Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiswahili cha kawaid ni kipi
Sasa mimi na wewe nani anaijua pwani ya kenya vizuri, umeona sasa km wewe ndio unataka kuwalaghai wenzako..

Yani mtz yupo radhi kuzusha vitu, tena mnapenda sana kudanganya kw dhana hyo ya "nilkua", "nilikaa" n.k

Yani nawajua tabia zenu za kujitia ujuaji mwingi
Naona bado upo kwene denial ukweli unabakia palepale hamjui lugha🙂
 
Nyang’au walituma kijisatellite cha $1,000,000 wakaanza kusema kuwa sisi hatuwezi 😂😂😂😅
Sisi huwa hatupendi kuringa. Tuna site fulani ambayo inafanya utafiti wa mambo ya space. Mradi ni ushirikiano kati ya serikali ya Italy na Kenya. Pia site hiyo ilikuwa na rocket launch pad ambayo ilitumika kulaunch several rockets siku za zamani ila sasa hivi hiyo launch pad haitumiki ila research centre yenyewe inaendelea kufanya research ya kisayansi. Sisi huwa hatupendi kuringa, tumenyamaza tu ila hapa Africa kwenye research ya space science and technology, SA na nchi chache sana zimetushinda. Kenya ililaunch satellite from Malindi in 1970 kwa ushirikiano na waitaliano
Screenshot_20210128-133131.jpg

Satellite ya pili ikawa launched in 2018
Screenshot_20210128-133348.jpg

Ng'ombe zote ambazo bado zinapinga someni hapa

Naona unafiki unakumaliza ubongo wako huku chuki ziki kukondesha moyo..
Utaichukiaje nchi ambayo imewazidi karbia kw kila kitu, yani mpka upo radhi kujitoa ufahamu
Ivi kuna watu wanafiki kama nyie kila kitu cha kwenu,mmetuzidi na kipi labda ? Endelea Ku day dream 🙂
 
Wewe wacha ujinga. Wapwani wa Kenya hawaongei kiswahili cha kawaida wanaongea kiswahili kizuri kushinda chenu. Punguza chuki za kijinga. Nyinyi mnaosema rara badala ya lala ndio mnajua kiswahili?
Alokwambia hivo Kenyatta au? Kweli akilini hamnazo🙂
 
Tushawapita kitambo tunasubiri makaratasi kubadilika tu, hv Tony ngj nikuulize swali, hv kwa nondo zilizowekwa humu na umezishuhudia ww mwenyewe je unahisi kati ya Tz na Kenya ipi ni developed country kuliko mwenzie?
Kenya is more developed ila in the last 5 years mumeziba gap kishenzi. Mkiendelea hivyo basi tutakuwa matatani.
 
Jamaa Geza Ulole anasema kwamba huyo mzungu ni mswahili eti kwa sababu anajua kuongea kiswahili. Lakini huyo jamaa anasema eti hakuna Mkenya yeyote anayejua kuongea kiswahili. Yaani chuki yake dhidi ya Kenya ni kali sana. Sijui Wakenya walimfanyia nini. Yaani kwa akili yake mzungu awe mswahili lakini Wakenya wa pwani ambako kiswahili kilianzia wasiwe waswahili. Jamaa ana matatizo fulani. Waswahili wa pwani ya Kenya wanaongea kiswahili kizuri hata kushinda chake na huku yuko busy kukejeli Wakenya wote na kusema kwamba Wakenya wote 100% hawajui kuongea kiswahili

Unaona hapa chini anasema kwamba Wakenya 100% hawajui kuongea kiswahili. Yaani jamaa ni mpuuzi sana
Wamombasa ndivyo wanavyowadanganya wanaongea kiswahili kuliko sisi 😂
 
Wewe wacha ujinga. Wapwani wa Kenya hawaongei kiswahili cha kawaida wanaongea kiswahili kizuri kushinda chenu. Punguza chuki za kijinga. Nyinyi mnaosema rara badala ya lala ndio mnajua kiswahili?
Hapa Sasa Tony254 ndio ntakudhararau wewe uliona wapi mwenye lugha yake na mjuzi wa lugha (lg competent) ashindwe kuongea vizuri hiyo lg na anaejifunza .? You must be jocking .unaijua lahaja ya usanifishaji (lg of standardization) wa lugha ya kiswahili.? Sisi tunakijua kiswahili kwa na tunaweza kikutumia vizuri kuliko viumbe vya nchi nyingine yoyote duniani
 
