Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Punguza unachotumia na tufanye real research kenya si level yenyu it's high time mkubali mnajaribu ndio lakini bado...
Siku ukiacha bangi utajua ni bora mkae kimyaa bado mnasafar ndef sanaaa...kama stend imekuwa life time dream you have nothing to tell
 
Sehemu moja tu nimekupa ili ulie nayo kwanza ukimalizana na hio sema nikupe nyingine

mm nilikwambia ningekua sijafika mombasa ungenidangany mm lakini kwa sasa tulia tu
Hakuna city nje ya nairobi, nairobi yenyewe inahemewa na slum kila kona alaf unazungumzia mombasa
Symptoms of poverty mindset ni hizi reasoning hapa,
you must be suffering from paranoia-schizophrenia, vile huwa unafikiria it is too obvious! A mental disorder, whatever your skewed head believes is true, u hold to it. Unaitaji maombi tu.,.,
 
Alieshiba na mwenye njaa nani anahitaji maombi hebu tuwe serious 🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ni mjinga wa mwisho...

Kutopigana ni highest level of civilazation.

Sun Tzu...
Katika kitabu chake anasema njia bora kuliko zote Duniani ya kushinda vita ni tutopigana...

Yaani ndani ya nchi yenu mnataka mpigane wenyewe kisa nini?

Kisa kabila lenu halijoatoa Rais ?
Kisa Dini yenu haijatoa Rais?
Kisa hamna mkate?.

Kwa nini msikae mkalima pamoja? Au mnapigania maji kwa nini msikae mkachimba kisima pamoja?.

Hakuna sababu ya maana nchi zenye rebels zinapigania
1. Libya waliazani wanamtoa Ghadafi kumbe wana serve selfish interest za watu.
2. Yemen, Syria, Ukraine.
3. Kenya 2017 mliuana kwa ajili ya Uhuru na akina Raila nini mmepata ?, na bado tu hamjajifunza? Bado mnaradio za Makabila, kwa tabia yenu mlivokuwa wabinafsi mkaanzisha ugatuzi na soon mtakuwa na federal goverments.

Ulishwahi kuumuliza baba yako kwa nini ulikuwa hilo Kabila lako?, je ungekuwa kabila lingine ungebadilika nini?.

Yaani kama hii ndio mindset yenu, kweli mnasafari ndefu...

Wazungu walipigana wakati ni wajinga walipogundua sio tofauti wakaungana... Acheni mawazo ya kinyani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyani ni wewe kwa kudharau kabila lako.
 
Ukweli gani naujua hebu niambie ni ukweli gani wakat source zinasema 2.5m people ww unataka kujititetea kwa source gani ???🤣🤣 Mkibananaishwa mnaanza kulia kulia

Soma hii kitu uliyopost utaona wenyewe wamesema kwamba Kibera ina 250,000 people. Wewe ni mjinga kabisa. Low IQ nincompoop. Usinimention. Sina muda na wajinga kama wewe.
 
Wacha nikuongezee tusi.
Wewe ni po po ma.
Kwa hiyo kwa sababu asilimia 80 ya nchi za Africa kuna rebels unataka na Tanzania wawepo! Wana faida gani? Ili iweje?
Nimewapongeza kwa kutokuwa na rebels. Badala ya kusema asante mnadhani kwamba ninataka muwe na rebels.
 
Soma hii kitu uliyopost utaona wenyewe wamesema kwamba Kibera ina 250,000 people. Wewe ni mjinga kabisa. Low IQ nincompoop. Usinimention. Sina muda na wajinga kama wewe.
Ss tuambie km Kibera ni 250k zen hao waliobaki nao c ni Wakenya au?
 
Soma hii kitu uliyopost utaona wenyewe wamesema kwamba Kibera ina 250,000 people. Wewe ni mjinga kabisa. Low IQ nincompoop. Usinimention. Sina muda na wajinga kama wewe.
Jiji lina watu 5m out of that 2.5m ni slum dwellers, zen wanabaki 2.5m ambapo hapo kuna foreigners kama 2m kwahiyo hapo Wakenya wanaoishi Nairobi ambao co slum dwellers ni km 0.5m alafu mnakuja kujisifu eti majority of nairobians wanaishi kwenye apartments hahahahaaa, mnasahau kwamba wanaoishi kwenye apartments wengi wao co Wakenya
 
Tony254 kuja uone reasoning ya ki ccm hku
 
Back
Top Bottom