Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwangu mimi ninaliona tofauti kidogo, wizara ya fedha inapanga matumizi kulingana na taarifa za uchumi wa nchi, taarifa zinaonyesha kwamba uchumi wa nchi ni mkubwa (Bigger GDP), wizara inatumia taarifa hizo katika kupanga matumizi bila kujua kwamba taarifa hizo sio za kweli ni taarifa za kupika.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hapa sikubaliani na wewe. Hakuna sababu ya Kenya kuwa na budget kubwa kushinda ya Federal government of Nigeria ilhali Nigeria ina Gdp kubwa mara nne kushinda Kenya. Gdp ya Kenya sio ya kupikwa. Gdp ni ya kweli tatizo ni wizara ya fedha kutopunguza expenditure. Expenditure ya budget yetu ni 30% ya Gdp. Hii number ni kubwa ajabu. Ilhali revenue ni 16% ya Gdp. Lazima tupunguze expenditure maana ipo juu hata kushinda budget ya Federal government ya Nigeria. Tatizo hapa ni kuwa serikali ya Kenya imeshindwa kudhibiti expenditure yake, ila sio kwamba Gdp ni fake.
 
Hilo ni tatizo la planning na halina uhusiano wowote na Gdp. Wizara ya fedha ya Kenya ndio ina planning mbaya ya matumizi na wameshindwa kupunguza expenditure au kuongeza revenue. Hilo ni tatizo mbaya la planning maana huwezi kutumia pesa nyingi kushinda mapato yako. Kwa hivyo hakuna haja ya sisi kuongea kuhusu Gdp. Tuongee tu kuhusu planning mbaya ya wizara ya fedha
What's your GDP to Debt ratio.

It tells where your Entire revenues goes monthly
 
sasa GDP ya $100 bln inashindwa vp ku-raise budget to at least a deficit of 15%?
Geza pia mimi nataka nikuulize swali., How can a GDP of $62B as at 2019/2020 raise a revenue of Tsh14.6T kwa budget ya 33.2T

Na Corona haikuwa imeshika sana(there was no international lockdown)..
 
Kenya imeanza kuinuka 2002! We grew at negative na stunted growth in the 90s kama vile SA walivyo sasa, Check the economic differences Kati ya Ke na Tz then uone, let me be just straight with u; Tz tatizo ni uzembe ukichanganya na ujamaa iliyo lemaza uchumi, vita Ghana wamekua nazo Sana kwanza coup de tat, na wako juu yenyu., Try something else substantial bro..,
Ghana tupe miaka miwili tunamalizana nao bro...Next Ni Angola nao tunawatuliza ,Tumeshaacha uzembe sahv tushajifunza
 
Ghana tupe miaka miwili tunamalizana nao bro...Next Ni Angola nao tunawatuliza ,Tumeshaacha uzembe sahv tushajifunza
I like such reasoning, though Ghana sidhani mtawapiku kirahisi, pengine Angola coz their economy is oil based mostly., chunguza mikakati zenye Ghana wameweka kiuchumi, they are doing good bro.,
 
Geza pia mimi nataka nikuulize swali., How can a GDP of $62B as at 2019/2020 raise a revenue of Tsh14.6T kwa budget ya 33.2T

Na Corona haikuwa imeshika sana(there was no international lockdown)..
Wewe kwa akili yako budget huwa inachangwaje?
 
Tanzania imepoteza muda mwingi sana kwenye kukomboa nchi za africa kupata uhuru wao yani tanzania imeanza kujenga nchi within 12 yrs wakat kenya imejitenga toka imepata uhuru mukaanza kujihusisha na biashara toka mulipopata uhuru nilifkiri tok uhuru mpaka leo mayb mutaku sawa na ufaransa kumbe mko level moja na congo kuomba msaada chakula 😅😅😅😅😅😅
Hii wimbo ya Sisi emu iweke kando. Ni uongo mtupu kwamba hamkuwa na uchumi mkubwa zamani. Hata kama mlikomboa nchi zingine hiyo haikuwazuia kujenga uchumi wenu. In fact kuna wakati kwa miaka kadhaa nadhani in the 1980s au 1990s mlikuwa na uchumi mkubwa kushinda wetu. Kuna wakati Kenya tulikuwa na rais mpumbavu sana ambaye aliharibu uchumi wetu kabisa. Hata kuna wakati tulipigwa sanctions na USA. Uchumi ukazorota kabisa. Imf nao wakaja na masharti ya ujinga ya kuprivatise public companies, watu wengi wakapoteza kazi. Wakati huo tulipokuwa tunapitia mateso Tanzania ilikuwa na uchumi mkubwa kushinda wetu. Jifunze historia ya uchumi wa nchi zetu mbili sio kuimba wimbo za ccm hapa. Kwanza wakati wa Benjamin Mkapa uchumi wenu ulikuwa unatoka mbio kama wa Usain Bolt. Sijui mbona Mkapa hakupewa term ya pili maana hatungewaona. Mngekuwa first world saa hii.
 
sorry, leo mniondoe ushamba.. hayo magar ni ya mkurugenzi binafs au ya ofisi ya mkurugenzi?
hahaha inakaa maslahi ya Mkulu yameguswa sheria zinawekwa pembeni! Huyu mzee nae ana double standards! Hilo gari kwann lisiuzwe Mkurugenzi akapewa gari la ofisi stahiki yake? imagine Waziri Mkuu na waziri wa TAMISEMI walivyong'aka hadharani
 
Ghana tupe miaka miwili tunamalizana nao bro...Next Ni Angola nao tunawatuliza ,Tumeshaacha uzembe sahv tushajifunza
..mbona hampendi kukubali Kenya iko juu yenu licha ya obvious evidence? ni wivu ama nyinyi ni asie kubali kushindwa ?, ama kwa vile tuna changamoto?., Kwa mfano SA wanachangamoto kama zote kwa sasa, Airline inakufa recently KQ imechukua biashara ya freight yenya SA waliacha, joblessness, negative growth, several industrial strikes, licha ya haya yote hakuna siku tutasema uchumi wao ni wa kwenye makaratasi why? Ama sasa Egypt imewapiku kwasababu hawana same issues, why? coz Kuna other factors that keeps them on top: well established systems, easy to recover when environment becomes condusive.
 
