Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hatuna wote tunaishi uswahilini,,karibu sana chief....

vile vile tunaweza kushirikiana tukapost sehemu mbovu mbivu mimi nikapost sehemu mbovu za dar uswahilini na wewe ukapost sehemu mbovu za nairobi...

unaonaje hili swala...?...maswala ya lunda estate,oysterbay sijui tuachane nayo
Hakuna kupost sehemu mbovu mkuu, Wakenya wapo biased sn hawataweza, hapa mwendo ni wao kupost picha mbovu za Dar na cc tupost mbovu za Nairobi.
 
Ukoo wao umezaliwa hapo hapo bedsitter sio[emoji1787][emoji1787]
Hku sio tz kila mtu akifika dar basi anasahau kwao, kila mtu ana kwao huku na wala hatudharau makwetu pamoja na tamaduni zetu..

Bedsitter ni za wanafunzi na vijana wanaotafuta maisha, ukiona mtu mzima anaishi kw besitte basi ujue ameacha familia nyumbani..
Vile vile familia ya watu ambao vipato vyao ni vya wanaenda kupanga ghetto ili kupunguza gharama..

Alafu unafikiria kijana wa dar anaweza survive nairobi, rent tu itamrudisha au aishie kw slums km wale wa pale gikomba
Si huwa mnasema kuna omba omba wa Tz wapo Kenya? Unadhani wamekimbia nn huku? Ni kwamba hii co nchi ya omba omba inabidi waende kwa ndugu zao [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dar is slum. Nangoja wale watu wa kukataa mji wao wapinge kuwa hapa sio Dar.View attachment 1707766
Hebu tufananishe [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
JamiiForums2066324336.jpg
 
Kushoto juu karibu na wingu ni Vingunguti Machinjioni, kushoto chini ni Buguruni kwa Mnyamani, kulia chini ni Matumbi na kulia juu ni Baracuda.
Hehehehee ona ulivyo mwehu eti Vingunguti machinjioni, utaacha lini hii tabia ya kuokota picha wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ona sasa wanavohangaika na magufuli wanasahau ushuzi wa BBI unaotafutana billions of tax payers 🤣🤣🤣🤣 mm hua nawaambia tanzania hua inawanyima usingizi hawa


Ona majibu ya mkenya mwenzao🤣🤣👇
 
Tunataka nyie ndio mtuoneshe majority wa Dar wanapoishi na cc tuwaoneshe majority wa Nairobi wanapoishi simple like that, bcz Google is there au unaonaje si tuanze?
Sijui mnapo ishi tuwekee mwenyewe tuone, nimekupa chance ya kujikomboa. Taja sehemu na weka picha. Duh! Hio kwani kazi ngumu
 
Hehehehee ona ulivyo mwehu eti Vingunguti machinjioni, utaacha lini hii tabia ya kuokota picha wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
You are denying your country?[emoji23][emoji23][emoji23] Hii dumpsite ni Dar and 90% of Dar looks like this.

IMG_20210220_234333.jpeg
 
Watu wanajenga 27km within months wakati wachawi kama nyinyi mnashangilia kujenga barabara ya 9km for four years. Can't see that your brain is rotten?
Usisahau kuandika ni mkopo na hakuna engineer wa kikunya tafadhali [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
So china will take it for 30 yrs and u will be paying to use [emoji1787][emoji1787][emoji1787] and remember wachina watachukua kazi kwenye hio expressway for 30 yrs mpaka mchina anawakabidhi tayar ww una mjukuu na tayar ngoma imechoka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hio ppp ni kama geresha mumetumia ili watu wasipanic but kwa lugha fupi mchina katoa 620m usd na anaijenga yeye na ataicontro yeye kwa kukusanya kodi yake kwa miaka 30 just simple and clear
Mbn huwa wanasema ni $0.6bn mchina katoa? Yani hawa ni wehu kweli, wapo tayari kuikandamiza nchi yao ili wapate sifa aisee, we have the most stupid neighbor.
 
Back
Top Bottom