Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kwenye mambo ya uongozi mlikua nyuma huku local governments zimekua zikijenga barabara na miundombinu chungu mbovu miaka na mikaka kwa kupitia makusanyo ya halmashauri

Nilikuambia mnachokiita ugatuzi mlikuja kujifunzia Tanzania, huku tunaita local government na zipo kwa ngazi za mikoa (regional government) na halmashauri (local government)
Hyo miundombinu iko wapi mzee baba
 
point inabaki pale pale tu,,,,yaani ukitoka town 20km upo chaka nnje ya nairobi ...

hiyo nairobi ni dig dig sana

tena siyo 20km ni 18km from CBD

Hivi ni vituko vya hali ya juu,,hako ni katown siyo jijiView attachment 1680394
Cbd dar ipo karibu na bahari, cbd nairobi ipo katikati hvyo ni vitu viwili tofauti..
Nairobi imejengeka pande zote dar yani 360
 
IMG_4863.jpg
 
Nairobi has its boundaries, just the same way Dar has its boundaries. Why you expect Kikuyu to fall within Nairobi boundaries when it isn't only you can tell us. Perhaps you've never been to Nairobi but this city outgrew its boundaries many years ago and that's why there are places that are not geographically in Nairobi but now identify with the city. It has become one big metropolis spreading to as far as Isinya and Ngong in Kajiado County to Mlolongo and Syokimau in Machakos county and Ruiru and Juja in Kiambu County. All these are built up areas, something that you will never find in Dar.

I want to single out Kikuyu for instance. You became selective in your post about this area not knowing that Kikuyu is more than what you portrayed. Yes, this is Kikuyu, and it's not in Nairobi though it forms part of the metropolis
View attachment 1680375View attachment 1680376View attachment 1680377View attachment 1680378View attachment 1680380View attachment 1680381View attachment 1680384

Bado mko nyuma kama mkia wa kondoo
Kikuyu nimekaa eneo moja inaitwa kid farm co na gitaru ambayao sio mbali na kikuyu town kikukweli kikuyu ni kusafi, security nzuri Ila ni Ka mini town tatizo Kenya kila eneo mnaita town sema ipo kiambu county adminstration yake inafanyiwa huko huko issue ya kusema ni Nairobi metropolitan hapo ndo huwa mna fail🙂 Nairobi ni Nairobi kiambu ni kiambu mbona Nairobi ina govonor wake na kiambu ina govonor wake kama kweli kitu kimoja?
 
Kikuyu nimekaa eneo moja inaitwa kid farm co na gitaru ambayao sio mbali na kikuyu town kikukweli kikuyu ni kusafi, security nzuri Ila ni Ka mini town tatizo Kenya kila eneo mnaita town sema ipo kiambu county adminstration yake inafanyiwa huko huko issue ya kusema ni Nairobi metropolitan hapo ndo huwa mna fail Nairobi ni Nairobi kiambu ni kiambu mbona Nairobi ina govonor wake na kiambu ina govonor wake kama kweli kitu kimoja?
Unajua maana ya metropolis au unajiropokea tu
 
Kikuyu nimekaa eneo moja inaitwa kid farm co na gitaru ambayao sio mbali na kikuyu town kikukweli kikuyu ni kusafi, security nzuri Ila ni Ka mini town tatizo Kenya kila eneo mnaita town sema ipo kiambu county adminstration yake inafanyiwa huko huko issue ya kusema ni Nairobi metropolitan hapo ndo huwa mna fail🙂 Nairobi ni Nairobi kiambu ni kiambu mbona Nairobi ina govonor wake na kiambu ina govonor wake kama kweli kitu kimoja?
Kumbe wewe ni Mlazy uliyeishi Kenya.
 
Hata mkiita super/mega na majina yakukuza maeneo Kenya bado Sana wadanganyeni watu ambao hawajafika Kenya Tanzania sio level yenu🙂
Wacha ujinga. Eti sasa Tanzania imedevelop kushinda Kenya? Unatumia statistics gani kudhibitisha hayo? Data ya world bank au data ya vijiweni?
 
Mlazy ambaye alikua anagawa peddy,chakula na kushughulikia watu wa slum kama nyinyi kiufupi nliikua natoa msaada kwenu🙂
Uongo mtupu. Nyie wasichana wenu hawana pedi mtoe wapi pesa ya kuleta pedi kwa nchi yenye Gdp ya $100 billion?
 
Back
Top Bottom