Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyumba za watu wa kawaida hzoooo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
images.jpeg-13.jpg
images.jpeg-12.jpg
images.jpeg-16.jpg
images.jpeg-14.jpg
images.jpeg-15.jpg
images.jpeg-16.jpg
images.jpeg-17.jpg
images.jpeg-18.jpg
images.jpeg-17.jpg
images.jpeg-19.jpg
 
Kweli za kawaida, jinsi yalivyojengwa unaona mda wwte linaanguka, btw usipoteze maboya kuna battle imeanzishwa tunaomba ushirikiano wako, vp upo tayari?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bwana hawa watu hawawezi kukubali hii battle, mm nawasubiri mpk saa1 usiku km hawajajibu nalianzisha, nina picha mupya mupya zinanipa mzuka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
This one makes the whole of Dar to be a slum, save 10% tu around CBD areas, kwingine kwote ni vitongoji[emoji23][emoji23][emoji23], kwa vile Kenya huu mtaa bado ni categorized as ghetto, yaani slum[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1706503
View attachment 1706507
View attachment 1706504
View attachment 1706505
View attachment 1706506
Sections of pipeline, view from jogoo road.,
View attachment 1706508
Hii kwao inaitwa sijui kariokoo [emoji23][emoji23]
 
[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata wa kawaida mwenyewe kwa kwenu huko hawezi kuefford hapo usijitekenye,kwa kenya sehemu hizo anakaa anayejiweza ,,,,raia wa kawaida na raia maskini kabisa wote wanakaa sehemu mbovu....
japokuwa seeikali yenu inajenga hizi nyumba kwa kuzipa majina kuwa ni nyumba za watu wa kawaida ila in reality hao watu wakawaida huwa hawaambuliii kitu sababu hawawezi kuefford wanaopata ni wanaojiweza tu,

wakawaida wenu wanaishi mazingira haya
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
images (15).jpg
images (14).jpg
images (13).jpg
images (12).jpg
images (11).jpg
images (10).jpg
images (7).jpg
images (6).jpg
images (5).jpg
images (4).jpg
images.jpg
 
Kweli za kawaida, jinsi yalivyojengwa unaona mda wwte linaanguka, btw usipoteze maboya kuna battle imeanzishwa tunaomba ushirikiano wako, vp upo tayari?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
mkuu huo msemo wa kuwa hayo ni majengo ya watu wa kawaida ni watu wa kawaida jina tu,,,
hayo yamejengwa na kuitwa ya watu wa kawaida lakini in reality wanaokuja kuyavamia na kuishi ni zaidi ya watu wa kawaida yaani kwa huko kenya wanaokaa humo ni watu ambao wako njema...

mtu wa kawaida hubaki kuyatazama tu kwakuwa hawezi kuefford rent ya hayo majengo japokuwa hayana kiwango bora[emoji1][emoji1787][emoji1787]
 
mkuu huo msemo wa kuwa hayo ni majengo ya watu wa kawaida ni watu wa kawaida jina tu,,,
hayo yamejengwa na kuitwa ya watu wa kawaida lakini in reality wanaokuja kuyavamia na kuishi ni zaidi ya watu wa kawaida yaani kwa huko kenya wanaokaa humo ni watu ambao wako njema...

mtu wa kawaida hubaki kuyatazama tu kwakuwa hawezi kuefford rent hayo majengo japokuwa hayana kiwango bora[emoji1][emoji1787][emoji1787]
Kwani unadhani kuna kitu mkenya atatudanganya humu? Tunawajua mpk alama zao, wakiandika tu tunajua huyu ni mkalenjin, mkikuyu, mjaluo, n.k so tunajua wanaokaa humo kwenye hyo mijengo ni kina nani japo ni low quality housing.
 
Mchina hajatoa mkopo wowote kwa huu mradi. Huu mradi ni PPP. Kama hujui maana ya PPP sema uelezewe. Serikali ya Kenya haijaomba mkopo wowote ili kujenga mradi huu. Investor mwenyewe ametoa pesa yake mfukoni na kujenga mradi huu. Atarudisha pesa yake baadaye kupitia toll fees.
Halafu hakuna data tumepika, hio statistic ni Mtanzania mwenzako aliyepost. Sisi tumekuja tu kuchangia. Muulize yeye katoa wapi data hio.
Ni mkopo, limebadilishwa Jina tu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata wa kawaida mwenyewe kwa kwenu huko hawezi kuefford hapo usijitekenye,kwa kenya sehemu hizo anakaa anayejiweza ,,,,raia wa kawaida na raia maskini kabisa wote wanakaa sehemu mbovu....
japokuwa seeikali yenu inajenga hizi nyumba kwa kuzipa majina kuwa ni nyumba za watu wa kawaida ila in reality hao watu wakawaida huwa hawaambuliii kitu sababu hawawezi kuefford wanaopata ni wanaojiweza tu,

wakawaida wenu wanaishi mazingira haya
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1707525View attachment 1707526View attachment 1707527View attachment 1707528View attachment 1707529View attachment 1707530View attachment 1707531View attachment 1707532View attachment 1707533View attachment 1707534View attachment 1707535
Naona nyumba za tope Nairobi!
 
Kweli za kawaida, jinsi yalivyojengwa unaona mda wwte linaanguka, btw usipoteze maboya kuna battle imeanzishwa tunaomba ushirikiano wako, vp upo tayari?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hzo ni za watu wa chini aisee[emoji1787][emoji1787]
Mna mpango gani nyie na uswazi manale sisi serekali yetu ndio inaendelea kuyainua hayo majengo kila kona
 
Back
Top Bottom