Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Kcse ina maajabu gani? Ndio hiyo inayotoa vyeti kwa waangusha majengo hapo nairobbery?Huyo ana nn jamani, KCSE hata top 100 asingelikuwepo
Kcse ina maajabu gani? Ndio hiyo inayotoa vyeti kwa waangusha majengo hapo nairobbery?Huyo ana nn jamani, KCSE hata top 100 asingelikuwepo
Hahahaha kama toilet paperWa tz waliosomea huku umuhimu wake wanaujua mpka sasa..
Karatasi za KNEC zina nguvu na ushashi mkubwa sana kwabza hapa africa
Kwhyo tatizo lako jina kumbeIdiot there is a reason there is two counties i.e. Nairobi and Kiambu! U can't combine them to just suit ur ego of trying to prove the road is in Kiambu county yet it is called Nairobi western Bypass! Huo ni ufalamanga!

Hahahaha HGL shuleni kwetu tulikua tunayaita combination ya viti maalum 😅😅😂Noma sana Mkuu, mimi Physics siwezi isahau ilinidhalilisha siku ya paper. Nilikuaga siisomi kabisa na sikua na mpango nayo. Mwaka huo paper la mock nilipiga D safi, Masela wakanipamba duh, hujawahi soma hili soma na unapiga D, noma sana. Kumbe kuna swali lilikosewa tukapata marks za bure
.
Basi Miezi kadhaa mbele NECTA nikaingia zangu kupiga Paper la Physics. Kwenye practical masela wakakimbilia vifaa wanavyojua wakaliacha lile la dude sijui pendulum Bob lipo wazi. Nikaaa zangu pale nikawa nachezea chezea . Basi wire ule nikaukata kipande, Baada ya muda invigilator kapita kashangaa kidogo kaniuliza wire niliokupa upo wapi? Nikamwambia Nimeukata mrefu sana, kumbe ile kitu ilikua Constant wakuu
, Alinifokea kwenye chumba cha Mtihaani “WE FALAA NINI” kamwita Askari nikapewa wire mwingine nikaendelea kuchezea hadi kuda ukaisha.
Matokea yakatoka nina mswaki kama kawa ila haijaharibu mambo yangu, Nikapiga ABB nikaenda zangu CBG , Nikasoma Miezi kadhaa ila walikuja walimu wa chuo somo moja walimu kibao, Yaani kila mwalimu na topic yake, nikaona ni fujo nikakimbilia HGL
. Piga zangu ABC huko NECTA A-Level , Nahisi ningebaki CBG nisengetoboa.
Vyombo vya habari banaVitu vya msingi kama hivi huwa hawana muda navyo.


Naona huo ndio utetezi wako!Vyombo vya habari bana
Na hapo siku ingine wataandika kenya iwe km marekani wakati wanasahau km life kwetu ni cheaper kuliko kule..
Najua lazima watajisahau siku hyo
Kikuyu kwn siku hizi ipo nairobi eakenya wenzanguikiwa 10-20km kutoka cbd tu imewashinda kujenga mnataka kulinganisha km za ujenzi wa nairobi kwa dar seripusly....
wayaki,kikuyu n.k....
hizo sehemu bado sana ni local spaces za kutosha na ni km chache tu kutoka cbd yenu....
huwa mnapenda sana kujifurahishaView attachment 1679570View attachment 1679571View attachment 1679572View attachment 1679573View attachment 1679574View attachment 1679575View attachment 1679576View attachment 1679577View attachment 1679579View attachment 1679580View attachment 1679582View attachment 1679583View attachment 1679585


Hahahaha HGL shuleni kwetu tulikua tunayaita combination ya viti maalum![]()






Noma sana mkuu. Hii ilikua Comb ya matozi na masister doo enzi hizo Ben Mkapa.Hatutaki collabo na mtu mzeeWahh,,hii Singapore city imefanya nkose Radha ya hii battle,, Nairobi na Dar hakuna chochote,,sijui tunasubuana akili hapa nini, we should be United towards better cities in EA Kama hii plz,,
View attachment 1680196
Hahahaha ni zarau za mob psychology lakini wengi tulikwama pamoja na dharau hizo 😅😅😅Noma sana mkuu. Hii ilikua Comb ya matozi na masister doo enzi hizo Ben Mkapa.
Tuonyeshe la dar


Mtz aliyesomea kenya hko anapewa kipaumbele


AmekasirikaAcha kupenda kubisha kila kitu.....the road ipo kiambu county. 'Nairobi western bypass ' ni jina tu
View attachment 1680223


Mi ningelikua n mtz na makaratasi yangu ya ke sai ningelikua mtu mkubwa sana katika jamiiKaratasi hata wewe siuko nazo mbona hutushawishi ?
Kuumia ni lazimaWakenya wengi tunaishi nao, ni vilaza tuu.


Kwn thika highway haifiki nairobiKwan western bypass haianzii nairobi??![]()
Vitu vya o level hku hvyo, umeona sasa tofauti yetuLogic ya coding huwa inafundishwa 'A' levels kwenye Math 2 (Advanced Applied Math).
Katika boolean algebra vipengele vya truth tables (if else statements) na flow chart (algorithms) mwanafunzi anatayarishwa ku-thinking imperatively ambayo ndiyo misingi ya coding.
Ukishakuwa na msingi huo, mambo ya data structure na abstraction zingine kama pointers haziwezi kukusumbua.
Sijawahi kukanyaga kenya.Kuumia ni lazima
Kwn wewe ulisomea kenya