Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We critic everything here, sio nyie mnadanganywa na kupiga makofi. Hiyo SGR wakenya wengi hawakuitaka hadi waleo ndio maana utapata wanaiponda sana!

Lakini kutotosheka ni tabia ya Africa, wa Morocco niliona documentary kwa Aljazeera, hawataki hiyo speed train yao, wanaona eti ni white elephant and it was not necessary na ni expensive kwa raiya wa kawaida, Nigeria wanalia eti walioshwa tafuta video YouTube, wanasifu ya Kenya na Kenya wanasifu Ethiopia, Ethiopia walichoka na yao ya kukwama kwama juu ya unstable umeme, wako tu proud na commuter train. , So sishangai mimi., Nangoja yenyu an already white elephant before it starts!
A bunch of excuses just to prove your wrong doing
 
Nyie mna projects gn za ku compare na Tz, au ndo expressway ambayo mnapost humu 24/7
Tena hio express ngoja uone dhiki yake ambayi mchina atawafanya kwa muda wa miaka 30 hawatokaa kusahau 😅😅😅 hapo tayar mchina kashatengeza ajira kwa watu wake kusimamia huo mradi kwa miaka 30 huku wakenya wakiumia
 
Dar ndio pekee ya maana ndio maana mmejazana making it look like a big slum, Mwanza city ya pili looks funny imechoka na aibu kuonyesha watu raiya wa kawaida pale kazi za kujituma ni zile za chini sana hard to make it big pengine uangukie mgodi napaelewa sana, the filthy rich ndio are calling the shots., Kuja nchi ya kibepari ujitume ufaulu.,
Lakini google earth haijui sindio😂😂😂 yani ww unaakili kuliko google earth haya ndio maajabu mm hua naona kwa wakenya
A9F0DE52-E5B2-4ECE-88FE-C4186B4BA5A8.png
45C73CBF-5929-413A-9F68-FC3488AAE4BB.png
 
They only cherry pick kwa mitandao what agrees with their skewed reasoning, can't reason objectively and intellectually., lower your argument to their level. Kuja pole pole tu , and have fun
Naona munapeana matumaini sasa 🤣🤣 haya piganeni na mabusu sasa
 
sikuhiz kuanzia jtatu hadi jpil mradi wanaoupost sana ndo huu mmoja... sisi kila mkoa kuanzia kaskazin Mwanza hadi kusini Mtwara, kuanzia mashariki Dar hadi magharibi Kigoma tuna miradi mingi tu ya billions dollars
Hawana kitu watapost zaidi ya mradi wa mchina ambao unaenda kua kaa la moto muda sio mrefu kwa miaka 30 😂😂😂
 
Tena hio express ngoja uone dhiki yake ambayi mchina atawafanya kwa muda wa miaka 30 hawatokaa kusahau hapo tayar mchina kashatengeza ajira kwa watu wake kusimamia huo mradi kwa miaka 30 huku wakenya wakiumia
Ni DM nikufunze maana ya PPP vs direct loan or funding, what it does to National treasury., pros n cons, uwezi linganisha na mkopo., Wewe kazi ni kulazimisha fikra zako finyu, wacha ianze kazi uone., na bei yake pia, then compare na loan. Mvivu najua hautamani kupata na kuelewa how the thing works and it's benefits over the conventional loan uptake, ,ukweli najua haupendi. Kama account haukufunga na expressway inajengwa wewe mwehu kweli nakumbuka ukiniambia "haitajengwa bro...ndafunga account"., nikapinga ukasema "Basi nionyeshe billboard wenzako wameshindwa....hiyo haijengwi" Kenya ain't Tz., will never be.
 
Hawana kitu watapost zaidi ya mradi wa mchina ambao unaenda kua kaa la moto muda sio mrefu kwa miaka 30
Imefunguliwa thread yake to rub it on your face, pole kaka ni Kenya. Na bado Mombasa ni kimya kimya what u don't see outside Dar city bro 2022 kwa majaliwa ya Maulana Mombasa itakutesa zaidi Mr. Dar baby
 
Lakini google earth haijui sindio yani ww unaakili kuliko google earth haya ndio maajabu mm hua naona kwa wakenya
View attachment 1688497View attachment 1688500
Pockets I can put a finger, weka aerial view around those places utaona clear., while in Dar low life imetapakaa kote kote! Ukweli na ichoboy01 ni kama maji na mafuta., sehemu kubwa ya jiji la Dar have a poor village look standards, walala hoi ni almost 90% na maisha ya kishamba shamba tu.,
 
Back
Top Bottom