komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Yani nawafinyilia vibaya sana[emoji23][emoji23]jamaa mpka wanaita wahindi waswahili bana..komora096 hawa watu ni wajinga sijapata kuona. Wachana nao. Eti wanaforce wazungu na wahindi wawe waswahili ilhali wanasema kwamba hakuna Mkenya yeyote ambaye ni mswahili. Chuki yao kwa Wakenya imezidi
Hao wanaopinga utakuta wengi ni wasokuma