Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

More of Dar
View attachment 1694698
View attachment 1694700

FISHINH VILLAGE OF DAR ES SALAAM
View attachment 1694704

TAKATAKA.,poleni wana paradiso wa EAC
View attachment 1694705
Yuko wapi yule mkenya aliniambia hapa ni dar temeke 🤣🤣🤣👇👇👇 amenikumbusha mbali sana
3176FB41-9CC4-495C-94F1-D52D8EFB074B.jpeg
 
Mm nakupa sehemu moja tu mbezi over 25km from CBD👇👇👇👇👇👇

😂 😂 😂 😂 😂sehemu ya Mombasa tu., kojoa ulale bro.,
 
Tony,nicxie,Simba,yosef,Kiki hii project iliishia wapi??😃😃tupeni updates👇👇👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20210204-224559_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210204-224559_DuckDuckGo.jpg
    65.6 KB · Views: 13
Unajua wewe tatizo lako ni kwamba huheshimu ukweli. Na nilikataa kabisa kudebate na watu kama wewe. Unajua ukweli lakini unaipuuza na kudanganya ili ushinde debate. Unajua vizuri kwamba Kibera ina 250k people na hata sources zimewekwa hapa na ukazisoma lakini bado unarudi kwa ule upuuzi wako wa kusema kwamba Kibera ina 2.5 million people. Ni ngumu sana kukuelewa. Ndio maana huwa sitaki kudebate na akili punguani kama wewe maana huheshimu ukweli.
Akikubali ukweli anaogopa atakufa, wachana na yeye, boy wa Mwanza city 😂 😂 😂
 
Ungejua kiingereza ungegundua kwamba ile taarifa ulileta about Kibera and slums in general and what you are saying are totally different things. Kitu unasema na taarifa unayoleta hayaambati kisa huelewi kiingereza
Msamehe tu jamani[emoji1787][emoji1787]
Leo wala hana hamu na mm
 
Sasa ikiwa kibera alone ina 2.5m vp kuhusu other slums wanaishi nani nguruwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hapo hapo unemployment rate muko 3 times of tanzania then unanieleza nn ???

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] usinilaumu mm

View attachment 1694687
Hawataki ss kusikia, huwa wanakubali wazungu wakisema wana GDP ya $90b ila wakiambiwa slum dwellers Nairobi ni over 2.5 m hawataki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
27 km. Lakini ina more intersections kushinda ya Entebbe na sehemu zingine ni pana kushinda ya Entebbe.
Wacha kutetea wizi, yn only 27 km ni $0.6b wkt Entebe expressway ni 51km na ni $476m? Daahhh wallahi huo mzigo mliobebesha vitukuu vyenu hautabbebeka wallahi, yn vitukuu vitakavyozaliwa Kenya vitawatukana sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji90][emoji2781][emoji3545]
 
Unajua wewe tatizo lako ni kwamba huheshimu ukweli. Na nilikataa kabisa kudebate na watu kama wewe. Unajua ukweli lakini unaipuuza na kudanganya ili ushinde debate. Unajua vizuri kwamba Kibera ina 250k people na hata sources zimewekwa hapa na ukazisoma lakini bado unarudi kwa ule upuuzi wako wa kusema kwamba Kibera ina 2.5 million people. Ni ngumu sana kukuelewa. Ndio maana huwa sitaki kudebate na akili punguani kama wewe maana huheshimu ukweli.
Wanaliaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom