Ohh jpm anajenga Chato tu
Ooh barabara Tz hazina marking
Hii hapa Musoma barabara zimepigwa lami kama yote.
Huyo ndio wewekibera bin chokoraaView attachment 1703954
Jibu hoja, unapinga km kuna majengo ya mombasa ambayo hta nyuzi hayakufunguliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] so hayo majengi ni invisible yanajengewa mbinguni alaf yanashushwa kama malaika
si utuonyeshe sasa unamdekea nani apa....Jibu hoja, unapinga km kuna majengo ya mombasa ambayo hta nyuzi hayakufunguliwa
Nausubiria sana uishe niwapige za uso[emoji1787][emoji1787]si utuonyeshe sasa unamdekea nani apa....
we chizi kweli 😂😂😂😂😂mna mradi gani wa maana hata wa$250ml mombasa?Nausubiria sana uishe niwapige za uso[emoji1787][emoji1787]
Nilisema tu hawawezi kwa hii group,,watamaliza wa mwisho🤣🤣
Ohh jpm anajenga Chato tu
Ooh barabara Tz hazina marking
Hii hapa Musoma barabara zimepigwa lami kama yote.
We unauliza $250m[emoji1787][emoji1787]we chizi kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mna mradi gani wa maana hata wa$250ml mombasa?
Angalau timu ya Tanzania U20 inacheza hiyo michuano na bado wana nafasi.
Huyo ndio wewe
coco beach imemzoa mtu
View attachment 1704016