Hapo ndio hamuelewi na pengine hamutaelewa. Nairobi outgrew its physical boundaries long time ago. Hapo Kikuyu kuna maelfu ya watu wanacommute daily kuja kufanya kazi Nairobi na kurudi nyumbani jioni. These people wanategemea Nairobi kwa kila kitu chao. Sasa tunaposema kwamba it's part of the metropolitan ni nini hamuelewi hapo? If it wasn't for Nairobi, Kikuyu haingekuwa na baadhi ya maendeleo iko nayo saa hii (barabara, apartment buildings, water supply etc).
Administratively, Kikuyu is in Kiambu county but economically inategemea Nairobi pakubwa sana, and that's the same story with other far-flung areas like Ngong, Isinya, Kitengela, juja, Syokimau and many others. Hizi sehemu forms part of the metropolis coz thousands of people live in these areas but work in Nairobi. Aren't they contributing to the economic development of Nairobi? Jibu unalo.
Niko na marafiki wanaishi hizo sehemu nimetaja hapo juu but ukimuuliza anaishi wapi atakuambia Nairobi