Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah, and we are happy with them. Ama unadhani Kenya is a country that investors are afraid to invest in like Tanzania? By the way when will you have a road like that in Tanzania?
Sindio maana munaingia kwenye white elephants projects alaf madeni yanawatoa kamasi 😃😃😃😃😃
 
kwani umesahau leo kinachowatesa ni nn??? loan imewazidi kichwa IMF anawapa pesa kwa masharti makali hapo ndipo mulipofkia leo alaf nye nye nye sisi GDP ushuzi mtupu
We are being given loan because we can pay. Nyinyi mnapewa misaada kama watoto wadogo, kwanza vichaa.

Yeah, and we are happy with them. Ama unadhani Kenya is a country that investors are afraid to invest in like Tanzania? By the way when will you have a road like that in Tanzania?
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 ona zinapoishia pesa za mikopo hapo sijaweka ile 2b inayoibiwa kila siku
 
Rais mzima anafunga safari kwneda ufaransa kuomba mkopo wa km 5 za reli alaf unamatumaini gani na uchumi hapo
Nyinyi mliomba misaada ya kijengewa vyoo.

IMG_20210221_015135.jpeg
 
Hamuezikuwa tayari juu hamna uwezo wa kulipa. Are you aware that Tanzania and Somalia are the only countries in East Africa washawaishindwa kulipa deni?
Kama ni msaada its good for us lakini mikopo ya masharti hatuko tayari
 
Hamuezikuwa tayari juu hamna uwezo wa kulipa. Are you aware that Tanzania and Somalia are the only countries in East Africa washawaishindwa kulipa deni?
Kama wanaleta wao kwa hiari yao then tunapokea kwan nyie wakileta hua munazokataa🤣🤣🤣 walete grant ziliwe na familia moja kenya kwan unafkiri wao wajinga
 
Asante kwa kukubali kuwa budget ya Tanzania is 50% funded with grants and donations.
Kama wanaleta wao kwa hiari yao then tunapokea kwan nyie wakileta hua munazokataa walete grant ziliwe na familia moja kenya kwan unafkiri wao wajinga
 
Asante kwa kukubali kuwa budget ya Tanzania is 50% funded with grants and donations.
🤣🤣🤣👇👇👇👇
E83E737B-B064-4A26-BDC2-FF6408AE6C49.jpeg

Back
Top Bottom