Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Geza tatizo unafikiri am against you while am not ..
Na support Power plants na Grid zijengwe na tuuze umeme sadc

Ila timing ndo what matters while we are selling that surplus JnHPP,and other sources electricty see how it goes and continue ..while kuhangaika selling umeme while ur citizen they dont move hata fast kwenda ma ofisini kwao ...

We should do all things na nakubali..and my main point was to wait for 5 yrs atleast kabla ya ku procure mtu kujenga another 560mw za huko njombe ...cause we will be having 1000mw cheap surplus we can sell anyway
Umeme utahitajika sana tuu considering a 30bn LNG plant in Lindi , Electrified SGR, Gold refineries, Mchchuma Iron ore plant, New mines under construction and efforts to connect all villages in Tanzania. Zote zinahitaji umeme in the short run.
 
Hata EACOP itahitaji power to run pumps aside gas to heat the waxy crude oil! halafu uzuri tayari several power grids zinajengwa all the way mpaka Kigoma na Kagera mpaka Katavi na Sumbawanga na all over the country!
 
Most of our industries use Gas ..na nying ziko pwani na Dar ..ambapo bomba limepita

Twiga Cement alone inatumia 40mw ya Gas produced

Na bado kuna Dangote nahis around 75mw not sure

Diamond cement iko pwani hizo zote hutumia Gas

So umeme bado mwing hauendi direct viwandani

I dont think he is right i read a report saying we are around 1300mw to 1400 nilishatumaga humu ila nikipata ntashare tena
Kama nchi tunaona ili tuwavutie wawekezaji wapya na waliopo inabidi tupunguze gharama ya undeshaji ambayo kwa kiasi kikubwa (approx 20% plus) inaenda kwenye Energy. ( Baadhi ya projects nilizowahi kufanya inaonesha 30% huwa inaenda kwenye Energy pekee).

Kama mtu anatumia 100sh per unit ukimpunguzia hadi 30sh utakuwa umeongeza uzalishaji kwa 60%.

Hapa si tu umemsaidia muwekezaji ila pia umemsaidia consumer.

China imekuwa haraka sana kwenye viwanda kwa sababu Energy ni Cheaper.

Umeme tulionao sasa ni ghali kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa sijawai kuona sehemu amabyo uko wrong .. its almost ur right kila kitu ..you cant have same views na watu wote ...
na jua Grid inajengwa na mimi sioni mama kuna shida grid ikijengwa na tukauza umeme nje cause tutapata pesa

Point yangu ni moja kujenga mitambo ijengwe ila sio kwa speed kubwa mpka umeme ukabaki surplus ..nchi gani umeona wanahangaika hawana umeme ukiaachana na SA na labda zimbabwe kidogo na hao SA wanajenga plants zao as we speak

So if JNHPP is u/c itazalisha 2115mw
Kinyerezi 1 ext 185mw 188mil usd

Rusumo 28mw

Afdb wame approve loan ya 50mw
malagarasi fall 120million usd mind you hio ni 250billion Tsh

Why uanze kujenga Ruhidij sijui na nyngne ipi zitazoproduce 560mw cost maybe be around 1bil usd kumbuka ..utauza umeme miaka mingap ugenerate revenue ya 1billion usd

Ushapata picha hio 1 usd B iende kumalizia phase za BrT 3 zilizobaki na kuanza kunenga light rail Dar na Mwanza ..unajua almost watu wote watatumia na hela itarudi chap kuliko kujenga power plants ambao wateja ni almost wakulenga cause nao wanahangaika kujenga plants zao ??
Upo sahihi na mawazo yako ni kama ya Mchumi. Wewe unawaza opportunity cost ya $ 1 billion. Na hivyo ndivyo wachumi wamefunzwa kuwaza. Swali la kwanza la kujiuliza ni je hii $1 billion inaweza kujenga barabara kilomita ngapi badala ya kujenga white elephant surplus power ya 580 MW? Mbona ujenge 580 MW wakati bado hujamaliza kujenga 2,000 MW? Hata feasibility study ya hio 580 MW sijui kama imefanywa ila feasibility study inastahili kuelezea kama project fulani ni white elephant au la. Watanzania wenzako watakupinga lakini upo sahihi. Usikubali wakuintimidate. Mnapoteza tax payers money kujenga viwanda vya kufua umeme wakati nyinyi wenyewe mnatumia 1,177 MW miaka hamsini baada ya kupata uhuru. Eti mnapanga kuuza SADC. Haya basi kila la heri kuuza umeme wote huo SADC. Nawaombeeni mpate customers wa kutosha.
 
