Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hzo ni za watu wa chini aisee
Mna mpango gani nyie na uswazi manale sisi serekali yetu ndio inaendelea kuyainua hayo majengo kila kona
hatujengi low quality kama zenu unfinished building.....huko uswazi hakuna tatizo kupo poa tu,,,government/private sector watawavua watu na kusimamisha mijengo siku za mbeleni......
 
Watueee!!kuna jamaa kakasirika huku
Haamini km hzo zinajengewa watu wa chini..pole sana kijana wa lumumba
HABARI ZA WEEKEND NDUGU ZANGU WAKENYA..?...

Leo tufanye kitu kimoja tu,,,mjitokeze kwa upsnde wa kenya muwe mnapost sehemu mbaya za dar na kwa upande wa tanzania tuwe tunapost sehemu mbaya za kenya yaani sehemu chafu...
pia nitawasaidia kupost picha sehemu mbaya za dar...au kwa upande wa kenya mpost sehemu mbaya ,chafu za kenya na sisi tupost sehemu mbaya za dar.....

ajitokeze mkenya mmoja tuanze hii battle
 
Jamaa umepanic vibaya komora096 huyu umemfanyaje mpaka kaandika insha. Mimi ningependa utumie nguvu hizi hizi utuwekee estates zenye wakaazi wengi wa Dar wanaishi.
aswaa....nimepanic mpaka corona inaniogopa

Post tu hujakatazwa
Anza kupost ndio mjifariji vizuri
 
Jamaa umepanic vibaya komora096 huyu umemfanyaje mpaka kaandika insha. Mimi ningependa utumie nguvu hizi hizi utuwekee estates zenye wakaazi wengi wa Dar wanaishi.
Jamaa katoa povu balaa yani hakuamini macho yake, si ajabu anatamani hata hzo nyumba zibomoke hta sai manake sio kw machungu alo nayo..

Tena balaa zaidi akiangali upande wa kwao serekali bado imetulia wala haijatafuta suluhu kutokomeza makaazi yakiholela sana sana mijijin..
Si jana ulijionea mwanza ilivyochakaa, vudeo ya 4days ago!!mamaee
 
Nairobi
151255067_1084415822387353_6014694767625229353_n.jpeg
151238784_3684096491698080_8501455328736582385_n.jpeg
151345162_260023925526442_540474541263588510_n.jpeg
 
Back
Top Bottom