The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Mchina hana huruma daahh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mchina hana huruma daahh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na huo ndiyo ukweli, hizi takwimu za gdp kwa kiasi kikubwa zinatumika kisiasa.Kusema ukweli Kikwete uchumi wake ulikuwa unapaa juu unafikia 6% na 7% ila hakuna maendeleo kwenye ground. Nadhani ni kwa vile alikuwa marafiki na mabeberu. Kwa hivyo Imf na WB walikuwa wanakubaliana na data yoyote inayotolewa na serikali yake. Magufuli naye akitoa data 7% Imf wanapunguza hadi 4% maana hawampendi lakini kuna maendeleo ya kufa mtu kwenye ground.
Kwahiyo leo umekubali kwmb popln yenu ni zaidi ya 52mil kwmb kanchi kadogo mnazaana km ngedere na kwmb licha ya ukubwa wa Tz lkn bado tunawazd only 8 mil people, wallahi watu mnajua kupigana mkapula [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ghana population yao ni only 30 million na nyinyi mko 60 million na bado wana Gdp kubwa kuwashinda. Na Gdp per capita yao ni double yenu. Ghana sio size yenu. Wale wako mbele yenu
View attachment 1688452
Ivyo yani, blessed ones.Nyinyi watanzania hamuwezi kupata corona. Mungu aliwaumba kwa kutumia udongo spesheli kushinda sisi wengine.
Hata ulie haitosaidia [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]You are not yet where we are, mko tu Dar kwa wingi, so tulia kaka mfike Kisha uongee, Dar ni kubwa but not yet developed, only less than 15% of the sq km, what u call a second City imechoka., economic output bado ni hafifu., yani ni propaganda and empty rhetorics on unfinished projects., Maliza we analyse their impact on the economy which will take some time after completion, mko na mwendo sana!,
Hapa huwa nacheka sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lakini google earth haijui sindio[emoji23][emoji23][emoji23] yani ww unaakili kuliko google earth haya ndio maajabu mm hua naona kwa wakenya
View attachment 1688497View attachment 1688500
Habari ndiyo hiyo, Sasa ngonjeni kilio [emoji23]
ichoboy01 [emoji3516][emoji3516] Karudi tena[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawa hatukosi kwa vitu Nzuri kubwa kubwa hapa Africa [emoji16][emoji16]
Niwekee ki Nairobi hapo hahaaaa[emoji2516]View attachment 1688461
Eti mtz naye anaongelea kuhusu kuzaliana[emoji23][emoji23]Kwahiyo leo umekubali kwmb popln yenu ni zaidi ya 52mil kwmb kanchi kadogo mnazaana km ngedere na kwmb licha ya ukubwa wa Tz lkn bado tunawazd only 8 mil people, wallahi watu mnajua kupigana mkapula [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
But what I am happy with, there is a bright future in East Africa.Uko spot on. SA hata wakiingia recession kwa miaka kumi mfululizo bado watakuwa mbele ya nchi nyingi sana hapa Africa. They have the systems in place so hata wakizembea bado they will still be ahead of us. Sisi sasa hivi ndio tunajenga misingi za kiuchumi ilhali SA tayari wanazo kwa miaka nyingi.
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haimake sens,,,,,sasa kenya kuna nini cha maana ,,,,jangwa au[emoji1787][emoji1787]Dar ndio pekee ya maana ndio maana mmejazana making it look like a big slum, Mwanza city ya pili looks funny imechoka na aibu kuonyesha watu[emoji1787][emoji23][emoji23] raiya wa kawaida pale kazi za kujituma ni zile za chini sana hard to make it big pengine uangukie mgodi [emoji23][emoji23] napaelewa sana, the filthy rich ndio are calling the shots., Kuja nchi ya kibepari ujitume ufaulu.,
Akibisha naruka naeFacts ndo projects zinazoendelea au huoni? Tuna miradi ambayo ninyi hamuwezi kuifanya kwa miaka 30 ijayo au hutaki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hio ya Kenya kuwa 52 million umeitoa wapi?Kwahiyo leo umekubali kwmb popln yenu ni zaidi ya 52mil kwmb kanchi kadogo mnazaana km ngedere na kwmb licha ya ukubwa wa Tz lkn bado tunawazd only 8 mil people, wallahi watu mnajua kupigana mkapula [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona mnazidi kuja Nairobi kama Nairobi ni mbaya? Karibu kila siku nakutana na Mtanzania huku. Na sio kwamba wanafanya kazi ya ofisi inayohitaji masomo. La hasha, wao wanafanya biashara ndogo ndogo. Wengi wamefungua kiosk yaani duka. Wengine wanauza nguo za mitumba, wengine ni waiters kwenye mahoteli. Kuna wengine ni omba omba huku hata kiswahili chao ni cha kitanzania. Yaani sio kwamba wanafanya kazi inayohitaji kisomo. Hata wakati MP Jaguar alisema kwamba Watanzania wafukuzwe huku maana ni wengi sana, baadhi ya wafanyibiashara wa Kenya walisupport maana mpo wengi sana huku. Halafu hawana work permit na polisi wa huku wanakula hongo tu badala ya kuwakamata kwa kukosa work permit. Hata wengine hawana passport na kama wewe ni Mtanzania lazima uwe na passport ili uingie Kenya. Huwa tunawaacha tu maana nyinyi ni jirani ila kisheria tunastahili kuwakamata hawa watu kwa kukosa vibali. Mnasema tuna roho mbaya ilhali tunawaachia mnachanganyika na Wakenya wengine na kuleta competition za kibiashara kwa Wakenya. Kuna mfanyibiashara Mtanzania mahali ambapo naishi amefungua supermarket na Wakenya wananunua bidhaa bila kumbagua. Hata mimi huwa naenda huko kununua bidhaa. Halafu ameajiri Watanzania tu. Kuna siku nilipiga gumzo naye, anasema anatokea Tanga. Sasa huko Tanga sijui ni wapi lakini hamtubagui[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haimake sens,,,,,sasa kenya kuna nini cha maana ,,,,jangwa au[emoji1787][emoji1787]
hakuna city unayoijua yeyote hapa Tz ,,asilimia kubwa ya Watanzania tulio humu tuna experience na nairobi na tumewahi kukaa,,huwa haturopoki maisha ya kwenye video tunadeal na ground life.....ambayo ndiyo real