Jamaa Geza Ulole anasema kwamba huyo mzungu ni mswahili eti kwa sababu anajua kuongea kiswahili. Lakini huyo jamaa anasema eti hakuna Mkenya yeyote anayejua kuongea kiswahili. Yaani chuki yake dhidi ya Kenya ni kali sana. Sijui Wakenya walimfanyia nini. Yaani kwa akili yake mzungu awe mswahili lakini Wakenya wa pwani ambako kiswahili kilianzia wasiwe waswahili. Jamaa ana matatizo fulani. Waswahili wa pwani ya Kenya wanaongea kiswahili kizuri hata kushinda chake na huku yuko busy kukejeli Wakenya wote na kusema kwamba Wakenya wote 100% hawajui kuongea kiswahiliHuyo ni mzungu we kizere acha ku force vitu
umegeuka ghafla sio? 100% of that 97% wanaongea kiswahili kibovu! na ulisema Waswahili ni kabila!
KRC GENK singing for Samata . Mtu kutoka EA pekee kuwahi kucheza mashindano makubwa ya mpira wa miguu duniani . Samata kutupia Aston Villa vs man City karabao cup final
. Tony254 hapa kuna majibu yako ya Ni idadi ya abiria wangapi tm3 JNIA inaweza hudumia annually
komora096 hawa watu ni wajinga sijapata kuona. Wachana nao. Eti wanaforce wazungu na wahindi wawe waswahili ilhali wanasema kwamba hakuna Mkenya yeyote ambaye ni mswahili. Chuki yao kwa Wakenya imezidiKiswahili ni cha wapwani wala sio cha kamusi, kwhyo kila watu wana lahaja yao
Unajua Congo wanaongea kiswahili miaka mingi sana na hiyo pwani hawajawahi kuiona?Unapingana na historia we jamaa wa chato, upende usipende chato sio uswahilini...
Kiswahili bila wapwani na waarabu hakingelikuja, we ukitaka lia![]()
Labda nikuweke Sawa kuhusu hili swala jiranikomora096 hawa watu ni wajinga sijapata kuona. Wachana nao. Eti wanaforce wazungu na wahindi wawe waswahili ilhali wanasema kwamba hakuna Mkenya yeyote ambaye ni mswahili. Chuki yao kwa Wakenya imezidi
mabaya ya KenyaWakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni
Mambo mabaya
1. Wavivu
2. Wanapenda masengenyo na kugombana. Yaani huwezi kumshinda Mtz kwenye vita ya mdomo
3. Masikini.
4. Hamjasoma vizuri. Masomo yenu ni hafifu na wengi hawajasoma
Mambo mazuri
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda chetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.
Safi Sana kwa kugongelea msumari mahali pake🙂mabaya ya Kenya
1. kenya ni moja ya nchi zenye majeshi dhaifu kabisa na ambayo hayana uzalendo kabisa, mf. badala ya kulinda mali na uhai wa raia wao wanaiba mpaka maji
2. Wakenya ni watu wa njaa, haiwezi kupita mwaka bila njaa kupiga hodi kenya, njaa ni matokeo ya uvivu uliopitiliza, ni mpumbavu tu asiyelijua hili
3. Kenya ni failed state, ule umoja na udugu wa kitaifa haupo kabisa, mzungu kenya anahusudiwa kama Mungu.
4. Ni nchi ya kenya pekee ambayo wageni/wazungu wanamilikishwa misitu kwa ajili ya makazi huku raia wakiishi kwenye mabanda yenye hadhi ya mabanda ya kuku
5. wakati wa ukombozi wa bara la afrika wakenya daima walikuwa mapuppet wa wazungu na makaburu
6. kenya wana uchumi usioakisi maisha ya kawaida ya wakenya
7. wakenya ni sawa na watumwa ndani ya kenya. kwani njia kuu za kiuchumi zimeshikwa na wachache na wengi wa nyangau wasiojielewa wamebaki kuwa tennants, wafanyakazi kwa ujira mdogo n.k
8. wakenya ni wakabila sana sana hata familia moja inabaguana
9. KENYA NI MFANO HALISI WA TAIFA LENYE UHURU WA BENDERA. KENYA NOT YET UHURU; ALL MAJOR MEANS OF ECONOMY ARE OWNED BY MINORITY AND MOST OF THEM ARE FOREIGNERS!
wakenya wengi wanaponea Tanzania, nashangaa sana nyangau anayejisifia na gdp ya nairobi; wenye uchumi wa nairobi ni minority na wengi wao wana asili ya nje, wakenya ndani ya nairobi ni sawa na watumwa tu kwenye mahotel, kujiuza kwenye madanguro, kutumika na wanasiasa, na jua kali, maisha asili ya nyangau utayakuta turkana, kwenye slums za kibera, kariobangi nk. TANZANIA TUPO SAWA KILA MAHALI NI DAR ES SALAAM.Kwamba Wakenya waseme Watz ni maskini, kumbe kweli wewe akili zako haziko sawa ndo naamini leo.
Dar hamna chochote,Nai GDP is close to TZ GDP 🤣🤣
nairobi yenyewe haina maji!Tatizo lako ni ufinyu wa uelewa, uchumi wa Tanzania umegawanyika nchi nzima. Kenya serikali imewekeza kila kitu nairobi na kuacha sehemu nyingine za kenya wakiwa. na sababu ya uwekezaji mkubwa nairobi ni kwa matakwa ya mabwana zenu wenye uchumi wa kenya. Mfano mnajisifu kujenga nairobi expressway huku kuna nyangau wenzako hawana hata maji ya kunywa? only in kenya