white elephant? kwahiyo Tanesco haipaswi kuendelea kufanya biashara na kuzalisha na kusambaza umeme mwingi nafuu? alternative power? Unajua kuhusu energy wewe? Ni Majirani wangapi tunaweza kuwauzia pia? nyie Kenya mna surplus lakini expensive power! SADC needs more power! wacha wivu mshikaji, 2022 inakuja, mlevi anafanya tour za kumjibu Sonko!

Preparations for more of white elephant well underway, the power is to go at Tshs 36, the cheapest rate per unit in comparison to all other forms of power generation!

Huo mwaka 2023 ndio kuna kitu gani chakufanya mahitaji ya umeme yawe mara mbili ya mahitaji ya sasa?
 
Mpango huo upo na najua upo na vinajengwa i just said nguvu iongezeke ili hyo miradi ikamilike (lrt na brts) mapema na sio kuifanya pole pole na hela inaenda kujenga plants

maana project tulizo nazo zitazalisha 2400mw lets say zote zikiwa zimeisaha by 2025 hyo power inaweza kutusukma hata by 5 years na bado tukauza ndo tuanze kujenga hizo 560mw .Geza what will change rapidly over next 5 yrs itachofanya to consume 2400mw zote ? Hapo tutakuwa tuna 4000mw lets say migodi 5 na refinery tano na SGR zitumie 1500mw tutakuwa na surplus ya 1GW

Mkuu kati ya vitu ambavyo soko lake lipo nje nje ni umeme na mafuta, Hata siku moja huwezi kukuta nchi yoyote inatoa taarifa kuwa hakuna surplus ya umeme katika Nchi maana hii itakuwa inafukuza wawekezaji kwenye hiyo nchi hivyo watasema wanasurplus ila ukitokea uwekezaji wowote kinachofuata ni mgao wa umeme kwa wananchi wa kawaida. Hii ilitokea TZ kabla ya ile miradi ya kinyerezi.

Nchi nyingi sana zina uhaba wa uzalishaji wa umeme ili kuvutia wawekezaji lazima waoneshe surplus hyo ndo njia uwa inatumiwa na badala yake kuna kuwa na migao ya umeme. Hakuna Nchi yyte inayoweza kukataa kununua umeme maana wakiangalia wao wanazalisha labda unit moja kwa Cent 40 na kuuza kwa Cent 50 lakin Nchi nyngne inakuuzia unit hyo hyo kwa Cent 20 na wewe utauza unavyotaka ili upate faida zaid unafikir kuna nchi gani inaweza kukataa ndo maana soko la umeme ni fursa ilio nje nje usione south africa na zimbabwe zinauziana umeme hyo ndo reason behind.
 
Upo sahihi na mawazo yako ni kama ya Mchumi. Wewe unawaza opportunity cost ya $ 1 billion. Na hivyo ndivyo wachumi wamefunzwa kuwaza. Swali la kwanza la kujiuliza ni je hii $1 billion inaweza kujenga barabara kilomita ngapi badala ya kujenga white elephant surplus power ya 580 MW? Mbona ujenge 580 MW wakati bado hujamaliza kujenga 2,000 MW? Hata feasibility study ya hio 580 MW sijui kama imefanywa ila feasibility study inastahili kuelezea kama project fulani ni white elephant au la. Watanzania wenzako watakupinga lakini upo sahihi. Usikubali wakuintimidate. Mnapoteza tax payers money kujenga viwanda vya kufua umeme wakati nyinyi wenyewe mnatumia 1,177 MW miaka hamsini baada ya kupata uhuru. Eti mnapanga kuuza SADC. Haya kila la heri kuuza umeme wote huo SADC.
wewe nawe unajiita mchumi? usiojua tofauti ya public and private companies! a disgrace to ur Accountancy profession!
 
