Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

VIDEO HIYO HAPO BABAA ONA MWENYEWE.... AMA HATA BUNDLES HAMNA NCHI MASKINI TANZANIA
We kweli unaandika kwa kurupuka na umekuja kwa mbwembwe daaah hata umewazidi ma lengend wa humu ndani🙂🙂
Labda nikuweke Sawa Nairobi nimekaa sana siitaji kufungua video nione utumbo Sawa?na tukiingia kwenye swala la umaskini unafikiri weiye ulipo uko salama?mara ya mwisho umekula chakula balanced diet lini?kwanza🙂
We endelea kula chapo minji polepole🙂
 
Ondoa huo uchafu kama ni mgeni kwenye uzi huu tafuta namna bora ya kujiunga na wachangiaji,pia utakuwa na homework hata ya mwezi mmoja na nusu ya kupitia kurasa zote za uzi huu maana unaweza jikuta unarudia vitu vya kale ukiwa na bashasha..mshamba mwingine huyo kutoka Mathare..anayefikiri ngo'mbe ndo mnyama mkubwa duniani..bro kuna Elephant..Dar is an Elephant.Hands down.🙌
Huyu sijui wa wapi🙄?
 
DSM
images (33).jpg
AE5A6021.jpg
images (32).jpg
images (31).jpg
images (30).jpg
images (29).jpg
images (28).jpg
images (27).jpg
images (26).jpg
images (25).jpg
images (19).jpg
images (16).jpg
 
Attachments

  • images%20(26).jpg
    images%20(26).jpg
    76.1 KB · Views: 14
  • images%20(25).jpg
    images%20(25).jpg
    36.6 KB · Views: 14
  • images (26).jpg
    images (26).jpg
    76.1 KB · Views: 15
HABARI ZA WEEKEND NDUGU ZANGU WAKENYA..?...

Leo tufanye kitu kimoja tu,,,mjitokeze kwa upsnde wa kenya muwe mnapost sehemu mbaya za dar na kwa upande wa tanzania tuwe tunapost sehemu mbaya za kenya yaani sehemu chafu...
pia nitawasaidia kupost picha sehemu mbaya za dar...au kwa upande wa kenya mpost sehemu mbaya ,chafu za kenya na sisi tupost sehemu mbaya za dar.....

ajitokeze mkenya mmoja tuanze hii battle[emoji19][emoji19]
 
Umeumia eehh kuona quality ya estates zetu [emoji3][emoji3][emoji3]

Ndiyo maana mzungu akakwambia Dar estate zina thamani kubwa kuliko estates za Nairobi tena imezidi kwa thamani kubwa zaidi ya $2bn.
Bado mnashindana na eastlands[emoji1787][emoji1787]
 
HABARI ZA WEEKEND NDUGU ZANGU WAKENYA..?...

Leo tufanye kitu kimoja tu,,,mjitokeze kwa upsnde wa kenya muwe mnapost sehemu mbaya za dar na kwa upande wa tanzania tuwe tunapost sehemu mbaya za kenya yaani sehemu chafu...
pia nitawasaidia kupost picha sehemu mbaya za dar...au kwa upande wa kenya mpost sehemu mbaya ,chafu za kenya na sisi tupost sehemu mbaya za dar.....

ajitokeze mkenya mmoja tuanze hii battle[emoji19][emoji19]
Unataka kuwakimbiza ss, wao huwa wanakosa picha chafu za Dar wanabaki kupost picha za 90s mwingine anapost picha dukani kuna tangazo la peni ya BIC[emoji3][emoji3]

Mwengine anaokota picha ina udongo mwekundu anasema ni Dar, basi picha mbovu za Dar hawana zaidi tu watapost unplanned settlement za baadhi ya maeneo.

On the other hand sisi tukianza kupost picha chafu za Kenya hatujawahi kumaliza, na kama kuna mkenya anabisha ajaribu kukatisha hapa, mm naanza, (utaskia excuses ooh unapost Mathare, Kibera as if co Kenya)[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-10-14-09-11-03.jpg
JamiiForums-1402685283.jpg
JamiiForums-1826650903.jpg
tapatalk_1594707658392.jpg
 
Eastlands vs posh areas za dar[emoji1787]
Si huaga tunawafinyilia sana
labda ndotoni

HABARI ZA WEEKEND NDUGU ZANGU WAKENYA..?...

Leo tufanye kitu kimoja tu,,,mjitokeze kwa upsnde wa kenya muwe mnapost sehemu mbaya za dar na kwa upande wa tanzania tuwe tunapost sehemu mbaya za kenya yaani sehemu chafu...
pia nitawasaidia kupost picha sehemu mbaya za dar...au kwa upande wa kenya mpost sehemu mbaya ,chafu za kenya na sisi tupost sehemu mbaya za dar.....

ajitokeze mkenya mmoja tuanze hii battle[emoji19][emoji19]
 
Unataka kuwakimbiza ss, wao huwa wanakosa picha chafu za Dar wanabaki kupost picha za 90s mwingine anapost picha dukani kuna tangazo la peni ya BIC[emoji3][emoji3]

Mwengine anaokota picha ina udongo mwekundu anasema ni Dar, basi picha mbovu za Dar hawana zaidi tu watapost unplanned settlement za baadhi ya maeneo.

On the other hand sisi tukianza kupost picha chafu za Kenya hatujawahi kumaliza, na kama kuna mkenya anabisha ajaribu kukatisha hapa, mm naanza, (utaskia excuses ooh unapost Mathare, Kibera as if co Kenya)[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1707478View attachment 1707480View attachment 1707481View attachment 1707482
usianze kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakubali kwanza hii battle
 
Bado mnashindana na eastlands[emoji1787][emoji1787]
Katiza hapa uone vile nitakuvua chupi yako hadharani [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unataka kuwakimbiza ss, wao huwa wanakosa picha chafu za Dar wanabaki kupost picha za 90s mwingine anapost picha dukani kuna tangazo la peni ya BIC[emoji3][emoji3]

Mwengine anaokota picha ina udongo mwekundu anasema ni Dar, basi picha mbovu za Dar hawana zaidi tu watapost unplanned settlement za baadhi ya maeneo.

On the other hand sisi tukianza kupost picha chafu za Kenya hatujawahi kumaliza, na kama kuna mkenya anabisha ajaribu kukatisha hapa, mm naanza, (utaskia excuses ooh unapost Mathare, Kibera as if co Kenya)[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1707478View attachment 1707480View attachment 1707481View attachment 1707482
 
usianze kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakubali kwanza hii battle
Aya poa, unajua hii battle nmekuwa nikiiomba mda sema wanajifanya hawaoni, ngj tusubiri jibu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom