Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Linapita juu ya miti na bushes. Sasa hio ni expressway gani?Swali ni ipo au haipo🤣🤣🤣 na kama ipo basi jibu unalo
balala ni miongoni mwa waziri vilaza wakenya hata sishangai maneno yake 😄😄😄
Linapita juu ya miti na bushes. Sasa hio ni expressway gani?Swali ni ipo au haipo🤣🤣🤣 na kama ipo basi jibu unalo
balala ni miongoni mwa waziri vilaza wakenya hata sishangai maneno yake 😄😄😄
Hhaaaahhaa hilo eneo siwezi ishi wala kukatiza mitaa yake,maana jina lake latisha!😃😃Ndioo umeshangaa Hilo jina? 😀
Ni express au sio expresss naomba unijibu swali tony😁😁😁😁Linapita juu ya miti na bushes. Sasa hio ni expressway gani?
Sema mazingira magumu eneo Hilo,lakin watu wa Hilo ghetto wako peace Sana sijui mda mwingi ni shida huwa zinawafanya watu wanakua wapole au VP?🙂Hhaaaahhaa hilo eneo siwezi ishi wala kukatiza mitaa yake,maana jina lake latisha!😃😃
Kuna Wakati zamani kidogo Libya ndio ilikuwa na one of the highest standards of living in Africa. Ilikuwa ndio nchi ya Kiafrika yenye Gni per capita ya juu. Masomo bure, maji bure, apartments wanapewa bure na serikali. Yaani hakukuwa na masikini kule. Halafu serikali ilikuwa inapokea pesa nyingi kwa kuuza mafuta na haikuwa inafuja pesa through corruption. Pesa yote ilikuwa inakwenda kwenye kujenga taifa.Yaani ni shida mazingira ya Kule mtihani 😔Libya ilikua nchi nzuri hata ukifika Kule infrastructure inakuambia bahati mbaya inchi haiko stable Kama zamani
Ni expressway nusu. Ya Kenya ndio full.Ni express au sio expresss naomba unijibu swali tony😁😁😁😁
Umasiki wa wakenya ni next level,unajua kuna baadhi ya vitu huwa havifichikiSema mazingira magumu eneo Hilo,lakin watu wa Hilo ghetto wako peace Sana sijui mda mwingi ni shida huwa zinawafanya watu wanakua wapole au VP?🙂
Jamaa wa Libya wanalia na kujutia Sana,tukiwa Kule unaambiwa safety na security not guaranteed ukitoka kwenye kambi za UNHCR mda wote lazima utoe taarifa unaenda wapi na kama sio dharura tulia tu, armoured vehicles ndio usafiri wenu everytime Yani huwa nawaza Sana nashukuru mungu Sana kwa Tanzania yetu.Kuna Wakati zamani kidogo Libya ndio ilikuwa na one of the highest standards of living in Africa. Ilikuwa ndio nchi ya Kiafrika yenye Gni per capita ya juu. Masomo bure, maji bure, apartments wanapewa bure na serikali. Yaani hakukuwa na masikini kule. Halafu serikali ilikuwa inapokea pesa nyingi kwa kuuza mafuta na haikuwa inafuja pesa through corruption. Pesa yote ilikuwa inakwenda kwenye kujenga taifa.
Ukiwaambia hawatakiacha uongo dogokibera pekee inanyumba laki2 zizazohost 2.5ml dwellers vipi ziwani,korogocho, mukuru, kariadudu ?
![]()






Vinausiana na nn? Au ni mafeeling umecatchHii pesa yenu ambayo mnabeba kwa wheelbarrow? Ukienda kununua kitu kwa duka unabeba kilo kadhaa ya pesa.
Wengi wao ni WakenyaLibya ogopa mzee. Waafrika wanafanywa kuwa slaves huko.




Yaani nishida alafu huwa naona kama serikali ya Kenya huwa inachukulia poa tu issues nyingi ambazo Wana uwezo wa kusolve.Umasiki wa wakenya ni next level,unajua kuna baadhi ya vitu huwa havifichiki
Ila wewe sikuwezi 🤣🤣🤣🤣Wengi wao ni Wakenya![]()
Tanzania is the most peaceful country in Africa. Ni kwa nini? Ni uoga wenu wa kuogopa kupindua serikali au ni nature yenu kutulia kama maji ya mtungini? Hata hamna rebels kwenye nchi yenu yet rebels wako katika 80% ya nchi za kiafrika. Aisee shukuruni mwalimu kwa kuwafanya muwe watulivu na waoga. Vita sio jambo nzuri.Jamaa wa Libya wanalia na kujutia Sana,tukiwa Kule unaambiwa safety na security not guaranteed ukitoka kwenye kambi za UNHCR mda wote lazima utoe taarifa unaenda wapi na kama sio dharura tulia tu, armoured vehicles ndio usafiri wenu everytime Yani huwa nawaza Sana nashukuru mungu Sana kwa Tanzania yetu.
wananunaaaaaaa utafkir wanaeza badlisha kituUkiwaambia hawataki![]()
sio uoga hata, ila hatuna shida kama nyie kiasi cha kufanya watu waasi taifa lao,Tanzania is the most peaceful country in Africa. Ni kwa nini? Ni uoga wenu wa kuogopa kupindua serikali au ni nature yenu kutulia kama maji ya mtungini? Hata hamna rebels kwenye nchi yenu yet rebels wako katika 80% ya nchi za kiafrika. Aisee shukuruni mwalimu kwa kuwafanya muwe watulivu na waoga. Vita sio jambo nzuri.