rudia tena ongeza sauti hatujakusikia,,,,,,wala hatujakuelewaYaani dar mna ghorofa tatu amabazo huwa mna zipiga picha kila upande.. halafu na kale ka ubungo bridge washamba wa tz huenda kupigia picha ahpo na ku propose wakiwa hapo juu ya ubungo...ilipokuwa inaundwa mlitutishia saana kumbe ni ka daraja ka kijinga tu....enyewe maskini akipata matako hulia mbwata. OYAA tazama viveo hizo halafu ujionee jinsi nairobi ipo juuu, na dar ni takataka mbele ya nai
huwa hamnaga kipya cha kupost hapo nairobi zaidi ya estate



ambazo kila siku ni hizo hizo tu kwa taarifa yako hii battle imeanzishwa 2017 bado hujamaliza chuo (mkazi wa Mathare uyo hana elimu iyo mkuu). kitu cha maana dar ilikuwa nacho ni BRT tu.
flyover hazikuwepo.
airport haikuwepo terminal III.
masoko hayakuwepo ya maana.
tulikuwa ldc bado.
hakukuwa na ndege hata moja.
hizo tower 5 ambazo unaona ni tatu, zilikuwa tatu.
endelea kufukia kichwa mchangani kama utapta nafuu, wenzako wanaleft chart maana mambo ni mazito.
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app


View attachment 1707331
WELL PLANNED NAIROBI
Jamaa mgeni huyu tumkaribishe, hata choko master naye alikuja hv hv baadaye akaelewa huu uzi ukoje




View attachment 1707328
TZ POOR COUNTRY
Tembea Tanzania hii ukikuta plastic waste nitag, kwnn mnafosi tufanane, Nairobi KenyaView attachment 1707327
TZ POOR COUNTRY





zipo sema hatuna estate zakufana nyingi .....HALAFU TZ HAMNA POICHA ZA ESTATES NZURI ZA KWENU NA TUZIONE
Kali kinoma mkuu.Naitaji hizo buti kwenye picha ya pili.
Zitanifaa kwenye kazi zangu sana![]()
Tatizo wewe mgeni humuHALAFU TZ HAMNA POICHA ZA ESTATES NZURI ZA KWENU NA TUZIONE





Mkuu sasa hivi uku kwetu Corona ndo imepamba moto, tuliwacheka mlivyochukua hatua sasa ni zamu yetu kuzikana.Tazameni ukuta wa kuzuia mmomonyoko wa Udongo. Hii ni western Bypass Nairobi ambayo itakamilika mwaka ujao. Yaani ukuta mzito na mkubwa kama huu hata Thika road haina. Obviously Tanzania pia hamjawahi kuona kitu kama hiki.
View attachment 1684959
Ukuta wa aina yake huu
View attachment 1684961
Barabara yenyewe itakuwa pana
View attachment 1684963
Kwenye sophistication ya barabara hamtuwezi. Leteni battle kwenye mambo mengine lakini sio kwenye sophistication ya barabara
The whole City? Are you serious?View attachment 1707318
THE WHOLE CITY OF DARESALAAM LOOKING LIKE KIBERA
NYI na nyinyi hamna cha ku post isipokuw aubungo bridge na zile ghorofa tatu zilijengwa juzihuwa hamnaga kipya cha kupost hapo nairobi zaidi ya estateambazo kila siku ni hizo hizo tu
hapo ndiyo mwisho wenu
hizi ni baadhi tu ,,,sema tumepost sana humu kupitia page za nyuma,,,kurudia rudia mapicha hainogi....HALAFU TZ HAMNA POICHA ZA ESTATES NZURI ZA KWENU NA TUZIONE
Mkuu, kuna airport inajengwa kule Mtwara pia na Wachina walewale waliojenga Mkapa Stadium, kampuni ya BCEG(Modern Stadium in Sub Saharan Countries except Soccer City in RSA)Ukitazama idadi ya viwanda vipya vinavyojengwa haupati shida kujua tutakuwa wapi in 5-10 yrs. Miundombinu ndiyo hakuna hata haja ya kuiongelea.
Leo nilikuwa naangalia miradi ya ujenzi bandari za Tanga, Mtwara, na ziwa Nyasa. It's spectacular, we are going to kill people with this president.
Hata hivyo naipenda sana imani ya rais wenu kwamba kila kitu kitakuwa shwari... Ana imani sana kwa Mwezi. MunguMkuu sasa hivi uku kwetu Corona ndo imepamba moto, tuliwacheka mlivyochukua hatua sasa ni zamu yetu kuzikana.
Hii serikali ya ccm Haina mpango na sisi watanganyika ..ngoja tuendelee kufiana
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
hapa si dar mzee,,,,
hivi vijinyumba vimejengwa kwa a quater an an acre of a plot.... halafu unajivuniahizi ni baadhi tu ,,,sema tumepost sana humu kupitia page za nyuma,,,kurudia rudia mapicha hainogi....View attachment 1707362View attachment 1707365View attachment 1707363View attachment 1707366View attachment 1707367View attachment 1707364View attachment 1707368View attachment 1707370View attachment 1707369View attachment 1707372View attachment 1707373View attachment 1707375View attachment 1707376View attachment 1707371View attachment 1707374View attachment 1707377View attachment 1707378View attachment 1707379View attachment 1707381View attachment 1707380
wako vizuri sana mkuuhawa jamaa wako vizur nimewapenda.. nitajitahid viatu vyangu vyote vipya vijavyo niwatafute hawa jamaa kwanza
View attachment 1707317
View attachment 1707319
page yao twitter
page yao instaView attachment 1707323
kuna mtu alikuwa anaulizia namba zao, you can them![]()