Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha. Waligongwa na Wachina vibaya sana hawa Waganda. Wakiona ya Kenya ikielea kwenye city bila ya kupita juu ya misitu watalia na kusaga meno na kuwaambia Wachina wawarudishie pesa yao.
Hata bei yake ilikuwa ni zaidi ya noma aisee
 
Serikali ya Magu imefanya wote tuwe machinga maana hawataki vibrant private sector,saizi ni mwendo wa machinga na mama/baba ntilie unalipa 20,000 unatafuta vijana wanauza,nani anataka kukimbizana na TRA
 
Ujenzi holela unasababisha miji yetu ionekene vituko,hakuna public garden na miundombinu bado ni very underdeveloped sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…