Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,226
Just do analysis ya their economic output kwa maakini.,airport pekee sio GDP, kuna several factors brathe., Wacha blind patriotism, it is clouding your judgement., Wivu kisa Ghana iko juu yenyu sasa ni GDP ya kwenye makaratasi., Basi wako na more modern stadiums kuwashinda, if u want to use such reasoning to argue
, kindly style up man
![]()
Mi sibishani na Mjinga anaye ishi kwenye nyumba za madebe kama Njiwa.
Mi nimetembea sana kwenye nchi hizi za Africa na nazijua vyema. Wewe Jidanganye tu.
Kwa ujinga wako na Wakenya wengine, mnadhani Nigeria iko Juu ya Kenya wakati sio kweli. Kwa ground Kenya ni kama net Tork kwa Nigeria. In case kama hujui, ncnhi za central na west ndio za hovyo Africa.



