Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Majority ya nairobians wanaishi eastlands
Nyie dar tuonyesheni majority wanaishi wapi
Dar ni jiji kubwa haswaa kila uendapo utakuta watu kibao iwe city centre au nje ya mji kama chanika,mbagala chamazi,tegeta bunju unakutana na makundi ya watu kama vile uko posta au kariakoo,dar ni kiboko hapa east
 
Majority ya nairobians wanaishi eastlands
Nyie dar tuonyesheni majority wanaishi wapi
acha uongo dogo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙉🙉 kibera pekee inanyumba laki2 zizazohost 2.5ml dwellers vipi ziwani,korogocho, mukuru, kariadudu ?😳😳😳😳😳🤣🤣🤣🤣🙈🐒🐒🐒🐒👈
 
ErmS0KWXYAAmr18

Mlijenga airport kwa nini huko Chato ilhali watu wachache wanaishi huko? Au ni kwa sababu JPM anatokea Chato? Nyinyi pia mna ubaguzi
 
Tandale kuna apartments? Maana Kariobangi ujuwe kuna apartments nyingi. Usikute Tandale ni nyumba za mabati tu.
Hiyo tandale kuna nyumba kali kariobange hakuna,halafu mwenye dream house yake huwezi kumfananisha na mtu anayeishi kwa rent,yaani ni mbingu na ardhi hasa kwa life standard hamtuwezi hata kidogo
 
Mlijenga airport kwa nini huko Chato ilhali watu wachache wanaishi huko? Au ni kwa sababu JPM anatokea Chato? Nyinyi pia mna ubaguzi
kwanza inabidi ujue chato airport ni uwanja wa mkoa wa geita sasa geita ni kiwanda cha madini, uvuvi na mazao ya uvuvi, utalii
usisahau mwanza kuna airport, kagera kuna airport, kahama kuna airport
 
Balala yupo correct. Akisema tourists hamaanishi wazungu anamaanisha Watanzania na Waganda.
Mganda aje ashange nn wakat express way wanayo 🤣🤣🤣 na nani mpuuzi aje kushangaa barabara 😅😅😅😅
 
Nairobi slums ninazo zijua na ambazo nimefika hizi hapa; alafu wadau waniambie kama ni least au most🙂
1.Kariobangi-darfur,githembe,kanyama,light industries,kariobangi sewage etc
2.Huruma-kiamaiko,ngei,
3.mathare-4a,mradi,desert,Kosovo,mlango kubwa etc etc area 4
4.mukuru kwa Jenga,kwa Ruben,mukuru kayaba
5.majengo,ziwani,shauri moyo,Kashmir etc
6.korogocho,Kisumu ndogo,Balkans.grogon a,b/gitathuru,ngomongo,Kona mbaya,undugu, mandrakos,
7.,kasabuni, lucky summer Baba dogo,kariadudu
8.kayole Soweto
9.kibera.line Saba,Lindi,Soweto, charagombe
10.kawangware etc etc
Hiyo imekaa aje mkuu🙂

🤣🤣🤣🤣🤣😩 Kariadudu??!!!
 
Mganda aje ashange nn wakat express way wanayo 🤣🤣🤣 na nani mpuuzi aje kushangaa barabara 😅😅😅😅
Hahaha. Hio expressway ya Uganda imepita kwenye vichaka na misitu. Imeconnect Entebbe na Kampala na kuna misitu na vichaka kati ya hizi jiji mbili. Kampala city yenyewe haina expressway inayopita katikati yake. Nairobi ndio city ya Kwanza ambayo expressway inapita katikati.
Wabongo nanyi lazima mje tu maana hamjawahi kuona expressway maishani mwenu.
 
Mlijenga airport kwa nini huko Chato ilhali watu wachache wanaishi huko? Au ni kwa sababu JPM anatokea Chato? Nyinyi pia mna ubaguzi
Chato ni wilaya iliopo kwenye mkoa mpya wa geita sasa wewe hapo unapinga nn wakat geita sasa ni mkoa na unatakiwa uwe na huduma zote za msingi
 
Hahaha. Hio expressway ya Uganda imepita kwenye vichaka na misitu. Imeconnect Entebbe na Kampala na kuna misitu na vichaka kati ya hizi jiji mbili. Kampala city yenyewe haina expressway inayopita katikati yake. Nairobi ndio city ya Kwanza ambayo expressway inapita katikati.
Wabongo nanyi lazima mje tu maana hamjawahi kuona expressway maishani mwenu.
Swali ni ipo au haipo🤣🤣🤣 na kama ipo basi jibu unalo

balala ni miongoni mwa waziri vilaza wakenya hata sishangai maneno yake 😄😄😄
 
BiChato ni wilaya iliopo kwenye mkoa mpya wa geita sasa wewe hapo unapinga nn wakat geita sasa ni mkoa na unatakiwa uwe na huduma zote za msingi
Nani alifanya Geita iwe Mkoa? JPM? Bila shaka habari umeshaipata.
 
Back
Top Bottom