Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

komora096 hawa watu ni wajinga sijapata kuona. Wachana nao. Eti wanaforce wazungu na wahindi wawe waswahili ilhali wanasema kwamba hakuna Mkenya yeyote ambaye ni mswahili. Chuki yao kwa Wakenya imezidi
wewe tatizo hujielewi,,,,,ipo hivi mtu yeyote anayezaliwa Tanzania awe na asili ya kichina,german,indian,arabic huyo ni mtanzania haijarishi rangi wala ukabila huyo anakuwa ni mtanzania na mtanzania yeyote yule ni mswahili.....

kama nyie kwenu ipo tofauti endeleeni na utaratibu wenu tupo tofauti tokea miaka mingi sana,,hata media zenu huko zinatangaza kilugha it means mpo na matabaka,,,,huku Tz hakuna kilugha kwenye media zozote zile,,,,hivyo tupo tofauti sana msiforce mambo.....
 
Wakenya bado njaa inawasumbua. Tanzania tumeanza project ya Space exploration. Nitawapatia details za project hiyo. Plan ni 2025 kuweza kutuma kifaa kwenye orbit earth. Mwaka 2027 ni kufika kwenye mwezi na mwaka 2030 kufika kwenye sayari ya mars.

Nitawapatia kwa undani zaidi. Kuhusu hiyo project. Mimi ni mmoja wa team hiyo.
 
Wakuu,

Tusidharau hata kidogo hizi tiba zetu. Kuanzia juzi hapo yalinishika mafua moja konki mpaka nikaanza kuwa na hofu. Nimepiga nyungu version2.0, 1*2*2 mixer tangawizi, vitunguu swaumu, vitunguumaji na asali, and now I see that influenza going to hell.

Never undestimate natural cure developed within the society for the society. I'm sure hata Sir God anatupa big up kwa hili. Ndiyo sababu we are perhaps the one society with the least impact of this corona bullshit.

Respect natural cure.
 
leta list ya vita ambayo KDF imepambana na kuwa victory....

tuanzie hapo kwanza
Hizi ni wewe🤣🤣
Screenshot_20210128-105829.png

🤣🤣🤣Tunazidi ata kununua vifaa
Screenshot_20210128-121438.png
 
Jamaa unatudanganya nimekaa Mombasa wanaongea Kiswahili cha kawaida Sana mikindani nimefika mpaka old town labda lamu wanaongea Kiswahili kizuri 🙂
Wewe wacha ujinga. Wapwani wa Kenya hawaongei kiswahili cha kawaida wanaongea kiswahili kizuri kushinda chenu. Punguza chuki za kijinga. Nyinyi mnaosema rara badala ya lala ndio mnajua kiswahili?
 
Hizi ni wewe
View attachment 1688111
Tunazidi ata kununua vifaa
View attachment 1688112
Kwahiyo vita mlizoshinda ni za kuwapiga Wakenya si ndio? Yani kwakweli hii ni aibu sn, unajua shida iliyopo ni advertisment yn ninyi mlitushinda kwenye kujitangaza na sio kwmb mlitushinda bali ndio ilikuwa culture yetu ya kutopenda kujitangaza kitu ambacho kikapelekea kufeli kwenye mambo mengi sana, na sijui kwnn viongozi waliopita walikuwa hawaoni umuhimu wa kujitangaza.

Imefikia kipindi eti mkenya anathubutu kabisa ku compare kdf na tpdf bila aibu, lkn kinachompa power ni yale makaratasi ya Google eti kdf imekuwa ranked juu ya tpdf licha ya ukweli kwamba tpdf ndio inayosifika hapa Afrika kukomboa nchi nyingi.

Hii ni kutokana na viongozi kulala, wenzetu wakipigana hata vita vya panzi haooo wanakmbilia ku publish, wakinunua hata mzinga wa nyuki haooo wame publish, but cc serikali yetu haikuwa na utaratibu huo kwa kisingizo cha censorship, but now Magu hataki masihara kabisa kila kitu anaweka hadharani watu wajue sisi ni kina nani
 
Mbona hamjatupita kwenye GDP? Mna maringo mingi ya bure tu.
 
Wakenya bado njaa inawasumbua. Tanzania tumeanza project ya Space exploration. Nitawapatia details za project hiyo. Plan ni 2025 kuweza kutuma kifaa kwenye orbit earth. Mwaka 2027 ni kufika kwenye mwezi na mwaka 2030 kufika kwenye sayari ya mars.

Nitawapatia kwa undani zaidi. Kuhusu hiyo project. Mimi ni mmoja wa team hiyo.
Nyang’au walituma kijisatellite cha $1,000,000 wakaanza kusema kuwa sisi hatuwezi 😂😂😂😅
 
Umeona sasa vile unaujinga, kenya mkoa wote wa pwani jamaa wanapiga kiswahili safi hta kuliko mikoa mingi tanzania..

Watz wangapi huku huaga wanarekebishwa wanapoleta ujuaji hadi mtu anaamua kuufyata..
Manake utakuta jamaa kaja na mbwembwe mwisho anatulizwa hadi nacheka sana..
Hiv Kuna mkenya anaweza kumtuliza mbongo kuhusu suala la kiswahili wewe.? Mnajua hata upatanisho wa kisarufi.? Unajua lahaja la usanifishaji wa lugha ya kiswahili wew mbuzi.?
 
hamtakaa muone Tanzania ikianika mambo yake ya kijeshi hadharani, vita ni mipango na si makelele ya kwenye mitandao;
Baadhi ya vita Tanzania-JWTZ ilizopigana;
1.Kagera war 1978-1979- VICTORY
2. Mozambican war 1977-1988 -VICTORY
3. Uganda bush war 1980-1986 - VICTORY
3. Invasion of Anjouan-Commoro- 2008-VICTORY
4.M23 Rebellion-2003-VICTORY
5. ADF Insurgency - ongoing
Usisahau tulizima mapinduzi ya kumuondoa René, kule Seychelles yaliyokuwa sponsored na South Africa 1981.
 
Back
Top Bottom