Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona huo ndio utetezi wako!
Utetezi gani na huo ndio ukweli, ndio manake serekali yetu hata haina hamu nao..
Waache wapate riziki bana, hyo hyo media hapo inataka kenya iendelee zaidi km europe
Yani huaga wao bora waandike wapate wachangiaji tu wala hmna lingine, hyo ndio maana ya uhuru wa habari..
 
The Nelson Mandela Institute of Science and Technology Arusha 🇹🇿🇹🇿🎓


cvdAGIvqz9PraGswtPs3.png
maxresdefault (1).jpg
images (14).jpeg
typea_350x240.jpg
91815113.jpg
 
Unaleta picha za Kikuyu just to help lick your wounds. Kikuyu is not even in Nairobi. Secondly, hizo sehemu umeleta hapa are all built up areas. Sijaona kichaka hapo kama ile yenu
umekuwa kipofu sasa

yaani kama 20km un\kuwa nnje ya nairobi basi hiko ni kimji si jiji

ndiyo maana tunawaambia kuwa hako ni kaeneo kadogo na mmeshindwa kukajenga yaani 20km unakuwa out of nairobi.......tobaaa!!!!

msishindane tena na dar
20210118_142537.jpg
 
Kikuyu kwn siku hizi ipo nairobi eakenya wenzangu
Kuna jamaa huku hajui hta kutumia internet yeye bora achokore apate picha anatupia
sasa kama 20km tu unakuwa out of nairobi,,,,,

serious mnataka kulinganisha dar heaven city na hako kamji kapo kama punje ya unga na mmeshindwa kujenga.....seriously....


ya leo kali 20km out of nairobi na bado kuna vichaka vya kutosha
20210118_142537.jpg
 
Utetezi gani na huo ndio ukweli, ndio manake serekali yetu hata haina hamu nao..
Waache wapate riziki bana, hyo hyo media hapo inataka kenya iendelee zaidi km europe
Yani huaga wao bora waandike wapate wachangiaji tu wala hmna lingine, hyo ndio maana ya uhuru wa habari..
Ukiwa humu unatetea hiyo unemployment rate ila ukiwa nje ya jamiiforums hiyo unemployment rate inakuumiza sana na huo ndio tunaita uzalendo maandazi.
 
Vyombo vya habari bana
Na hapo siku ingine wataandika kenya iwe km marekani wakati wanasahau km life kwetu ni cheaper kuliko kule..

Najua lazima watajisahau siku hyo
Kwahio leo unakana hio habari 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom