Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

. The best Wakikwambia tumelala we wajibu sanaa Tena .uongezaji wa kina Cha maji bandari ya TA Yosef Festo huijui bongeo,uwe na utaratibu wa kukaa kimya kitu Kama hujui hizo mambo zote zimefanyika in just five years
What is it Samaboy? TZ iko wazi peupe! Weka economic output ya hizo vitu unatajataja tuone ports zote..., ama ni white elephants kaka.., blind petriotism inakusumbua, you love Tz with a dying zeal, nothing wrong with that, unfortunately it is clouding your judgement, wewe uko na "mama yangu ndio mpishi bora dunia yote" mentality ('my mother is the only best cook' mentality)
 
Nikipeana ndama pia lazma nitumie bendera? 😀😀
Kwa mtu wa kawaida sio lazima lakini huyu ni mwanasiasa na lazima ajitangaze. Akipatia watu paketi ya chumvi ya shilingi kumi basi atatangazia kila mtu ili dunia ijue. Waelewe tu wanasiasa walivyo wajinga. Wanapenda show off..
 
Tunaangalia idadi ya magari yaliyopakuliwa kwa kipindi cha mwaka moja sio kwa kipindi cha siku moja.
😂😂 Kwani siku si ndio huzaa wiki,mwezi then mwaka.? Au .yaani Ni hiv mwaka mmoja unakua na siku 365,majuma 52 na miezi 12. 😄😄
 
Back
Top Bottom