The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
ichoboy01 [emoji115][emoji115] karudi tena jamaa yako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ichoboy01 [emoji115][emoji115] karudi tena jamaa yako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hilo sio neno la kingereza. Machinga kulingana na jinsi mnavyowazungumzia watakuwa ni watu wanaouza bidhaa mbali mbali na wanayatandika chini kwenye barabara. Hao pia wako Kenya na ni kero pia huku. Lakini huku hatuna jina maalum kwao. Hao wanaitwa tu wafanyibiashara rejareja.Hilo si ni neno la kingereza auu?
Huku hatuna jina maalum kwao. Tunawaita tu wafanyibiashara au wafanyibiashara rejareja.Wafanya biashara ndogondogo,mitaji yao huwa chini ya 2 mill tsh..
Wenyewe huuza chochote tu radio,phone accessories,nguo,mikate,viatu,daftari,vitabu,movie collection etc
Nyie mnawaitaje?.
Asante umejibu vizuri sana.Siyo kweli, Tanzania imekuwa na majaribio mengi ya upinduzi kutoka ndani na nje kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki. Lakini yote yameshindikana.
Utulivu wa Watanzania ni mafaniko ya mifumo yetu ya ulinzi na usalama. Rebels wamekuwepo sana ila wanazimwa kimya kimya. Tanzania kila mtu anajukumu la kuilinda nchi yake, mgeni yoyote akiingia mahali, anakuwa keshajulikana. Ni kweli Mwalimu ndiye aliyeweka mifumo mingi ya usalama, mmoja wapo ni huu wa nyumba kumi kumi.
Zamani Dar kulikuwa na vikundi vya kihuni (rebels) kama kiboko msheli, komando yosso na juzi juzi tumekuwa na panya rodi. Vyote hivyo vilisafishwa kwa mtindo ule ule uliomaliza kundi la magaidi kibiti. Linapokuja suala la ulinzi, Tanzania huwa haicheki na kima.
Hili ni kabila huko kusini mwa Tanzania, vijana wa huko walikuja Dar kwa wingi kipindi cha Rais Mwinyi (1985 - 1885). Vijana hao wakaanza hustling ya kutembeza bidhaa (nguo, mifuko, n.k) mjini ndipo wakaitwa wamachinga, japo kuwa kwa sasa mtu yeyote anayetembeza bidhaa barabarani anaitwa mmachinga.
Hahaha. Asante kwa kunikumbusha.Machinga ni hawkers nyie huwa mnatumia wachuuzi🙂
Kenya pia kuna Wakuria. Mkileta Wakuria wenu sisi tunaleta wetu. Halafu Kenya ina kabila nyingi vichwa ngumu hata wakati mwingine wanashinda serikali nguvu. Kabila mbili wasumbufu zaidi ni Waturkana na Wapokot. Ila kwa hao wawili Wapokot ndio ni moto fire. Hizo kabila mbili huwa wanatembea na bunduki hadharani na hata wana ubavu wa kufyatulia polisi risasi na kutoroka msituni.Kuna wakuria,wajita na wasimbiti original 🙂hawa wanapatikana mkoa wa mara yaani kiufupi hawa jamaa wanatosha Ku descpline Kenya nzima🤣🤣🤣🤣🤣
Aliyewaambia tunataka chanjo yao nani
WHO Yainyima Tanzania, Burundi Chanjo ya CoronaView attachment 1694443
hivi silaha wanapata wapi?risasi je?Kenya pia kuna Wakuria. Mkileta Wakuria wenu sisi tunaleta wetu. Halafu Kenya ina kabila nyingi vichwa ngumu hata wakati mwingine wanashinda serikali nguvu. Kabila mbili wasumbufu zaidi ni Waturkana na Wapokot. Ila kwa hao wawili Wapokot ndio ni moto fire. Hizo kabila mbili huwa wanatembea na bunduki hadharani na hata wana ubavu wa kufyatulia polisi risasi na kutoroka msituni.
Tanzania has one city: Dar es Salaam.,Ulimaliza na nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanza ulimaliza na nani wewe si ndio iliwakimbiza humu mukabakia kupost hotels za nyali huko
Kenya has big slum: Kibera.,Tanzania has one city: Dar es Salaam.,
Village haiwezi nitesa[emoji28][emoji1787][emoji23][emoji23]., hiyo ni kioja kwangu., Mimi nawacheka mnavyo jikaza kuitetea Dar kwa kuidhalilisha Nai ili Dar ionekane lakini wapi [emoji1787][emoji23][emoji23] dunia inajua ukweli[emoji1787][emoji23], yaani in Dar mnajaribu kuziba tako moja lingine linachomoka, halizibiki., ukweli kuhusu Dar haifichiki[emoji28][emoji1787][emoji23][emoji23] , mimi nangoja electric train yenyu., Station si mbaya hivyo., but not comparable to Kenya's.,Dar bado inakuumiza kichwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Dar ni 90% slumish/ushago/mashambani poverty lifestyle..,Kenya has big slum: Kibera.,
unalia lia bado., ulijaribu kuleta hadi miji mingine lakini wapi., nje ya Dar ni vituko., standards za Uganda., only Dar can compare na hii👇👇👇ukitaka lia kabisa😂😂😂 iko wazi peupe, ama nikusambazie data kijana fukara? najua hii video ulishindwa kuitazama ju imekuudhi mbaya 😂 😂 😂 ulikua umedanganya watu humu.,Ulimaliza na nani 🤣🤣🤣🤣 mwanza ulimaliza na nani wewe si ndio iliwakimbiza humu mukabakia kupost hotels za nyali huko
Kenya 90% is hunger/goat rapistsDar ni 90% slumish/ushago/mashambani poverty lifestyle..,