Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo ni tatizo la planning na halina uhusiano wowote na Gdp. Wizara ya fedha ya Kenya ndio ina planning mbaya ya matumizi na wameshindwa kupunguza expenditure au kuongeza revenue. Hilo ni tatizo mbaya la planning maana huwezi kutumia pesa nyingi kushinda mapato yako. Kwa hivyo hakuna haja ya sisi kuongea kuhusu Gdp. Tuongee tu kuhusu planning mbaya ya wizara ya fedha
Kwangu mimi ninaliona tofauti kidogo, wizara ya fedha inapanga matumizi kulingana na taarifa za uchumi wa nchi, taarifa zinaonyesha kwamba uchumi wa nchi ni mkubwa (Bigger GDP), wizara inatumia taarifa hizo katika kupanga matumizi bila kujua kwamba taarifa hizo sio za kweli ni taarifa za kupika.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Nani Huyo Hana,sema hapa
Usione aibu mbn kwenu ni jambo la kawaida tu
JamiiForums1062788651.jpg
 
Nyie number ni kubwa Sana nchi ya asali na maziwa eti!, Rotuba kote kote! Madini chungu nzima! Kama si laana hii itakua upumbavu umechanganishwa na ujinga. Kigezo cha kupima ni kile cha LDCwalai wakitunlmia ya lower mido income si mtakua 90%
Huu wimbo wa zamani bado unauimba leo? Uko nchi gani ww au Taured?
 
Wacha ujinga, nenda moja kwamoja tafuta Tanzania budget deficit 2020/21 utaona, huna sababu ya kupoteza nguvu nyingi, angalia ni nchi gani yenye kutekeleza miradi mingi na mikubwa kwa pesa za ndani bila kukopa, hiyo ndio ishara halisi kwamba budget deficit ni ndogo sana

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
...na ujue mimi Tz hainilishi propaganda I get the facts na ku compare na what CCM says si kupiga makofi kishenzi na kifala fala. Sio mimi nilikusanya ushuru wa Tz na sio mimi niliandika budget wacha hasira kaka , "pesa za ndani" narrative ni political statement tu, facts speaks otherwise.
 
Kwangu mimi ninaliona tofauti kidogo, wizara ya fedha inapanga matumizi kulingana na taarifa za uchumi wa nchi, taarifa zinaonyesha kwamba uchumi wa nchi ni mkubwa (Bigger GDP), wizara inatumia taarifa hizo katika kupanga matumizi bila kujua kwamba taarifa hizo sio za kweli ni taarifa za kupika.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hapa ss ndo wamekuelewa, ndo mana huwa wanakataa ww co form four failure
 
Lugha ni grammar na vocabulary, sio pronunciation. Wakenya hamjui Kiswahili kabisa, huwa ninashangaa haya maneno ya wakenya
1)Ndiposa
2)Venye
3)Yenyu

Haya maneno sio Kiswahili, wakenya msichanganye na Kikuyu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hahaha. Sahihisha. Ndiposa inastahili kuwa nini? Venye inastahili kuwa nini? Na yenyu nadhani inastahili kuwa yenu.
 
...na ujue mimi Tz hainilishi propaganda I get the facts na ku compare na what CCM says si kupiga makofi kishenzi na kifala fala. Sio mimi nilikusanya ushuru wa Tz na sio mimi niliandika budget wacha hasira kaka , "pesa za ndani" narrative ni political statement tu, facts speaks otherwise.
Facts ndo projects zinazoendelea au huoni? Tuna miradi ambayo ninyi hamuwezi kuifanya kwa miaka 30 ijayo au hutaki
 
Report iliyo tolewa na world Bank kuhusu extreme poverty in Tz uliisoma wewe?, Walitumia Kigezo cha LDC $0.99. na mkapatikana fukara millioni 28 , kwa sasa wataanza kutumia $2.99 since mko lower middle income., Wacha tusubiri tuone
Kwahiyo sio tena masikini au sio
 
Back
Top Bottom