Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,789
Dar hamna chochote,Nai GDP is close to TZ GDP 🤣🤣
Huyu anapatikana wapi?Tupate wadhamini kidogo, beautiful beibez from Tanzania a.k.a TanzaniteeView attachment 1687508View attachment 1687509View attachment 1687510View attachment 1687511View attachment 1687512View attachment 1687513View attachment 1687514View attachment 1687515
😍😍😍😍😍huyu mdhamini atariiii sanaHuyu anapatikana wapi?![]()
Usimjibu huyo KilazaTatizo lako ni ufinyu wa uelewa, uchumi wa Tanzania umegawanyika nchi nzima. Kenya serikali imewekeza kila kitu nairobi na kuacha sehemu nyingine za kenya wakiwa. na sababu ya uwekezaji mkubwa nairobi ni kwa matakwa ya mabwana zenu wenye uchumi wa kenya. Mfano mnajisifu kujenga nairobi expressway huku kuna nyangau wenzako hawana hata maji ya kunywa? only in kenya
Tutajenga kweli?😍😍😍😍😍huyu mdhamini atariiii sana
Unataka connection mkuu?Huyu anapatikana wapi?![]()
oyeah si mbaya kuwa na rafiki kama huyu! Ni-PMUnataka connection mkuu?
Ni kumbukumbu tu, Rick ross, Inos B wizkid T.I Davido, 50 cent n.k wote waliwahi kuja tz na sio raia wa tz lakini moja ya mambo waliyo yaona tz yakawaacha midomo wazi kana kwamba kwao hayapo ni Bebez wa tz Jamani tz kuna wadada wazuri yerewiiiiii Ukitaka kuona kazi pita mlimani city siku kuna ki party kama Saa 8,9 usiku unaeza muita israel akubebe tu.Huyu anapatikana wapi?![]()
Majanga kwa airlines zenye madeni kama KQ maana inapelekwa kwenye competition ya lower fares! wakati thamani ya deni linabaki palepele!
Mtoto mzuri utafikiri huwa harishi🙂Huyu anapatikana wapi?![]()