Wewe kwa akili yako budget huwa inachangwaje?
I wish some idiots from your country wange elewa hili hawange post mambo ya uchumi kifalafala., elimisha wenzako basi naona wewe si nduazi., even though an economy size ya $62B+., na revenue ya Tsh14.6T, is still low.,
 
Kenya imeanza kuinuka 2002! We grew at negative na stunted growth in the 90s kama vile SA walivyo sasa, Check the economic differences Kati ya Ke na Tz then uone, let me be just straight with u; Tz tatizo ni uzembe ukichanganya na ujamaa iliyo lemaza uchumi, vita Ghana wamekua nazo Sana kwanza coup de tat, na wako juu yenyu., Try something else substantial bro..,
Hawa majamaa hawajui jinsi uchumi wetu ulikuwa trash taka taka ghasia kabisa wakati wa Moi. Kabla ya Kibaki kuchukua usukani, uchumi wa Kenya ulikua taka taka tu. Wanatuonanga tuko juu yao wanadhani hali ilikuwa hivyo kutoka zamani ila Kenya ilianza kupepea kuanzia 2002 ulivyosema. Tangu huyo mzee mjinga aondoke, Kenya hatujaangalia nyuma.
 
Hawa majamaa hawajui jinsi uchumi wetu ulikuwa trash taka taka ghasia kabisa wakati wa Moi. Kabla ya Kibaki kuchukua usukani, uchumi wa Kenya ulichukua taka taka tu. Wanatuonanga tuko juu yao wanadhani hali ilikuwa hivyo kutoka zamani ila Kenya ilianza kupepea kuanzia 2002 ulivyosema. Tangu huyo mzee mjinga aondoke, Kenya hatujaangalia nyuma.
Hatujawahi kuwaona juu yetu hata siku moja. Ni nyie tu kwa kuwa mnanjaa mnataka kuwadanganya raia wenu.
 
..mbona hampendi kukubali Kenya iko juu yenu licha ya obvious evidence? ni wivu ama nyinyi ni asie kubali kushindwa ?, ama kwa vile tuna changamoto?., Kwa mfano SA wanachangamoto kama zote kwa sasa, Airline inakufa recently KQ imechukua biashara ya freight yenya SA waliacha, joblessness, negative growth, several industrial strikes, licha ya haya yote hakuna siku tutasema uchumi wao ni wa kwenye makaratasi why? Ama sasa Egypt imewapiku kwasababu hawana same issues, why? coz Kuna other factors that keeps them on top: well established systems, easy to recover when environment becomes condusive.
Watz wanawamock ninyi kwasababu matatizo yenu yote wanayajua sisi ni majirani....infact kuna hatua mmepiga ilo liko wazi,Fact hua haipindi kama mligraduate from ldc 6 years ago and Tz did it just few months ago apo unaweza ukaona point....Hakuna anaekataa bandari ya mombasa ni kubwa...hakuna anaekataa Nairobi inagengeneza pesa nyingi, hakuna anaebisha JKIA one pax wengi hakuna anaepinga Kua mnapata watalii wengi kutuzidi...

Tunachowaonyesha ni steps ambazo tumepiga na mmeziona, kuna makosa mlifanya sisi tunajitahidi kuyarekebisha...so izo steps ndio zinafaa ziwape homa msiwe kama mashabiki wa Man-u ambao walichonga sana juzi hapa wakiwa top kwenye league wasijue league haijaisha na kila team inataka kupanda
 
Uko spot on. SA hata wakiingia recession kwa miaka kumi mfululizo bado watakuwa mbele ya nchi nyingi sana hapa Africa. They have the systems in place so hata wakizembea bado they will still be ahead of us. Sisi sasa hivi ndio tunajenga misingi za kiuchumi ilhali SA tayari wanazo kwa miaka nyingi.
 
FB_IMG_16116524173156698.jpg
 
Watz wanawamock ninyi kwasababu matatizo yenu yote wanayajua sisi ni majirani....infact kuna hatua mmepiga ilo liko wazi,Fact hua haipindi kama mligraduate from ldc 6 years ago and Tz did it just few months ago apo unaweza ukaona point....Hakuna anaekataa bandari ya mombasa ni kubwa...hakuna anaekataa Nairobi inagengeneza pesa nyingi, hakuna anaebisha JKIA one pax wengi hakuna anaepinga Kua mnapata watalii wengi kutuzidi...

Tunachowaonyesha ni steps ambazo tumepiga na mmeziona, kuna makosa mlifanya sisi tunajitahidi kuyarekebisha...so izo steps ndio zinafaa ziwape homa msiwe kama mashabiki wa Man-u ambao walichonga sana juzi hapa wakiwa top kwenye league wasijue league haijaisha na kila team inataka kupanda
Wazo nzuri hili. Wewe ndio mtanzania pekee anayekubali facts.
 
Back
Top Bottom