Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Hapo ndio huwa mna fail majirani zetu evidence ipi wakati kila kitu kipo wazi🙂Wacha ujinga. Eti sasa Tanzania imedevelop kushinda Kenya? Unatumia statistics gani kudhibitisha hayo? Data ya world bank au data ya vijiweni?


