Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndiyo changamoto pekee ukiacha ya ujenzi wa kiholela wa kujijengea hovyo hovyo ambapo naona imekosa dawa.
Nashukuru sasa hivi Dodoma mipango miji wanajitahidi sana.

Huwa nafanya kazi mikoa miwili.

Siku mbili Dar na siku mbili Dodoma.
Ila siku hizi nimetokea kuvutiwa sana na Dodoma 😂😂😂
Naweza kaa weekend nzima plus siku mbili za kazi.
Nadhani nitahamia moja kwa moja Dodoma.
 
Ok,kwa hiyo tunakubaliana nairobi ina watu 4 mill,kati ya hao 2.5 mill are slum dwellers..!so ni sahihi kwa ile ripoti kwamba over 50% of nairobians wanaishi kwa slum.
Hiyo maana yake over 60% ya wakazi wa nairobi wako kwa extreme poverty..
Wamegoma kukubali licha ya kuwapa evidence, wanapinga bila credible sources ukiwabananisha wanakimbilia kujifanya kujua kingereza as if wao ndio waliokianzisha.

Ndo mana nikawashauri hizo article wanazozitoa midomoni mwao wazi publicize basi tujue moja.
 
Tanzania is the most peaceful country in Africa. Ni kwa nini? Ni uoga wenu wa kuogopa kupindua serikali au ni nature yenu kutulia kama maji ya mtungini?
Siyo kweli, Tanzania imekuwa na majaribio mengi ya upinduzi kutoka ndani na nje kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki. Lakini yote yameshindikana.
Hata hamna rebels kwenye nchi yenu yet rebels wako katika 80% ya nchi za kiafrika. Aisee shukuruni mwalimu kwa kuwafanya muwe watulivu na waoga. Vita sio jambo nzuri.
Utulivu wa Watanzania ni mafaniko ya mifumo yetu ya ulinzi na usalama. Rebels wamekuwepo sana ila wanazimwa kimya kimya. Tanzania kila mtu anajukumu la kuilinda nchi yake, mgeni yoyote akiingia mahali, anakuwa keshajulikana. Ni kweli Mwalimu ndiye aliyeweka mifumo mingi ya usalama, mmoja wapo ni huu wa nyumba kumi kumi.

Zamani Dar kulikuwa na vikundi vya kihuni (rebels) kama kiboko msheli, komando yosso na juzi juzi tumekuwa na panya rodi. Vyote hivyo vilisafishwa kwa mtindo ule ule uliomaliza kundi la magaidi kibiti. Linapokuja suala la ulinzi, Tanzania huwa haicheki na kima.
Machinga huwa ni watu gani na wanauza nini? Maana huku Kenya hatutumii hilo neno.
Hili ni kabila huko kusini mwa Tanzania, vijana wa huko walikuja Dar kwa wingi kipindi cha Rais Mwinyi (1985 - 1995). Vijana hao wakaanza hustling ya kutembeza bidhaa (nguo, mifuko, n.k) mjini ndipo wakaitwa wamachinga, japo kuwa kwa sasa mtu yeyote anayetembeza bidhaa barabarani anaitwa mmachinga.
 
Kitu nimenotice kwa wakenya wa humu...wanaogopana sana kupingana wako radhi wamuunge mkono mwenzao anayepotosha kuliko kumkosoa.
Naweza sema wakenya hawana uhuru wa kukosoana wenyewe kwa wenyewe humu jamiiforums
Ndo amenishangaza Yosef Festo yn huyu ni Mkunya wa kwanza kumpinga mkunya mwenzie
 
Been their like two years ago, along the expressway ni residentials na businesses, villagish look though at some places but not that forest the way unaweka, yako is a mere hating, the road is dope, plus the surroundings.,
Cc Tony254 kuja ukule vidonge vyako hapa, unaleta hating zako hapa wkt Entebe expressway ndio the most expensive in Africa
 
Nashukuru sasa hivi Dodoma mipango miji wanajitahidi sana.

Huwa nafanya kazi mikoa miwili.

Siku mbili Dar na siku mbili Dodoma.
Ila siku hizi nimetokea kuvutiwa sana na Dodoma
Naweza kaa weekend nzima plus siku mbili za kazi.
Nadhani nitahamia moja kwa moja Dodoma.
Watu wengi sn wana plan hizo aisee, naona kabisa tukipungua hapa Dar by 2025.
 
Wamegoma kukubali licha ya kuwapa evidence, wanapinga bila credible sources ukiwabananisha wanakimbilia kujifanya kujua kingereza as if wao ndio waliokianzisha.

Ndo mana nikawashauri hizo article wanazozitoa midomoni mwao wazi publicize basi tujue moja.
Nenda jifunze kiingereza, ata unge DM mtu anaye fahamu kizungu akufafanulie, nimeaoma comments zako, uko ovyo sana., maybe ulikua tu battle, arguing to win sio kujua ukweli., Dar ni ushago sana , unajaribu kujificha na Kenya
 
Hehehehee kwamba slum dwellers Nairobi ni 2.5mil inahitaji ujue kingereza
 
Nenda jifunze kiingereza, ata unge DM mtu anaye fahamu kizungu akufafanulie, nimeaoma comments zako, uko ovyo sana., maybe ulikua tu battle, arguing to win sio kujua ukweli., Dar ni ushago sana , unajaribu kujificha na Kenya
Kwamba hii unaipinga au sio
Pic_1612448137114.jpg
 
Kwamba hii unaipinga au sio View attachment 1694317
Alafu weka facts kwa ground., name them kisha dhibitisha, tukiweka ukweli mtapinga hadi forever some of the places called slums in Kenya ni flats tupu, but conjested, Kama pipeline areas, hamuwezi kukubali on average Dar ni ovyo., mashambani kote kote, poverty its your city's middle name.., unajaribu kujiliwaza baada ya exposure
 
Haya twende kazi, expose Dar na expose Nairobi
Screenshot_20210204-013240.jpg
 
Back
Top Bottom