Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Your earlier argument ulikua unasema nini kuhusu Kibera?.,

Dar ni slumish/ushago 80 - 90%.,
Twende kazi mana nimechoka upuuzi, weka humu hizo slumish areas in Tanzania na mm nianze moja baada ya nyingine hapa
Screenshot_20210204-173735.jpg
 
Ukweli ndio huwa hampendi kabisa, mnapenda jinsi mnavyowaongopea watu eti Kenya ni most developed country in East Africa pumbavu kabisa, yn kanchi kamechangamka kaeneo kamoja tu tena co kaeneo kote ni baadhi tu zen the most developed country in East Africa
 
😀😀😀😀😀
 
Twende kazi mana nimechoka upuuzi, weka humu hizo slumish areas in Tanzania na mm nianze moja baada ya nyingine hapa View attachment 1694333
most of those I can not compare with your shitty residentials ata kidogo , kwenyu kumetapakaa kote kote ushuzi, hakuna mahali pa kuweka kidole.., poor village standards alafu mnaita eti city , nilijua utakurupuka tu., Hauijui Nairobi, we ain't your peers.,
Dar yoote ni slum by standards, nyie mnaita unplanned settlements, nyambaff.,
 
Hahaha. Hio expressway ya Uganda imepita kwenye vichaka na misitu. Imeconnect Entebbe na Kampala na kuna misitu na vichaka kati ya hizi jiji mbili. Kampala city yenyewe haina expressway inayopita katikati yake. Nairobi ndio city ya Kwanza ambayo expressway inapita katikati.
Wabongo nanyi lazima mje tu maana hamjawahi kuona expressway maishani mwenu.
Hivi unajua maana ya Jiji? U really call Entebbe a city?
 
Ok,kwa hiyo tunakubaliana nairobi ina watu 4 mill,kati ya hao 2.5 mill are slum dwellers..!so ni sahihi kwa ile ripoti kwamba over 50% of nairobians wanaishi kwa slum.
Hiyo maana yake over 60% ya wakazi wa nairobi wako kwa extreme poverty..
Sasa ndio unitafutie hyo list ya hzo slums na idadi ifike milioni mbili, kibera tayari 250k kulingana ripoti yenu.
Nasubiria 2.25m uwalete hapa km wanaishi wapi
 
most of those I can not compare with your shitty residentials ata kidogo , kwenyu kumetapakaa kote kote ushuzi, hakuna mahali pa kuweka kidole.., poor village standards alafu mnaita eti city , nilijua utakurupuka tu., Hauijui Nairobi, we ain't your peers.,
Dar yoote ni slum by standards, nyie mnaita unplanned settlements, nyambaff.,
maneno ata kwe khanga yapo......
we weka picha acha blaablaaaa
 
Newyork kuna apartment yenye floor 78 ,halafu unajilinganisha nae,unajua hiyo building inahifadhi watu wangapi???..elewa unapoambiwa developed city
Nawe pia uelewe unapoambiwa nairobi ina watu wengi lkn ardhi ndgogo kisa ina appartments nyingi..
 
Dar ni jiji kubwa haswaa kila uendapo utakuta watu kibao iwe city centre au nje ya mji kama chanika,mbagala chamazi,tegeta bunju unakutana na makundi ya watu kama vile uko posta au kariakoo,dar ni kiboko hapa east
Umeelewa nilichokiuliza
 
Back
Top Bottom