hizo anakaa anayejiweza ,,,,raia wa kawaida na raia maskini kabisa wote wanakaa sehemu mbovu....
japokuwa seeikali yenu inajenga hizi nyumba kwa kuzipa majina kuwa ni nyumba za watu wa kawaida ila in reality hao watu wakawaida huwa hawaambuliii kitu sababu hawawezi kuefford wanaopata ni wanaojiweza tu,

wakawaida wenu wanaishi mazingira haya
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1707525View attachment 1707526View attachment 1707527View attachment 1707528View attachment 1707529View attachment 1707530View attachment 1707531View attachment 1707532View attachment 1707533View attachment 1707534View attachment 1707535
Jamaa umepanic vibaya komora096 huyu umemfanyaje mpaka kaandika insha. Mimi ningependa utumie nguvu hizi hizi utuwekee estates zenye wakaazi wengi wa Dar wanaishi.
 
Back
Top Bottom