Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,286
- 35,794
😃😃 wajinga sana aisee,ndio maana tunasema ule uwanja wao baada ya afcon utakua hauna tena matukio makubwa,kwanza ligi yao ya soka ni mbovuWanaringishia Tanzania. 😂😂😂
😃😃 wajinga sana aisee,ndio maana tunasema ule uwanja wao baada ya afcon utakua hauna tena matukio makubwa,kwanza ligi yao ya soka ni mbovuWanaringishia Tanzania. 😂😂😂
Utafungiwa na CAF au FIFA kwa kukosa vigezo vya kutumika then mechi za nyumbani kwenye michuano ya CAF au FIFA wataenda kucheza Uganda. 😂😂😂😃😃 wajinga sana aisee,ndio maana tunasema ule uwanja wao baada ya afcon utakua hauna tena matukio makubwa,kwanza ligi yao ya soka ni mbovu
ni huzuni
Unajua kiingereza?una export sukari kwenda wapi?😆😆😆😆
nikikwambia uchawa ni cancer ya taifa hili nakosea? hvi kweli mm nina haja ya kubishana na mtu kama wewe
Let’s be honest… if Mama invited Barca vs Liverpool to open Arusha , will you object ?..ongea ukweli ..Wenyewe wanafurahi kabisa 😃😃
Wangese wametupa mabilioni ya pesa ili timu za mataifa mengine zije muzindua uwanja wao wa Taifa 😀😀😀there is nothing like a package you have to pay them, si mmeaomba waje kufungua 😂 😂 😂 btw life after AFCON will be so tough because you will need to pay people to come and play there for it to be relevant 😂
Haya majamaa reasoning ni 0Ujinga wa kiwango cha uzuzu,mazuzu wanajisifu kabisa,kuna m1 nimeona kasema "bayern unavyodhani watakubali kucheza kwenye kiwanja cha arusha" 😃😃
35k spectators.Whats the official capacity ? And don’t exaggerate…😜
Mangufuli was not perfect but i admired his workholic skills . I wish Kenyan leaders can pay surprise unannounced visits to public service places … It would mean alot . His style was so admirable I heard an American politician tell it in a town hall meeting . But that’s the only credit he gets from me ..( I almost forgot this a battle).🤣🤣 He definitely screwed up on covid response …Siasa za kijinga,hata wao wakipewa nchi hawawezi kuifanya kama europe au america,yan TZ watu wanaanza jan to dec,wanasiasa wa TZ hawanaga kusubiri kipindi cha uchaguzi au lah,wao ni siasa tu,ndio maana magu alifungia masuala ya siasa
Then it doesn’t belong same league with Talanta . It’s half the size ..35k spectators.