Labda nikuweke Sawa kuhusu hili swala jirani
Tuone Kati yetu na nyie Ni yupi akili Zake hamnazo[emoji846]
Ni sifa zipi za lugha ya Taifa kama kweli mnaongea Kiswahili [emoji846]
1.ni sharti iwe inakubalika na kuzungumzwa na wote , wasomi na wasio wasomi[emoji846]
2.lazima iwe sanifu isiwe imechakachuliwa [emoji846]
3.ni kiwakilishi cha Taifa nje na Ndani ya nchi,
3.kinapendwa kuzungumzwa na wananchi wake,na hujiskia ufahari kinapo tumika kama chombo cha mawasiliano [emoji846]
4.lugha hiyo iwe ndo inayotumika na watumishi wote wa ngazi za juu za serikali,taasisi muhimu,kwenye mikutano, nje na ndani ya nchi na raia wake[emoji846]