nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
na hiyo GDP fake is just a matter of time, sasa kama taifa agenda yetu kuu ni uchumi tu, mengine ni ya ziada,tunataka tuelekee uchumi wa kati wa juu kwa kishindo.Kuna mambo mengi sana tumewazidi kuanzia baharini mpk nchi kavu, kitu kilichobaki ni kimoja tu ambacho kinawapa nguvu nacho ni GDP ushuzi inayonuka madeni basi, tukibadilisha hyo hamtakuwa na cha kuongea, tupo mbali mno kwa ss.






