Tanzania haijawahi ipiku Kenya, wacha uongoBaada ya kupigania uhuru mlikuja mkatupiku kiuchumi kwa muda flani, then what happened? Your excuses bado hai explain your poverty , na haitukoseshi amani kamwe coz I know it will take ages to level., understand the fundamentals za uchumi si porojo..,
Ghana population yao ni only 30 million na nyinyi mko 60 million na bado wana Gdp kubwa kuwashinda. Na Gdp per capita yao ni double yenu. Ghana sio size yenu. Wale wako mbele yenuIla mazee Ghana wanajitahidi sana wako wachache my wanatengeneza dow mob kutuzidi...hata gdp per capital wanawazidi nyan'gau
Prof Lumumba amekuwa mchumi tena? Wewe ni bangi gani unavuta?Unasemaa uchumi gani utasimama wakat unemployment rate iko 3 times of tanzania and uganda ??😀😀😀😀
Bado unataka kusema economy gani ambayo madeni yameua nchi mpaka leo deficit ya budget inafika almost half of the budget
Hakuna kusingizia corona😄 kenya imeanza kudodoka hata kabla ya corona na wachumi wenu walisema hilo akiwemo prof lumumba
Nyinyi watanzania hamuwezi kupata corona. Mungu aliwaumba kwa kutumia udongo spesheli kushinda sisi wengine.kwanza aliyekuambia kuwa covid haija athir tanzania ni nani.....?....
au haujui kuwa pia kuna muingiliano wa kibiashara baina ya mataifa,,,,tuchukulie mfano nina duka langu la kuuza nguo kwenye duka lako ghafla tukapata matatizo ya kiafya kwa pamoja hii hali ikatupelekea wote tufunge maduka yetu ila baada ya mda nikapata mbinu ya kujikinga na kujitibu kabisa hatimaye nikapona nakuendelea na shughuli zangu za kuuza biashara ya kuuza nguo kwenye duka langu ila cha kusikitisha mwenzangu ukawa bado unaumwa hivyo hiyo hali ikawa bado inakupelekea uendelee kufunga biashara yako.....
unadhani hapo kipi kilichotokea..?
You are not yet where we are, mko tu Dar kwa wingi, so tulia kaka mfike Kisha uongee, Dar ni kubwa but not yet developed, only less than 15% of the sq km, what u call a second City imechoka., economic output bado ni hafifu., yani ni propaganda and empty rhetorics on unfinished projects., Maliza we analyse their impact on the economy which will take some time after completion, mko na mwendo sana!,Nyie mna projects gn za ku compare na Tz, au ndo expressway ambayo mnapost humu 24/7![]()
Hauna habari??, Hauijui nchi yako wewe? Ndio maana umekomaa kwa propaganda tu kazi ni ku cherry pick info hapa kule to support your skewed reasoning, bro uko down sana!
A good question, GDP yetu inatupa fursa wale wenye kujituma kufaulu, Kuna fursa mingi mno, ukienda Mombasa unaeza jijenga if u know how to hustle, sio lazima uandikwe kazi, ukija Nairobi it is competitive with opportunities to make money, ndio maana watanzania wenzako wanatembeza nguo na kufanya biashara kadhaa from salons to boda boda riders, Eldoret to me is the best, u can hustle and make it easily coz circulation ya pesa iko 24/7 in that town, Thika, Kiambu county is an industrial town, very competitive pia it is kikuyu dominated (unajua sifa zao), Naks Vegas(Nakuru) ndio hata usiseme, it is on "heat" kwa sasa. kisumu na Kakamega zimechangamka deadly, poverty is an individual thing. Hata pale kwenu usipojituma ata Magufuli ajenge SGR nchi yote utabaki fukara.



wacha kupointless unaongea vitu vya kawaida sana ficha hizo story ,,,kwa hiyo unadhani huku hakuja changamka.....?...Izo asira zako pelekea uhuru wwNani amepinga ufisadi hapa?., licha ya haya tuko 2020, hamjamaliza SGR,. bado output ya Dar port is nowhere near Mombasa, JKIA's revenue ina more than double JNIA's., Nyinyi ni laana ama kurogwa ama ni propaganda, kama ingekua ukweli mngekua juu ya Ghana, Sudan, na Ethiopia kwa sasa., Hauniambii kitu wewe![]()

sikuhiz kuanzia jtatu hadi jpil mradi wanaoupost sana ndo huu mmoja... sisi kila mkoa kuanzia kaskazin Mwanza hadi kusini Mtwara, kuanzia mashariki Dar hadi magharibi Kigoma tuna miradi mingi tu ya billions dollars 
They only cherry pick kwa mitandao what agrees with their skewed reasoning, can't reason objectively and intellectually., lower your argument to their level. Kuja pole pole tu , and have funProf Lumumba amekuwa mchumi tena? Wewe ni bangi gani unavuta?


yaah inawezekana ila muumba hana ubaguzi,,,,ila binadamu tumekosa imani...Nyinyi watanzania hamuwezi kupata corona. Mungu aliwaumba kwa kutumia udongo spesheli kushinda sisi wengine.
Dar ndio pekee ya maana ndio maana mmejazana making it look like a big slum, Mwanza city ya pili looks funny imechoka na aibu kuonyesha watuwacha kupointless unaongea vitu vya kawaida sana ficha hizo story ,,,kwa hiyo unadhani huku hakuja changamka.....?...
pia unadhani kenya ndiyo yenye sehemu za industrial....?....
kila sehemu wstu wana hustle hii dunia ya sasa si yakulala usiwe na mawazo ya kizamani


raiya wa kawaida pale kazi za kujituma ni zile za chini sana hard to make it big pengine uangukie mgodi 
napaelewa sana, the filthy rich ndio are calling the shots., Kuja nchi ya kibepari ujitume ufaulu.,Umeona hasira ama unaumwa na ukweliIzo asira zako pelekea uhuru ww


bro kojoa ulale please

Unaita white elephat wakat phase 5 ujenzi umeanza 342km 😅😅😅😅 naona mushaanza kuogopa bado mapema sanaWe critic everything here, sio nyie mnadanganywa na kupiga makofi. Hiyo SGR wakenya wengi hawakuitaka hadi waleo ndio maana utapata wanaiponda sana!
Lakini kutotosheka ni tabia ya Africa, wa Morocco niliona documentary kwa Aljazeera, hawataki hiyo speed train yao, wanaona eti ni white elephant and it was not necessary na ni expensive kwa raiya wa kawaida, Nigeria wanalia eti walioshwa tafuta video YouTube, wanasifu ya Kenya na Kenya wanasifu Ethiopia, Ethiopia walichoka na yao ya kukwama kwama juu ya unstable umeme, wako tu proud na commuter train. , So sishangai mimi., Nangoja yenyu an already white elephant before it starts!