kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,812
- 3,168
Hii report Ni ya 2020/2021,,hio history wekeni kwa vitabu🤣🤣🤣wewe ni mvivu hupendi kusoma na ndiyo maana hufahamu historia ya JWTZ katika medani za kivita duniani.
Hii report Ni ya 2020/2021,,hio history wekeni kwa vitabu🤣🤣🤣wewe ni mvivu hupendi kusoma na ndiyo maana hufahamu historia ya JWTZ katika medani za kivita duniani.
Tutajie vita moja ambayo mmewahi kushinda mana km vita kila jeshi ni kawaida kwenda vitani kusaidia, but tunataka vita ambayo kdf km kdf imewahi kupigana na kushinda ila ukishindwa niulize mm TPDF imewahi kushinda vita gn.Kwa vita lazima watu wafe,najua huwezi elewa haya kwasababu jeshi lenu kazi ni kulala tu,,KDF kila wakati iko kwa Vita,hiyo yenu kazi gani inafanya na unataka mshindane na sisi
![]()
😆😆😆😆😆 nenda upike tena data alaf post hapa tena... tajiri wa njaa au????Hapo sawa,so Nairobi na hio GDP yote ata haionekani top 10,kweli Kenya Tajiri👏👏👏👏👏👏👏😍😍
Alafu jamaa kila siku unamu expose na huu ujinga wake lkn hakomi




Na inekuwaje hamjulikani kwa hizo Vita zenu🤣🤣vitu tu za mdomo,,NKT
hamtakaa muone Tanzania ikianika mambo yake ya kijeshi hadharani, vita ni mipango na si makelele ya kwenye mitandao;Hii report Ni ya 2020/2021,,hio history wekeni kwa vitabu🤣🤣🤣
Alshabab anawaskia hapa Nairobi wewe😁Tutajie vita moja ambayo mmewahi kushinda mana km vita kila jeshi ni kawaida kwenda vitani kusaidia, but tunataka vita ambayo kdf km kdf imewahi kupigana na kushinda ila ukishindwa niulize mm TPDF imewahi kushinda vita gn.
VITA BILA USHINDI NI SAWA NA KUPOTEZA MUDA, NAKUMBUKA KENYA ILIOGOPA MTITI WA UPDF IKASALIMU AMRI UGANDA ICHUKUE KISIWA CHA MIGINGOHAHAHA🤣🤣🤣Kwa vita lazima watu wafe,najua huwezi elewa haya kwasababu jeshi lenu kazi ni kulala tu,,KDF kila wakati iko kwa Vita,hiyo yenu kazi gani inafanya na unataka mshindane na sisi🤣🤣
Huoni aibu jeshi la kitaifa - KDF kushindwa vita dhidi ya wanamgambo ambao hawana hata serikali ya kijiji?Alshabab anawaskia hapa Nairobi wewe
Wamevurugwa, unacheza na kuwa mtumwa ndani ya nchi yako?