Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aaah safi Sana kama mliishughulikia hongera Sana
Top 10 tuko., hapa sijawaikataa hata siku moja., All the leading and big African economies zipo kwenye top 10., Nigeria, SA, Kenya, Tz, Ethiopia., Lakini nyiny ni miongoni mwa tatu bora with the most digits
JamiiForums1552698300.jpg
 
Kuikweli wewe ni dwanzi world bank sio CCM., Kenyans.co.ke ata hapa Kenya are not reputable source unakicha wewe?, Ni kama world Bank walalamike eti kuna taarifa jamii forums inawadanganyia, wanasiasa wa CCM ndio zao hizo., Any other excuse mzembe?
So wamesingiziwa au sio na hawashtaki au sio unajua kosa lake au 🤣🤣🤣👇👇👇 kwamba world bank wamesingiziwa na wamekaa kimya 😅😅😅😅 kilaza wa aina yake
 
Unateseka leo kunywa utulize machungu., wivu na chuki zitakunyonga bure bro usije ukafa mapema kwa sababu ya facts tu, hazitakusaidia na lolote, ukatae ukubali ukweli utabaki vile, haubadili lolote, so punguza hasira, kweli umeskia vibaya sana
Kwamba world bank wamesingiziwa na media kutoka kenya na wamekaa kimya world bank au sio hawajaenda kushtaki🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇

 
Usichanganye vitu kuna report Mbili za WB kuhusu Kenya hiyo uliyoleta inahusu economic inclusion report iliyotoka mwaka jana I think November. Report ya January 2021 detailing the state of poverty in Kenya bado haijawa released ila snapshots yake imeshatoka habari ndio hiyo Kenya is worse economically compared to Zimbabwe and Burundi.
Yosef Festo yani word bank wamezushiwa na media kutoka kenya au sio😅😅😅😅😅
 
Serikali yetu inapoona taarifa zozote za uwongo iwe zimetokea jamii forums or any other reporting sources huwa inakanusha haraka sn, ss vp serikali yenu imekaa kmy? Mana ake nn hapo, so inawaachia nyie raia ndo mkanushe au sio?
Yani hata hao world bank inamaana wamezushiwa na wamekaa kimya 🤣🤣🤣 yani hawa watu ni mafala kwei na taarifa zote ni kutoka kenya
 
Unajaribu kudanganya vilaza wenzako wewe, the report was launched on Tuesday last week 2021, nothing about poverty nyambaff wewe,., Weka hapa link ya hizo snap shots nihame jf sasa hivi., Ingia website ya world bank Kisha unipinge kutoka hapo eti hawaja release hiyo report, nimeweka hadi link mnajifanya hamjui kusoma ama ni kizungu inakutesa?.,
Leave alone Kenya eti mnataja na Zambia kwa umasikini kwa hiyo report
Nyie pambaneni na hali yenu na wenzenu akina DRC
, View attachment 1693477
Sasa world bank wamezushiwa na media kutoka kenya au????🤣🤣🤣👇👇👇👇


B4D75292-197A-4D3C-92A0-A3E913D34D7E.jpeg
81B902D2-0057-480C-B2CA-C4CB0A606D0F.jpeg
 
Top 10 tuko., hapa sijawaikataa hata siku moja., All the leading and big African economies zipo kwenye top 10., Nigeria, SA, Kenya, Tz, Ethiopia., Lakini nyiny ni miongoni mwa tatu bora with the most digits
View attachment 1693519
Maneno ya kwenye karatasi waje kwa ground waone Hali halisi🙂na nyie wenye kuishi below a dollar mko wapi?
 
Maneno ya kwenye karatasi waje kwa ground waone Hali halisi🙂na nyie wenye kuishi below a dollar mko wapi?
Mwenye kutoa hizo takwimu atakua mkenya🙂au tayari beberu amekula rushwa kuichafulia tz yetu jina🙂
 
Nyie wakenya mnaojidai mko well developed wakati asilimia kubwa hamwezi hata Ku afford 3 meals per day🙂wakati Sisi tunapiga not just 3 meals but heavy and nutritious meals

Mtu mwenye hela na maskini Tanzania wote wanashiba🙂
Example ya breakfast ya mtu WA kawaida
Miogo,half cake,vitumbua,viazi vitamu,Karanga,makande,sambusa etc vitu maskini kwetu anakutana navyo sasa wewe niambie maskini wenu anakula breakfast ipi tuanzie hapo🙂
Lunch mboga za majani zipo kibao na tena sisi wakulima mwenyez mungu katupa ardhi nzuri yenye rutuba,mfano Chinese,matembele nyanya chungu,nswalu kisamvu etc maana mboga zipo Aina nyingi sana,mgagani mlenda,dagaa,samaki wa Aina wote ni affordable maskini wa Kenya anakula nini?🙂
 
Back
Top Bottom