ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Niambie nadanganya mm au 🤣🤣🤣👇Ebu nikumbushe tuko mwaka gani alafu ujicheke. Kwa kweli wewe ni mjinga.
Niambie nadanganya mm au 🤣🤣🤣👇Ebu nikumbushe tuko mwaka gani alafu ujicheke. Kwa kweli wewe ni mjinga.
Bado tunatangaza.Nyie kila siku mnazika huko Kenya tofauti ni mmeacha kutangaza!
Zenji, Zanziberi, Pemba, Viaiwani, Marashi ya Karafuu
View attachment 1707797
Ulitakaje sasa huyu ni raia namba moja wa Jamuhuri ya Watanzania.Wakenya mnawashwashwa sana na huyu mzee wa watu.Kwani kawafanyaje?!,sisi ndo tunaotakiwa kuongoza Afrika Mashariki iko wazi!! "Don't Hate Me Hate the Game" Tumeamua kuwatoa hapo juu kwa strategies ona mnavyong'oka tena mkitazama kwa uchungu mkubwa.Na ukiwa na roho mbaya ndg yangu maumivu huwa maradufu.Bomba la mafuta hiloo, that's the best move ever.Halafu unamskia mtu anaongelea Toll road ambayo makusanyo pia si yao, inasikitisha sana.Ona vile jiwe kajisweka kando[emoji1787][emoji1787]
Corona haina mbabe, Mungu tu ndio ywatambua nani yuko vizuri kupambana nayo ikimkuta na pia akitaka hta km upo vibaya kiafya haitokuchukuaView attachment 1707633
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 niliuliza watu dar wanaishi wapi nikaambiwa uswahilini so i guess ndo huku.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Duh Dar is a toilet [emoji23][emoji23]View attachment 1707820
Evidence? Wapi Daily updates on infections?Bado tunatangaza.
Hii sio Dar prove that na sema hili ni eneo gani.Pole sana kwa maumivu.Dar ni choo [emoji23]View attachment 1707821
Evidence? Wapi Daily updates on infections?
152 individuals have tested positive for Covid-19 from a sample size of 3,734 tested in the last 24 hours.Evidence? Wapi Daily updates on infections?
dah angalia hio area vile ni kubwaDuh Dar is a toilet [emoji23][emoji23]View attachment 1707820
wapi za kwa TV?152 individuals have tested positive for Covid-19 from a sample size of 3,734 tested in the last 24 hours.
This takes Kenya's cumulative confirmed positive cases to 103,993.
In a statement on Saturday, February 20, Health CS Mutahi Kagwe disclosed that the total tests conducted so far are 1,262,358.
From the positive cases recorded in the last 24 hours, 137 are Kenyans while 15 are foreigners. 104 are males while 48 are females.
![]()
Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe addressing the media.
FILE
The youngest is a two-year-old child while the eldest is 88 years.
28 patients have recovered from the disease in the last 24 hours. Total recoveries now stand at 85,540.
![]()
47 in ICU as Covid-19 Cases Rise
There are 335 patients currently admitted to various health facilities countrywide, while 1,151 patients are on Home Based Isolation and Care.www.kenyans.co.ke
Hilo ndilo huwa nalisema hapa. The extremely corrupt Kenyan government cannot raise its own revenues. Like Mwl. Nyerere said, a corrupt government cannot collect taxes. Without borrowing, you people will die.Niambie nadanganya mm au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]
Wacha kubadilisha gear mzee. Ulisema kwamba Kenya tumewacha kutangaza idadi ya watu walioathiriwa na corona. Mambo ya TV tena imetoka wapi? Kwani lazima watangazwe kwa TV? Ukishindwa kubali kushindwa.wapi za kwa TV?
nipe maana ya kutangaza!Wacha kubadilisha gear mzee. Ulisema kwamba Kenya tumewacha kutangaza idadi ya watu walioathiriwa na corona. Mambo ya TV tena imetoka wapi? Kwani lazima watangazwe kwa TV? Ukishindwa kubali kushindwa.
Kutangaza sio lazima iwe kupitia kwa TV. Hata kwenye magazeti na website ya ministry of health ni kutangaza. Lakini pengine mimi ndio sielewi maana ya neno hilo.nipe maana ya kutangaza!
Mnaangaika Sana 🙂Dar ni choo [emoji23]View attachment 1707821