The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Mshikilie hapo hapo usimuachie kilaza huyo a.k.a watchman, ikikupendeza tupia na picha yake kabisa ili asionekane humu mwezi huu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa ni mwaka mmoja tangu u-edit Google map ili uondoe slums Nairobi.
Je hizo slums zimeshaondoka?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ukuta apo nyuma ni wawapi huo mbn siujui [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yuko wapi yule mkenya aliniambia hapa ni dar temeke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] amenikumbusha mbali sanaView attachment 1694708
Umeonaee, watz ni full intelijensia [emoji3][emoji3][emoji3]Wewe jamaa kwa kupekua vitu ni hatari sana.
Dar is a village, wewe unakana?., Average homes ni za kishamba shamba tu., vumbi na poverty ya kiaina., ukweli hamtaki eti enzi za Mwalimu,[emoji1787][emoji28][emoji28] peleka umwehu mbali[emoji23][emoji1787][emoji28]., Dar nikubwa kujificha, ipo wazi tu.,Kweli umeishiwa aisee, picha zako ni zile zile za 90s mixa ma plastic waste, umeweka mpk fukwe ya zamani kabisa enzi za mwalimu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
...na ukubwa wa maeneo ya maisha duni ndio inawaumbua sana, wanahabari wanapo tangaza taarifa za mikoa Dar unaona tu hali ovyo ovyo, sasa itabidi waanze kuficha aibu., Nime watch lots of your current news(2021) haunidanganyi wewe [emoji23].,Kweli umeishiwa aisee, picha zako ni zile zile za 90s mixa ma plastic waste, umeweka mpk fukwe ya zamani kabisa enzi za mwalimu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣🤣Nmemuuliza distance ngj anijibu nimfunze kitu [emoji3][emoji3][emoji3]
Nairobi expressway[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1693951
Umebadili gear hewani tena[emoji1787][emoji1787]Nairobi expressway
Distance 27 km
Price $0.6b
Entebe expressway
Distance 51km
Price $476m
Na wanapost tu bila haya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivyo vitapungua kwa % kubwa stendi ikishahamia mbeziHivi vibanda vya machinga vinanikera sana,ila hili dude ni la kinyama sana
Bora uwe mwoga kuliko ujasiri usio na faida kama wa Libya.Tanzania is the most peaceful country in Africa. Ni kwa nini? Ni uoga wenu wa kuogopa kupindua serikali au ni nature yenu kutulia kama maji ya mtungini? Hata hamna rebels kwenye nchi yenu yet rebels wako katika 80% ya nchi za kiafrika. Aisee shukuruni mwalimu kwa kuwafanya muwe watulivu na waoga. Vita sio jambo nzuri.
Mimi nilikuwa nashauri waondolewe kwenye barabara kubwa na zile ambazo ziko busyYataisha tu,mana mm nilichomuelewa Magu ni kwamba anaruhusu hawkers wafanye biashara wawezavyo zen mambo yakikaa sawa watu wakiwa vzr kiuchumi civilization ita take place automatically.
Uganda wana 8 cities including entebbeHivi unajua maana ya Jiji? U really call Entebbe a city?
Unataka kusema kwamba hukuona majibu yangu? Tayari nilishakujibu. Nikakuambia kuwa ni 27 km ila kwa maeneo fulani expressway ya Kenya ni pana kushinda ya Uganda na pia ya Kenya ina interchanges nyingi kushinda ya UGNmemuuliza distance ngj anijibu nimfunze kitu [emoji3][emoji3][emoji3]
Inasikitisha sana anakula chochote ili mradi njaa isimuue...ndo maana hata haka kamsemo ka Proudly Kenyan...ni vigumu sana kukasikia upande wa pili, tofauti na Tanzania even myself could ever tell without any doubt,tena kifua kikiwa mbele" Proudly to be Tanzanian"Big Time!.Nyie wakenya mnaojidai mko well developed wakati asilimia kubwa hamwezi hata Ku afford 3 meals per day🙂wakati Sisi tunapiga not just 3 meals but heavy and nutritious meals
Mtu mwenye hela na maskini Tanzania wote wanashiba🙂
Example ya breakfast ya mtu WA kawaida
Miogo,half cake,vitumbua,viazi vitamu,Karanga,makande,sambusa etc vitu maskini kwetu anakutana navyo sasa wewe niambie maskini wenu anakula breakfast ipi tuanzie hapo🙂
Lunch mboga za majani zipo kibao na tena sisi wakulima mwenyez mungu katupa ardhi nzuri yenye rutuba,mfano Chinese,matembele nyanya chungu,nswalu kisamvu etc maana mboga zipo Aina nyingi sana,mgagani mlenda,dagaa,samaki wa Aina wote ni affordable maskini wa Kenya anakula nini?🙂
Mradi bila feasibility study ni pata potea!Kenyan your gava don't know how to priotise things...View attachment 1694823