Sisi huwa hatupendi kuringa. Tuna site fulani ambayo inafanya utafiti wa mambo ya space. Mradi ni ushirikiano kati ya serikali ya Italy na Kenya. Pia site hiyo ilikuwa na rocket launch pad ambayo ilitumika kulaunch several rockets siku za zamani ila sasa hivi hiyo launch pad haitumiki ila research centre yenyewe inaendelea kufanya research ya kisayansi. Sisi huwa hatupendi kuringa, tumenyamaza tu ila hapa Africa kwenye research ya space science and technology, SA na nchi chache sana zimetushinda. Kenya ililaunch satellite from Malindi in 1970 kwa ushirikiano na waitaliano
View attachment 1688169

Satellite ya pili ikawa launched in 2018
View attachment 1688173

Ng'ombe zote ambazo bado zinapinga someni hapa

Sasa hii information yote nimekuuliza? Mbona huwa mnawashwa kujiuza bila kuulizwa? Mimi nimesema kuwa baada ya nyie ku-launch nano satellite ya $1,000,000 mkasema kuwa sisi hatuwezi. Mimi nikasema kuwa hiyo sio priority yetu kwa sasa lakini kumbe mpango unafanyika.
 
Nyie mlifanya rebasing juzi juzi tuu hapa, ngoja na sisi tufanye muone kama GDP (nominal) haitafika 180b+
Mzee nyinyi mlifanya rebasing 2012 au 2013. Sisi tulifanya rebasing mwaka wa 2014. So tulifanya rebasing around the same time. By the way base year yetu ni 2009 kwa hivyo tutafanya rebasing tena 2024 huku 2019 ikiwa our next base year. Sidhani kama mtatupita mkifanya rebasing 2022/2023. Na hata mkitupita basi sisi tutawapita tukifanya yetu 2024.
 
Sasa hii information yote nimekuuliza? Mbona huwa mnawashwa kujiuza bila kuulizwa? Mimi nimesema kuwa baada ya nyie ku-launch nano satellite ya $1,000,000 mkasema kuwa sisi hatuwezi. Mimi nikasema kuwa hiyo sio priority yetu kwa sasa lakini kumbe mpango unafanyika.
Nadhani ujumbe wangu ulimlenga Venus Star
 
Wewe wacha ujinga. Wapwani wa Kenya hawaongei kiswahili cha kawaida wanaongea kiswahili kizuri kushinda chenu. Punguza chuki za kijinga. Nyinyi mnaosema rara badala ya lala ndio mnajua kiswahili?
Hiyo ni tatizo la pronunciation kwa baadhi ya makabila kama ambavyo Jaluo anavyoshindwa kutamka "z" badala yake anatumia "s".

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kenya is more developed ila in the last 5 years mumeziba gap kishenzi. Mkiendelea hivyo basi tutakuwa matatani.
Kuna mambo mengi sana tumewazidi kuanzia baharini mpk nchi kavu, kitu kilichobaki ni kimoja tu ambacho kinawapa nguvu nacho ni GDP ushuzi inayonuka madeni basi, tukibadilisha hyo hamtakuwa na cha kuongea, tupo mbali mno kwa ss.
 
Usisahau tulizima mapinduzi ya kumuondoa René, kule Seychelles yaliyokuwa sponsored na South Africa 1981.
kuna wakati JWTZ ilikuwa inapigana vita mbili kwa wakati mmoja. Mfano wakati wa Uganda Bush war ndiyo rafiki yetu na mkomunist mwezetu kule Sychelles alipinduliwa na jeshi kwa msaada wa makaburu. Mwalimu kapeleka Brigade moja na Rais Rene akarejea madarakani na tukarudi zetu Uganda kuendelea na Bush war.
 
Hiyo ni tatizo la pronunciation kwa baadhi ya makabila kama ambavyo Jaluo anavyoshindwa kutamka "z" badala yake anatumia "s".

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kama baadhi yenu mnashindwa kutamka maneno ya kiswahili vizuri basi mbona mnajidai kwamba nyinyi ndio mnajua kiswahili kushinda wengine? Mjifunze kutamka maneno vizuri kwanza ndio mjidai
 
Back
Top Bottom