Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unazunguka tu sehemu moja tu, na kwa wivu na machungu unasema eti 70% ya Nairobians wanaishi kule, uko desperate sana hehehe, Dar umaskini umetapakaa 90% of sq km, iko wazi tu!, 60% of Nairobians live in eastlands Kibera iko Southlands.,, nionyeshe sehemu ya average Dar residents of this magnitude., weka hapa., ukipata such in TZ ya normal residnets nafunga account humu., video clips, nipe nikupe..,
EASTLANDS.,

BURUBURU an estate in Eastlands..,

Mm nakupa sehemu moja tu mbezi over 25km from CBD👇👇👇👇👇👇
 
unazunguka tu sehemu moja tu, na kwa wivu na machungu unasema eti 70% ya Nairobians wanaishi kule, uko desperate sana hehehe, Dar umaskini umetapakaa 90% of sq km, iko wazi tu!, 60% of Nairobians live in eastlands Kibera iko Southlands.,, nionyeshe sehemu ya average Dar residents of this magnitude., weka hapa., ukipata such in TZ ya normal residnets nafunga account humu., video clips, nipe nikupe..,
EASTLANDS.,

BURUBURU an estate in Eastlands..,

Sasa ikiwa kibera alone ina 2.5m vp kuhusu other slums wanaishi nani nguruwe 🤣🤣🤣 na hapo hapo unemployment rate muko 3 times of tanzania then unanieleza nn ???

👇👇👇👇😄😄😄😄 usinilaumu mm

01CEB513-1DCB-4B09-999B-E4610C4AD3E1.jpeg
 
Are you happy now!!!
It is not a matter of being happy, ni kuweka ukweli wazi, watu wajikubali kisha wajijenge, miaka tano za mbele muwe nafuu, am proving some idiots wrong, mijisifa lakini bado sana., kukubali ukweli sio mwisho wa dunia jameni watani 😂 😂 😂
 
Sasa ikiwa kibera alone ina 2.5m vp kuhusu other slums wanaishi nani nguruwe 🤣🤣🤣 na hapo hapo unemployment rate muko 3 times of tanzania then unanieleza nn ???

👇👇👇👇😄😄😄😄 usinilaumu mm

View attachment 1694687
Najua wewe ni duanzi siku zote, ukweli hauwezi kukubali suit your idiot mind😂😂😂😂 Kibera ni 90% ya Nairobi kaka., wewe hauoni., pia mimi nimeona.,
#MombasaCity
 
unazunguka tu sehemu moja tu, na kwa wivu na machungu unasema eti 70% ya Nairobians wanaishi kule, uko desperate sana hehehe, Dar umaskini umetapakaa 90% of sq km, iko wazi tu!, 60% of Nairobians live in eastlands Kibera iko Southlands.,, nionyeshe sehemu ya average Dar residents of this magnitude., weka hapa., ukipata such in TZ ya normal residnets nafunga account humu., video clips, nipe nikupe..,
EASTLANDS.,

BURUBURU an estate in Eastlands..,

Na hao foreigners walioshika kazi wanaishi wapi??? Hebu tueleze kua 2.5m wanaoishia kibera sio watu leo tukuskie 🤣🤣🤣 ajira zenyewe hamuna maisha magumu pesa hakuna chakula hakuna alaf anaishia kwa nguvu gani pale za Mungu au🤣🤣🤣
 
Sasa ikiwa kibera alone ina 2.5m vp kuhusu other slums wanaishi nani nguruwe 🤣🤣🤣 na hapo hapo unemployment rate muko 3 times of tanzania then unanieleza nn ???

👇👇👇👇😄😄😄😄 usinilaumu mm

View attachment 1694687
Unajua wewe tatizo lako ni kwamba huheshimu ukweli. Na nilikataa kabisa kudebate na watu kama wewe. Unajua ukweli lakini unaipuuza na kudanganya ili ushinde debate. Unajua vizuri kwamba Kibera ina 250k people na hata sources zimewekwa hapa na ukazisoma lakini bado unarudi kwa ule upuuzi wako wa kusema kwamba Kibera ina 2.5 million people. Ni ngumu sana kukuelewa. Ndio maana huwa sitaki kudebate na akili punguani kama wewe maana huheshimu ukweli.
 
Unajua wewe tatizo lako ni kwamba huheshimu ukweli. Na nilikataa kabisa kudebate na watu kama wewe. Unajua ukweli lakini unaipuuza na kudanganya ili ushinde debate. Unajua vizuri kwamba Kibera ina 250, 000 people na hata sources zimewekwa hapa na ukazisoma lakini bado unarudi kwa ule upuuzi wako wa kusema kwamba Kibera ina 2.5 million. Ni ngumu sana kukuelewa. Ndio maana huwa sitaki kudebate na akili punguani kama wewe maana huheshimu ukweli.
Kwani mzungu anapokuja kushangaa kibera alaf wakazi wa kibera wanakasirika unafkiri kwann anakuja kushangaa hapo 🤣🤣🤣👇 acheni kuficha vitu viko wazi kibera ipo na inamiaka zaidi ya 20 leo unataka kujifanya hujui nn wewe ndio maana inaitwa biggest slums in the world kwasababu ina maajabu makubwa
 
I asked about what you want me to edit ukanyamza. I have even told you like a million times that even after editing you won't be able to view those changes immediate. It will take like one year for those changes to be visible, something that you have even confirmed

Sasa ni mwaka mmoja tangu u-edit Google map ili uondoe slums Nairobi.
Je hizo slums zimeshaondoka?

Back
Top Bottom