Kama nchi tunaona ili tuwavutie wawekezaji wapya na waliopo inabidi tupunguze gharama ya undeshaji ambayo kwa kiasi kikubwa (approx 20% plus) inaenda kwenye Energy. ( Baadhi ya projects nilizowahi kufanya inaonesha 30% huwa inaenda kwenye Energy pekee).

Kama mtu anatumia 100sh per unit ukimpunguzia hadi 30sh utakuwa umeongeza uzalishaji kwa 60%.

Hapa si tu umemsaidia muwekezaji ila pia umemsaidia consumer.

China imekuwa haraka sana kwenye viwanda kwa sababu Energy ni Cheaper.

Umeme tulionao sasa ni ghali kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli na mm nafurahia energy mix inayoenda kutokea na in future naona mitambo ya kinyerezi 1 na 2 itakuwa inatumika mara chache hasa kama mabwawa yatukua full ili kupunguza cost

Hydro is the cheapest kwa sasa
 
na utauzika kirahisi! hamna nchi ya kiafrika itanunua umeme wa unit cost Tshs 114 na kuacha wa Tshs 36! halafu kuna mtu anathubutu kuita JNHPP white elephant! Hata Kenya watanunua toka kwetu na Ethiopia japokuwa mradi wa GERD unachelewa sana na una migogoro, a reason naona chance kubwa kwa mradi wa JNHPP! Juzi Rais wa Ethiopia kaja kuomba ushirikiano wa kijeshi, unajua kwann? anajua kitanuka anytime! Nilikuwa nambishia joto la jiwe ila mgogoro wa Tigray umenifumbua macho! lolote lawezekana uko Ethiopia!

CC: joto la jiwe
 
Mkuu kati ya vitu ambavyo soko lake lipo nje nje ni umeme na mafuta, Hata siku moja huwezi kukuta nchi yoyote inatoa taarifa kuwa hakuna surplus ya umeme katika Nchi maana hii itakuwa inafukuza wawekezaji kwenye hiyo nchi hivyo watasema wanasurplus ila ukitokea uwekezaji wowote kinachofuata ni mgao wa umeme kwa wananchi wa kawaida. Hii ilitokea TZ kabla ya ile miradi ya kinyerezi.

Nchi nyingi sana zina uhaba wa uzalishaji wa umeme ili kuvutia wawekezaji lazima waoneshe surplus hyo ndo njia uwa inatumiwa na badala yake kuna kuwa na migao ya umeme. Hakuna Nchi yyte inayoweza kukataa kununua umeme maana wakiangalia wao wanazalisha labda unit moja kwa Cent 40 na kuuza kwa Cent 50 lakin Nchi nyngne inakuuzia unit hyo hyo kwa Cent 20 na wewe utauza unavyotaka ili upate faida zaid unafikir kuna nchi gani inaweza kukataa ndo maana soko la umeme ni fursa ilio nje nje usione south africa na zimbabwe zinauziana umeme hyo ndo reason behind.

Nimekuelewa sana mkuu means
Our focus is on Hydro cause ndo cheapest thts why tunajega JNhPp kisha hio ya Njombe miwili yenye 580mw ..my point was just on timing but anyone can have different views ..lets generate and sell cheap plus a big surplus for us this is also what i want

Cha pili umenipa point ya kwamba labda ndo maana Kuna reports tofauti kati ya surplus na demand am sure Tz demand ni more than 1200mw na iko at 1400mw haiwezekani na mjiengo yote inayoota kama uyoga na viwanda vilivyongezwa in 5yrs hata visivyotumia gas tukwa tume stick at 1177mw
 
na utauzika kirahisi! hamna nchi ya kiafrika itanunua umeme wa unit cost Tshs 114 na kuacha wa Tshs 36! halafu kuna mtu anathubutu kuita JNHPP white elephant! Hata Kenya watanunua toka kwetu na Ethiopia japokuwa mradi wa GERD unachelewa sana na una migogoro, a reason naona chance kubwa kwa mradi wa JNHPP! Juzi Rais wa Ethiopia kaja kuomba ushirikiano wa kijeshi, unajua kwann? anajua kitanuka anytime! Nilikuwa nambishia joto la jiwe ila mgogoro wa Tigray umenifumbua macho! lolote lawezekana uko Ethiopia!

