ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kweli jamani 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 usiniambie kibera mumeihamisha dar😄😄
Kweli jamani 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 usiniambie kibera mumeihamisha dar😄😄
kama jumuiya majirani tunaopendana kabisa tushi4ikiane kupost maisha mabaya mabaya baina ya hizi nchi zetu mbili.....au vip bhanaPaza sauti kabisa
ukiona anaandika kinyonge hivyo maana yake hiyo battle haiwezi[emoji16][emoji16].hapana hapa hakuna cha kujifariji wala kupata faraja vitu kama hivi vyahitaji ushirikiano...
hatuna wote tunaishi uswahilini,,karibu sana chief....@Lusematic,where do majority of dar residents live, nipewe jibu.
ni kweli kabisaKuta mtu anae miliki ardhi au nyumba ni mtihani[emoji846]asilimia kubwa wanakaa kwenye ma bed sitters na sqs walobakia slums wamejaza[emoji846]
hawana ujanja huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena nimemwambia kuwa nitamsaidia kuonyesha kwa dar sehemu chafu chafu kabisa bila hiyana ili tuelewane vyema halafu tutatembea kwa maskini appearence ya watu choka kwenye madampo wanaolala chini ya madaraja n.kukiona anaandika kinyonge hivyo maana yake hiyo battle haiwezi[emoji16][emoji16].
kwamba kupiga mpinzani punch ni kujifariji.
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Post jomba hujakatazwa[emoji1787][emoji1787]hapana hapa hakuna cha kujifariji wala kupata faraja vitu kama hivi vyahitaji ushirikiano...
Msaidie mwenzako ku post na wewe acha kulalama hapa km mkunga wa kike[emoji1787]ukiona anaandika kinyonge hivyo maana yake hiyo battle haiwezi[emoji16][emoji16].
kwamba kupiga mpinzani punch ni kujifariji.
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Kwn mnasubiria nini tumeni vituhawana ujanja huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena nimemwambia kuwa nitamsaidia kuonyesha kwa dar sehemu chafu chafu kabisa bila hiyana ili tuelewane vyema halafu tutatembea kwa maskini appearence ya watu choka kwenye madampo wanaolala chini ya madaraja n.k
Huaga mnazungukia hapo slum, bedsitter, bedsitter slum ndo maisha yenu halisi🙂Kwn before wakomboe hzo bedsitters walikua wametokea wapi?
tushirikiane jirani au kuna tatizoPost jomba hujakatazwa[emoji1787][emoji1787]
Uzi mbona unaruhusu, weka kabisa
Polepole wataelewa huu mchezo 🙂hapana hapa hakuna cha kujifariji wala kupata faraja vitu kama hivi vyahitaji ushirikiano...
Tupia vitu jomba, unaogopa nini..tushirikiane jirani au kuna tatizo
naogopa corona kutoka nairobi....Tupia vitu jomba, unaogopa nini..
Lete
Ukoo wao umezaliwa hapo hapo bedsitter sio[emoji1787][emoji1787]Huaga mnazungukia hapo slum, bedsitter, bedsitter slum ndo maisha yenu halisi[emoji846]