Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

. Dat's tanga Beib, kituo cha mafuta kikubwa nothern Tanzania kuuza mafuta Congo DRC, najua The best 007 hi hauijui . Kenyans Najua nyinyi mji ili uitwe umeendelea (jiji) ni uonekane umejengwa apartment's nyingi . Kenyans you must be crazy Yosef Festo kaa na mimi usiende mbali na runinga yako
endelea na vioja mimi ndiyo huyu hapa nimeketi kitako ata pia nimeshangaa sana beib! Kenya hakuna pipeline companies, Eldoret haipo bro, kamwe, your mother is the best cook in the world next....,
 
Hawa majamaa hawajui jinsi uchumi wetu ulikuwa trash taka taka ghasia kabisa wakati wa Moi. Kabla ya Kibaki kuchukua usukani, uchumi wa Kenya ulikua taka taka tu. Wanatuonanga tuko juu yao wanadhani hali ilikuwa hivyo kutoka zamani ila Kenya ilianza kupepea kuanzia 2002 ulivyosema. Tangu huyo mzee mjinga aondoke, Kenya hatujaangalia nyuma.
Uri mwega...
 
haimake sens,,,,,sasa kenya kuna nini cha maana ,,,,jangwa au


hakuna city unayoijua yeyote hapa Tz ,,asilimia kubwa ya Watanzania tulio humu tuna experience na nairobi na tumewahi kukaa,,huwa haturopoki maisha ya kwenye video tunadeal na ground life.....ambayo ndiyo real
...through google, wengi hapa walio jifanya wamesafiri niliwaumbua, mijisifa ya uwongo peleka Chato kaka, njoo uungane na wenzako wana hustle deadly na kutuma hela Tz iwasaidie jamaa zao., Hampendi ukweli kabisaaa.,
 
. Ujenzi wa bandari ya NDUMBI ziwa nyasa . Tony254 hii Ni baadhi ya miradi ya bandari mikubwa kwenye maziwa yetu makuu .but vipo vibandar vingi vido vidogo vilivyojengwa na nyingine kufanyiwa marekebisho SITAZIPOST ispokua mkitaka

Huu mradi nilikuwa siujui!
 
Unaita white elephat wakat phase 5 ujenzi umeanza 342km naona mushaanza kuogopa bado mapema sana

hebu toa marks hapa bila wivu na uchungu

What is a white elephant? Discuss.., (20marks)
Explain "umepanick" (10 marks)
The the words u hardly understand their meaning, u always use them out of context.,
 
Waiting lounge za hivyo vituo vya kupandia meli mf BUKOBA ni zaidi ya hizo wanazoziita international airport uko kenya except JKIA,juzi kati nilikuepo uko nikajionea mwenyewe
Naona wewe ni mwerevu umeogopa JKIA. JKIA sio ya kuchezea

 
. Geza Ulole hiv unajua kenyans hawajuagi kwamba sio tu kwa ndege hata kwa meli watalii wanatua hapa .? . Utalii wetu pamoja na uchumi wetu unakua bhana
tafuta uone mwendo wake ulitia nanga wapi na wapi kabla ya kufika Dar cruise ship inakupa orgasm Kenya hizo hazijawai Tia nanga, huku tunaziona kwa TV tu,., Mnatisha kweli, endelea bado niko..,
 
Mimi sio tamaduni zangu kuongea sana. Show me pictures or videos coz kuona ni kuamini ka mkubwa,bla bla me situmii
kimbelembele umetoa wapi? Where have u been?., Kwetu hatuna hivyo vitu., Unataka nitoe wapi?. keep on entertaining me, nimeketi watching as I sip my black coffee, nashangaa tu balaa!
 
We jamaa niliona umebeza sana .heb njo ground uone tunavyowapiga Kila kona,kelele sisi hatutaki, Post picha au video sio bla bla .
Haviko bro, Kenya bado sana, wewe umeweza na kubobea humu., endelea sisi ni macho na kushangaa tu hadi raha., expose all...,
 
Back
Top Bottom