CC: joto la jiwe

More likely jNHpp itaisha kabla ya Gerd so we will be more of first sellers pia sidhan kama Congo watajenga Inga Dam 3. soon ..huyo ndo alikuwa competitor mkubwa
 
Najua umekasirika kwa sababu mimi na Tz_one tumekuumbua kwenye hili swala la white elephant power plants. Pole kwa hasira mzee.
Khaa mmeniumbua seriously? Haya tuambie umeme wenu surplus wa unit cost Tshs 114 mtamuuzia nani mbele ya ule wetu wa unit cost Tshs 36? Mchumi wa akili za matope!

JPM anawanyuka kila kona Uganda pipeline, nyuka! ! SGR, nyuka! ! Affordable power, nyuka! ! Hata regional transhipment ports, nyuka! ! Yaani hamna nyeupe mtaona! Ni nyuka tuu!
 
More likely jNHpp itaisha kabla ya Gerd so we will be more of first sellers pia sidhan kama Congo watajenga Inga Dam 3. soon ..huyo ndo alikuwa competitor mkubwa
Unaona enhee na ndo mana JPM kageukia uko miradi ya BRT(phase IV na V) na tram pia ipo mbioni ila tram itaanza Dodoma maana kuko ready zaidi maana mji unajengwa from the scratch!
 
Najua umekasirika kwa sababu mimi na Tz_one tumekuumbua kwenye hili swala la white elephant power plants. Pole kwa hasira mzee.
ila wewe jamaa aina yako ya kufikiri inafikirisha sana.

tangu lini umeme ukatosha kwenye nchi zinazoendelea???

SA wanazalisha MW 45000 na bado wanakata kata umeme,unapata picha gani ukisoma hapo???
 
Ni kweli na mm nafurahia energy mix inayoenda kutokea na in future naona mitambo ya kinyerezi 1 na 2 itakuwa inatumika mara chache hasa kama mabwawa yatukua full ili kupunguza cost

Hydro is the cheapest kwa sasa
Boss yaani unasema kwamba mtazima mitambo za Kinyerezj 1 na 2 hata kabla ya kurecoup investment mliyoweka kwenye miradi hiyo? Mkizima mitambo za Kinyerezi 1 na 2 kabla ya kurudisha pesa ambayo mliweka ndani ya miradi hiyo basi mtakuwa mumepata loss kubwa. Watu ambao wamesomea uchumi na biashara watanielewa. Hamuwezi kamwe kuzima mitambo za Kinyerezi 1 na 2 kabla ya kurecoup au kurudisha pesa ambayo mlimwaga huko ndani. Mkifanya ujinga kama huo mtatengeneza losses kubwa sana. Yaani mitambo ya Kinyerezi 1 na 2 ziwe idle na kuoza na kupata kutu ilhali bado hamjarecover ile investment mliyonwaga ndani? Halafu ujuwe mitambo whether zinafanya kazi au zipo idle huwa zinadepreciate in value. So wewe jua tu kwamba hata mkizima mitambo za Kinyerezi 1 na 2 ili kutumia hydropower ambayo ni cheaper kwamba lazima mtadepreciate value of assets na kila mwaka value ya hizo mitambo itapungua whether mnazitumia au la. In accounting, unaponunua gari mpya halafu uitumie kwa mwaka mmoja tu halafu uiweke kando kwa miaka mitano bado value ya gari yako itapungua whether unaitumia au la na loss itakuwa kubwa maana umenunua asset na huitumii na value yake inapungua kila mwaka. Kwa hivyo mkizima mitambo ya Kinyerezi kabla hamjarudisha pesa ambayo mlitumia basi lazima mtapata losses.
 
Back
Top Bottom