Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutoka Dar mpaka Moro na Moro mpaka Singida kuna overpass almost 60 kwenye mradi lots 2 tu za SGR

Ngoma inaenda mpaka Mwanza more than 1k kilometres sijui zitakua ngapi!
Mimi siwezi kuhesabu overpass za SGR ya Kenya maana hazihesabiki. Mimi nahesabu tu za barabara
 
Kwn wewe ukileta gani, hapo lazima ujue form4 ya kenya ni sawa na mtu anayetoka A level kwenda chuo
Huwa mnafundishwa kutafuta volume of revolution huko kwenu au hayo mambo mnajifunzia chuo kikuu?
 
Juzi tangu mdake uhuru wenu miaka 4000 iliopita
Soma article hio kwanza ndio utajua kwamba ugatuzi unasaidia Kenya. Serikali kuu ilikataa kujenga barabara huko. Sasa serikali ya kaunti imejenga lami huko. Najua hujasoma hio article.
 
sasa kama 20km tu unakuwa out of nairobi,,,,,

serious mnataka kulinganisha dar heaven city na hako kamji kapo kama punje ya unga na mmeshindwa kujenga.....seriously....

ya leo kali 20km out of nairobi na bado kuna vichaka vya kutoshaView attachment 1680315
Yani unadhani Nairobi imeanza CBD inaishia kikuyu??🤣 mbona usianze kupima from JKIA to kikuyu na ndipo Nairobi unaanza na kuishia
 
Yani unadhani Nairobi imeanza CBD inaishia kikuyu??🤣 mbona usianze kupima from JKIA to kikuyu na ndipo Nairobi unaanza na kuishia
Screenshot_20210118-153310.png
 
Soma article hio kwanza ndio utajua kwamba ugatuzi unasaidia Kenya. Serikali kuu ilikataa kujenga barabara huko. Sasa serikali ya kaunti imejenga lami huko. Najua hujasoma hio article.
Kweli kwenye mambo ya uongozi mlikua nyuma huku local governments zimekua zikijenga barabara na miundombinu chungu mbovu miaka na mikaka kwa kupitia makusanyo ya halmashauri

Nilikuambia mnachokiita ugatuzi mlikuja kujifunzia Tanzania, huku tunaita local government na zipo kwa ngazi za mikoa (regional government) na halmashauri (local government)
 
umekuwa kipofu sasa

yaani kama 20km un\kuwa nnje ya nairobi basi hiko ni kimji si jiji

ndiyo maana tunawaambia kuwa hako ni kaeneo kadogo na mmeshindwa kukajenga yaani 20km unakuwa out of nairobi.......tobaaa!!!!

msishindane tena na darView attachment 1680314
Nairobi has its boundaries, just the same way Dar has its boundaries. Why you expect Kikuyu to fall within Nairobi boundaries when it isn't only you can tell us. Perhaps you've never been to Nairobi but this city outgrew its boundaries many years ago and that's why there are places that are not geographically in Nairobi but now identify with the city. It has become one big metropolis spreading to as far as Isinya and Ngong in Kajiado County to Mlolongo and Syokimau in Machakos county and Ruiru and Juja in Kiambu County. All these are built up areas, something that you will never find in Dar.

I want to single out Kikuyu for instance. You became selective in your post about this area not knowing that Kikuyu is more than what you portrayed. Yes, this is Kikuyu, and it's not in Nairobi though it forms part of the metropolis
Screenshot_20210118-152304~2.png
Screenshot_20210118-151215~2.png
Screenshot_20210118-151314~2.png
Screenshot_20210118-151350~2.png
Screenshot_20210118-151606~2.png
Screenshot_20210118-151723~2.png
Screenshot_20210118-152006~2.png

Bado mko nyuma kama mkia wa kondoo
 
Yani unadhani Nairobi imeanza CBD inaishia kikuyu?? mbona usianze kupima from JKIA to kikuyu na ndipo Nairobi unaanza na kuishia
point inabaki pale pale tu,,,,yaani ukitoka town 20km upo chaka nnje ya nairobi ...

hiyo nairobi ni dig dig sana

tena siyo 20km ni 18km from CBD

Hivi ni vituko vya hali ya juu,,hako ni katown siyo jiji
20210118_153803.jpg
 
Kweli kwenye mambo ya uongozi mlikua nyuma huku local governments zimekua zikijenga barabara na miundombinu chungu mbovu miaka na mikaka kwa kupitia makusanyo ya halmashauri

Nilikuambia mnachokiita ugatuzi mlikuja kujifunzia Tanzania, huku tunaita local government na zipo kwa ngazi za mikoa (regional government) na halmashauri (local government)
Hatukujifunza kutoka kwenu. Kwani unadhani nyinyi pekee ndio mna ugatuzi?
 
Back
Top Bottom