Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mradi bila feasibility study ni pata potea!

CC: 😡 Tony254

kuna ile ya nairobi expressways ya kulipia.. nacheka sana afu nina maswal mengi

kwa uchumi wa kusuasua walionao.. hiv nn kitachowashawishi watu kupita ya kulipia na kuacha ya kupita bure?? at least ingekuwa inapita juu ya water bodies kama Salender bridge, Busis-Kigongo au Kigamboni ningeelewa!
 
Jam ya kuenda airport wakenya hawapendi Kukaa kwa traffic and it's a major highway connecting other counties to mombasa route so people who are in transit from other counties to mombasa and dont want to waste time when they reach nairobi and also tracks going to tanzania and Mombasa. It's like a bridge over nairobi
 
Kibera MP is really doing alot to improve the lives of the place in just one and a half years since he took over from his brother he has done alot.
 
Even schools in the villages are being build in a modernized way kenya kazi tu. Walidhani tumefunga corona kumbe tunawapa kazi kichini chini🤣🤣🤣
 
The northern road network is now very diverse there are roads linking to ethiopia and now southern Sudan too business with our north neighbours is about to get smoking
 
Tanzania is the most peaceful country in Africa. Ni kwa nini? Ni uoga wenu wa kuogopa kupindua serikali au ni nature yenu kutulia kama maji ya mtungini? Hata hamna rebels kwenye nchi yenu yet rebels wako katika 80% ya nchi za kiafrika. Aisee shukuruni mwalimu kwa kuwafanya muwe watulivu na waoga. Vita sio jambo nzuri.
Wewe ni mjinga wa mwisho...

Kutopigana ni highest level of civilazation.

Sun Tzu...
Katika kitabu chake anasema njia bora kuliko zote Duniani ya kushinda vita ni tutopigana...

Yaani ndani ya nchi yenu mnataka mpigane wenyewe kisa nini?

Kisa kabila lenu halijoatoa Rais ?
Kisa Dini yenu haijatoa Rais?
Kisa hamna mkate?.

Kwa nini msikae mkalima pamoja? Au mnapigania maji kwa nini msikae mkachimba kisima pamoja?.

Hakuna sababu ya maana nchi zenye rebels zinapigania
1. Libya waliazani wanamtoa Ghadafi kumbe wana serve selfish interest za watu.
2. Yemen, Syria, Ukraine.
3. Kenya 2017 mliuana kwa ajili ya Uhuru na akina Raila nini mmepata ?, na bado tu hamjajifunza? Bado mnaradio za Makabila, kwa tabia yenu mlivokuwa wabinafsi mkaanzisha ugatuzi na soon mtakuwa na federal goverments.

Ulishwahi kuumuliza baba yako kwa nini ulikuwa hilo Kabila lako?, je ungekuwa kabila lingine ungebadilika nini?.

Yaani kama hii ndio mindset yenu, kweli mnasafari ndefu...

Wazungu walipigana wakati ni wajinga walipogundua sio tofauti wakaungana... Acheni mawazo ya kinyani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unazunguka tu sehemu moja tu, na kwa wivu na machungu unasema eti 70% ya Nairobians wanaishi kule, uko desperate sana hehehe, Dar umaskini umetapakaa 90% of sq km, iko wazi tu!, 60% of Nairobians live in eastlands Kibera iko Southlands.,, nionyeshe sehemu ya average Dar residents of this magnitude., weka hapa., ukipata such in TZ ya normal residnets nafunga account humu., video clips, nipe nikupe..,
EASTLANDS.,

BURUBURU an estate in Eastlands..,
Wacha kutudangany melundikaka kwa slums ni km 1mill tu ya wakenya wanao ishi kwa izo apartment wengine wote hohehahe
 
Wacha kutudangany melundikaka kwa slums ni km 1mill tu ya wakenya wanao ishi kwa izo apartment wengine wote hohehahe
Punguza unachotumia na tufanye real research kenya si level yenyu it's high time mkubali mnajaribu ndio lakini bado...
 
Unajua wewe tatizo lako ni kwamba huheshimu ukweli. Na nilikataa kabisa kudebate na watu kama wewe. Unajua ukweli lakini unaipuuza na kudanganya ili ushinde debate. Unajua vizuri kwamba Kibera ina 250k people na hata sources zimewekwa hapa na ukazisoma lakini bado unarudi kwa ule upuuzi wako wa kusema kwamba Kibera ina 2.5 million people. Ni ngumu sana kukuelewa. Ndio maana huwa sitaki kudebate na akili punguani kama wewe maana huheshimu ukweli.
Ukweli gani naujua hebu niambie ni ukweli gani wakat source zinasema 2.5m people ww unataka kujititetea kwa source gani ???🤣🤣 Mkibananaishwa mnaanza kulia kulia

Wewe ni mjinga wa mwisho...

Kutopigana ni highest level of civilazation.

Sun Tzu...
Katika kitabu chake anasema njia bora kuliko zote Duniani ya kushinda vita ni tutopigana...

Yaani ndani ya nchi yenu mnataka mpigane wenyewe kisa nini?

Kisa kabila lenu halijoatoa Rais ?
Kisa Dini yenu haijatoa Rais?
Kisa hamna mkate?.

Kwa nini msikae mkalima pamoja? Au mnapigania maji kwa nini msikae mkachimba kisima pamoja?.

Hakuna sababu ya maana nchi zenye rebels zinapigania
1. Libya waliazani wanamtoa Ghadafi kumbe wana serve selfish interest za watu.
2. Yemen, Syria, Ukraine.
3. Kenya 2017 mliuana kwa ajili ya Uhuru na akina Raila nini mmepata ?, na bado tu hamjajifunza? Bado mnaradio za Makabila, kwa tabia yenu mlivokuwa wabinafsi mkaanzisha ugatuzi na soon mtakuwa na federal goverments.

Ulishwahi kuumuliza baba yako kwa nini ulikuwa hilo Kabila lako?, je ungekuwa kabila lingine ungebadilika nini?.

Yaani kama hii ndio mindset yenu, kweli mnasafari ndefu...

Wazungu walipigana wakati ni wajinga walipogundua sio tofauti wakaungana... Acheni mawazo ya kinyani

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nawapongeza kwa kuwa wapole na watulivu halafu wewe unanitukana? Una mtindio wa ubongo wewe.
 
😂 😂 😂 😂 😂sehemu ya Mombasa tu., kojoa ulale bro.,
Sehemu moja tu nimekupa ili ulie nayo kwanza ukimalizana na hio sema nikupe nyingine 😅😅😅😅😅

mm nilikwambia ningekua sijafika mombasa ungenidangany mm lakini kwa sasa tulia tu
Hakuna city nje ya nairobi, nairobi yenyewe inahemewa na slum kila kona alaf unazungumzia mombasa 😀😀😀😀
 
Yaani nawapongeza kwa kuwa wapole na watulivu halafu wewe unanitukana? Una mtindio wa ubongo wewe.
Wacha nikuongezee tusi.
Wewe ni po po ma.
Kwa hiyo kwa sababu asilimia 80 ya nchi za Africa kuna rebels unataka na Tanzania wawepo! Wana faida gani? Ili iweje?
 
Back
Top Bottom